Tuna hatari zaidi kwa Vyombo vya Habari kuliko wakati mwingine...

Ni kwamba ulifika bei wakati wa Magufuli,
Kuhamisha magoli...siyo kila kitu unachojiambia kichwani ni kweli...ungekuwa muungwana ungeniomba radhi kwa kutoa madai ya uongo kuwa sikuwahi kumkosoa Magufuli wakati mfano mmoja uko posting ya kwanza. Tafuta mtu hata mmoja wa hawa wanaoitwa chawa ambaye anaweza kumkosoa SSH. Ntasubiri.
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Kuna kitu hakiko sawa. Inapotokea kuwa watawala wanashukuru, wanasifia, wanaunga mkono na wanaonekana kuwa wametulia na kuenjoy uhusiano wao na vyombo vya habari ni lazima tushtuke kidogo. Kwenye nchi zote zenye demokrasia ya kweli na zinazojaribu kujenga au zinazojenga utawala wa sheria mgongano kati ya vyombo vya habari na watawala ni matokeo ya lazima.

Inapotokea vyombo vya habari (vile vya zamani na hivi vya mitandaoni) vinajaribu kuwasiliana na watawala na kupeleka habari zake ili zihakikiwe basi tuna tatizo. Kama habari ikiandikwa halafu mtu anasema "itoeni hiyo habari" na chombo cha habari kwa kuogopa kuudhi au kwa kuhofiwa kuudhiwa kinakubali basi tatizo linazidi kukua.

Kuna watu wanaamini kabisa kuwa si lazima kuwe na ugomvi kati ya vyombo vya habari na serikali. Nakumbuka wakati wa mtawala fulani vyombo vya habari vilisifika sana kwa kupokea "bahasha". Matokeo yake nakumbuka mchorani vikatuni wa Kenya Bw. Gado alichora picha ikionesha vyombo vya habari vikimlamba miguu mtawala wa wakati ule. Inawezekana tumerudi pale tena?

Lakini cha kutisha zaidi ni kuwa kama watu ambao hata hawako serikalini na si watawala labda wana utajiri wa kutupa tu nao wanaweza kuamua nini chombo cha habari kinafanya au kinasema basi kile kinachoitwa "uhuru wa vyombo vya habari" si kingine bali ni kugeuka kuwa "kunguru wa habari". Wanaruka ruka, kula, na kupiga kelele, za hapa na pale, huku wakidonyoa donyoa kile wanachopewa. Hawatakiwi kuudhi watu au kumuudhi mtu.

Tunajuaje kuwa tuna uhuru wa vyombo vya habari; watu wengine wanasema sasa hivi vyombo vya habari na waandishi hawafokewi, hawapigwa, hawatekwi, hawaumizwi, wamekaa kwa starehe wanafikiri kuwa hili ni jambo zuri. Ni zuri kwa nani? Ni lazima uwepo mgongano kati ya vyombo vya habari na watawala.

Jukumu la vyombo vya habari si kuunga mkono serikali au kuipa maneno mazuri. Kile ambacho watu walisema kinatokea wakati wa JPM ndiyo hicho hicho kinatokea tena wakati huu wa SSH. Ukiangalia utaona kuwa ni shilingi ile ile ila upande mwingine tu. Sikuwahi kuwa na tatizo hata kidogo na watu au waandishi waliokua wanaikosoa na kumkosoa Magufuli.

Kuna watu wanafikiri tulimuunga mkono Magufuli halafu tukaegesha akili zetu pembeni wenyewe tukaondoka. Niliandika mada hapa ya kumtaka Rais Magufuli Ajiuzulu kama aliona kazi ya Urais ni ngumu (nina uhakika kuna watu hawakumbuki wanafikiri tulikuwa tunaimba sifa tu!). MADA HII HAPA BONYEZA HAPA.

Na mada hiyo nakumbuka ilipigiwa chapo na mkongwe MAYALA kwenye mada yake hii NYINGINE BONYEZA HAPA.
Ni lazima tuwe na uhuru wa kusema kisichopendeza, kuonesha kisichotakiwa, na kukataa kinachopendwa na wengine. Inapofika vitendo vya kifisadi vinahaririwa kwanza basi kile kinachoitwa uhuru wa vyombo vya habari hakipo tena. Ngoja tuone ili tufanye maamuzi saa hii. Nimeweka tena mada ya mwelekeo mpya wa ufisadi Tanzania uliorudi kwa nguvu.

