Tuna cha kujifunza na Uchaguzi wa Marekani?

Tuna cha kujifunza na Uchaguzi wa Marekani?

Hapo Magufuli anamwona Trump boonge la zuzu kulalamika huku yeye ndiye Rais!!
Waafrika tulikosea sana kuwaondoa mapema wakoloni wazungu! Tungewaacha kwanza watusindikize!

Afrika kuta tu jina la rais kama hivi Magufuliiii...wanaona unastahili kunyongwa!
 
Sitaki kusema mengi ila hii deomokrasia ya Marekani ni kiwango cha juu sana.

Ila yote kwa yote hakuna jambo muhimu kama kuheshimu mawazo ya watu 12M...

Tatizo ni 12m wa wizi. Kwa hii ya wagombea wa CUF Na NCCR kupata zero hata katika vituo waliojipigia kuna la kuaminika hapo jombi?
 
..kinachonishangaza ni AMIRI JESHI MKUU wa mabeberu analalamika kuibiwa kura.

..hivi kwa Tanzania unaweza kumuibia Amiri Jeshi Mkuu kura zake na yeye akaishia kulalamika tu?

..au nchi gani ya Kiafrika Amiri Jeshi Mkuu anaweza kuibiwa kura na yeye akaishia kunung'unika tu, au akamuachia Mungu?
 
Kwa nini wewe hukuiba? Basi wewe utakuwa zezeta!!

Kwa sababu miye siyo mwizi mkuu.

Hujui wizi nao ni kazi kama udaktari au uhandisi?

Si kila mtu anaweza kuwa mwizi jombi ndiyo maana kazi hizo waajiri wake wako pale mboga mboga.
 
Matokeo ya uchaguzi wetu yalitoka mapema zaidi kuliko yao; wanachelewesha kutoa matokeo sijui wanataka kuchakachua 😂😂😂
 
Matokeo ya uchaguzi wetu yalitoka mapema zaidi kuliko yao; wanachelewesha kutoa matokeo sijui wanataka kuchakachua [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa nini yanachelewa na yanaendelea je dakika kwa dakika yako online.

Labda kama unataka wake kujifunza yale mambo yetu kwa Dkt. Manoti.
 
Kwa nini yanachelewa na yanaendelea je dak kwa dak yako online.

Labda kama unataka wake kujifunza yale mambo yetu kwa dk. manoti.
Mkuu, mbona hawajatangaza mshindi mpaka sasa? Kwenye uchaguzi wa mwaka 2000 walichakachua, kwa hiyo haitashangaza wakichakachua tena!
 
Back
Top Bottom