UsiDOWNLOAD hii attachment; na ukidownload usiseme kilichomo.
Shida wengi waliopo kwenye hivyo vyombo vya habari walipewa kazi sababu ya life style zao sio passion au elimu yao katika hiyo sekta. Shida ilianzia hapa ndio maana hawana uthubutu.
Bongo wanawake na wanaume huwezi pima nani ni zaidi kwenye longolongo.
Salama Mkuu!
 
Mkuu wangu upo. Nafurahi kuwaona wakongwe.
 
Kwamba BEN SANAN
Na. M. M. Mwanakijiji

Kuna kitu hakiko sawa. Inapotokea kuwa watawala wanashukuru, wanasifia, wanaunga mkono na wanaonekana kuwa wametulia na kuenjoy uhusiano wao na vyombo vya habari ni lazima tushtuke kidogo. Kwenye nchi zote zenye demokrasia ya kweli na zinazojaribu kujenga au zinazojenga utawala wa sheria mgongano kati ya vyombo vya habari na watawala ni matokeo ya lazima.

Inapotokea vyombo vya habari (vile vya zamani na hivi vya mitandaoni) vinajaribu kuwasiliana na watawala na kupeleka habari zake ili zihakikiwe basi tuna tatizo. Kama habari ikiandikwa halafu mtu anasema "itoeni hiyo habari" na chombo cha habari kwa kuogopa kuudhi au kwa kuhofiwa kuudhiwa kinakubali basi tatizo linazidi kukua.

Kuna watu wanaamini kabisa kuwa si lazima kuwe na ugomvi kati ya vyombo vya habari na serikali. Nakumbuka wakati wa mtawala fulani vyombo vya habari vilisifika sana kwa kupokea "bahasha". Matokeo yake nakumbuka mchorani vikatuni wa Kenya Bw. Gado alichora picha ikionesha vyombo vya habari vikimlamba miguu mtawala wa wakati ule. Inawezekana tumerudi pale tena?

Lakini cha kutisha zaidi ni kuwa kama watu ambao hata hawako serikalini na si watawala labda wana utajiri wa kutupa tu nao wanaweza kuamua nini chombo cha habari kinafanya au kinasema basi kile kinachoitwa "uhuru wa vyombo vya habari" si kingine bali ni kugeuka kuwa "kunguru wa habari". Wanaruka ruka, kula, na kupiga kelele, za hapa na pale, huku wakidonyoa donyoa kile wanachopewa. Hawatakiwi kuudhi watu au kumuudhi mtu.

Tunajuaje kuwa tuna uhuru wa vyombo vya habari; watu wengine wanasema sasa hivi vyombo vya habari na waandishi hawafokewi, hawapigwa, hawatekwi, hawaumizwi, wamekaa kwa starehe wanafikiri kuwa hili ni jambo zuri. Ni zuri kwa nani? Ni lazima uwepo mgongano kati ya vyombo vya habari na watawala.

Jukumu la vyombo vya habari si kuunga mkono serikali au kuipa maneno mazuri. Kile ambacho watu walisema kinatokea wakati wa JPM ndiyo hicho hicho kinatokea tena wakati huu wa SSH. Ukiangalia utaona kuwa ni shilingi ile ile ila upande mwingine tu. Sikuwahi kuwa na tatizo hata kidogo na watu au waandishi waliokua wanaikosoa na kumkosoa Magufuli.

Kuna watu wanafikiri tulimuunga mkono Magufuli halafu tukaegesha akili zetu pembeni wenyewe tukaondoka. Niliandika mada hapa ya kumtaka Rais Magufuli Ajiuzulu kama aliona kazi ya Urais ni ngumu (nina uhakika kuna watu hawakumbuki wanafikiri tulikuwa tunaimba sifa tu!). MADA HII HAPA BONYEZA HAPA.

Na mada hiyo nakumbuka ilipigiwa chapo na mkongwe MAYALA kwenye mada yake hii NYINGINE BONYEZA HAPA.
Ni lazima tuwe na uhuru wa kusema kisichopendeza, kuonesha kisichotakiwa, na kukataa kinachopendwa na wengine. Inapofika vitendo vya kifisadi vinahaririwa kwanza basi kile kinachoitwa uhuru wa vyombo vya habari hakipo tena. Ngoja tuone ili tufanye maamuzi saa hii. Nimeweka tena mada ya mwelekeo mpya wa ufisadi Tanzania uliorudi kwa nguvu.

UsiDOWNLOAD hii attachment; na ukidownload usiseme kilichomo.
ALIUWAWA KWA KUHOJI TU KWAMBA JAMAA PhD yake ina mashaka?
Kwamba TUNDU LISU ALIPIGWA RISASI KWA KUHOJI KUHUSU MADINI YETU
KWAMBA ALIVIBANA VYOMBO VYA HABARI AKAJIITA MWANA WA AFRICA AKILINFWA KWA .ITUTU KISHA JUFIA MZENA?
 
Those were the days my friend, we thought they'd never end but end they did! My heart is in the coffin and I must pose till it comes back to me!
Mkuu Mag3 mmendelea kushikilia nafasi yenu..nafurahi kukuona.
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Kuna kitu hakiko sawa. Inapotokea kuwa watawala wanashukuru, wanasifia, wanaunga mkono na wanaonekana kuwa wametulia na kuenjoy uhusiano wao na vyombo vya habari ni lazima tushtuke kidogo. Kwenye nchi zote zenye demokrasia ya kweli na zinazojaribu kujenga au zinazojenga utawala wa sheria mgongano kati ya vyombo vya habari na watawala ni matokeo ya lazima.

Inapotokea vyombo vya habari (vile vya zamani na hivi vya mitandaoni) vinajaribu kuwasiliana na watawala na kupeleka habari zake ili zihakikiwe basi tuna tatizo. Kama habari ikiandikwa halafu mtu anasema "itoeni hiyo habari" na chombo cha habari kwa kuogopa kuudhi au kwa kuhofiwa kuudhiwa kinakubali basi tatizo linazidi kukua.

Kuna watu wanaamini kabisa kuwa si lazima kuwe na ugomvi kati ya vyombo vya habari na serikali. Nakumbuka wakati wa mtawala fulani vyombo vya habari vilisifika sana kwa kupokea "bahasha". Matokeo yake nakumbuka mchorani vikatuni wa Kenya Bw. Gado alichora picha ikionesha vyombo vya habari vikimlamba miguu mtawala wa wakati ule. Inawezekana tumerudi pale tena?

Lakini cha kutisha zaidi ni kuwa kama watu ambao hata hawako serikalini na si watawala labda wana utajiri wa kutupa tu nao wanaweza kuamua nini chombo cha habari kinafanya au kinasema basi kile kinachoitwa "uhuru wa vyombo vya habari" si kingine bali ni kugeuka kuwa "kunguru wa habari". Wanaruka ruka, kula, na kupiga kelele, za hapa na pale, huku wakidonyoa donyoa kile wanachopewa. Hawatakiwi kuudhi watu au kumuudhi mtu.

Tunajuaje kuwa tuna uhuru wa vyombo vya habari; watu wengine wanasema sasa hivi vyombo vya habari na waandishi hawafokewi, hawapigwa, hawatekwi, hawaumizwi, wamekaa kwa starehe wanafikiri kuwa hili ni jambo zuri. Ni zuri kwa nani? Ni lazima uwepo mgongano kati ya vyombo vya habari na watawala.

Jukumu la vyombo vya habari si kuunga mkono serikali au kuipa maneno mazuri. Kile ambacho watu walisema kinatokea wakati wa JPM ndiyo hicho hicho kinatokea tena wakati huu wa SSH. Ukiangalia utaona kuwa ni shilingi ile ile ila upande mwingine tu. Sikuwahi kuwa na tatizo hata kidogo na watu au waandishi waliokua wanaikosoa na kumkosoa Magufuli.

Kuna watu wanafikiri tulimuunga mkono Magufuli halafu tukaegesha akili zetu pembeni wenyewe tukaondoka. Niliandika mada hapa ya kumtaka Rais Magufuli Ajiuzulu kama aliona kazi ya Urais ni ngumu (nina uhakika kuna watu hawakumbuki wanafikiri tulikuwa tunaimba sifa tu!). MADA HII HAPA BONYEZA HAPA.

Na mada hiyo nakumbuka ilipigiwa chapo na mkongwe MAYALA kwenye mada yake hii NYINGINE BONYEZA HAPA.
Ni lazima tuwe na uhuru wa kusema kisichopendeza, kuonesha kisichotakiwa, na kukataa kinachopendwa na wengine. Inapofika vitendo vya kifisadi vinahaririwa kwanza basi kile kinachoitwa uhuru wa vyombo vya habari hakipo tena. Ngoja tuone ili tufanye maamuzi saa hii. Nimeweka tena mada ya mwelekeo mpya wa ufisadi Tanzania uliorudi kwa nguvu.

UsiDOWNLOAD hii attachment; na ukidownload usiseme kilichomo.
Tuwekee picha ya mchora katuni gado tuone waandishi wakilamba viatu vya mtawala. Seriously Kuna tatizo kwenye sekta ya habari, ikiwa wanashindwa kubalance story na kuhakiki aliekamatwa sio baba paroko bali mkata majani wa kanisa ni jambo la hatari sana..Yani wanaweka habari hiyo ambayo sio balanced kwenye font page...wahariri tunakwenda wapi jamani? Tunaangamiza taifa kwa kalamu zetu wenyewe zilizoisha wino
 
Picha ya zamani sijui zikowapi...
 
Tumejazana ndani ya ki 'Coaster' tukiga kelele utingo aweke kigogo, dereva akanyage mafuta na kondakta asichukue nauli hadi gari litakapoacha kuserereka kwenda bondeni.
Tumesahau kwamba ' Injini ime feli' gari halina moto au breki.
Injini inahitaji '' full overhaul'' katika gereji ya KATIBA!
 
Karibu Mkuu wangu Nguruvi..hili ka Katiba kwa Tanzania haliwezekani. Simply kwa sababu tumeacha iwe ni agenda ya CCM. CCM haiwezi kuja na Katiba Mpya. Binafsi naamini inapaswa kuwa ni agenda kuu ya Upinzani bila kujali CCM wanataka nini. Ni mgogoro wa lazima ila tunalazimishwa kuukwepa.
 
Sidhani kama watu wamechungulia hiyo attachment kwenye posti ya kwanza...na kama umechungulia usiseme kilichomo.
 
Sitasema chochote. Ninachoweza kusema kwa ujumla ni kwamba 'system' nzima au 'Injini ya gari ime sizi'

Nimekumbuka yule aliyetuambia kuhusu wakimbizi na nafasi za maamuzi. Tukiangalia upande mwingine tuna viongozi wanaotokana na mfumo na wanaotokana na Familia, kama utanielewa.

Wote wapo 'kihalali' maana system ni loose kuanzia vyombo vya habari n.k.
Bila kutengeneza kale Kajitabu ka Katiba tuna matatizo makubwa
 
Sijafuatilia sana mikutano ya wapinzani huko..sijui ni kwa kiasi gani Katiba mpya ni agenda yao. Au bado wanamuangalia SSH atoe maelekezo kama alivyofanya JK?
 
Wapinzani sidhani kama wana 'mwelekeo' . Sijui kama wamesoma mazingira ya kisiasa.
Hii ingekuwa agenda isiyo na ukomo lakini kwao wamegeuka kuwa 'wacheza kamari za kisiasa''

Hawa nitawataja kidogo, kuna ACT Wazalendo ambao ni wasemaji wakuu wa Rais SSH kuliko CCM
Kuna CHADEMA wao 'wanabahatisha' hawana nafasi ya kuhoji maamuzi hata yale yasiyohitaji 'microscope'
Halafu tuna vyama Lukuki katika brief case, wao wanaamini Katiba ya sasa kwasababu tu 'wanabei'

Tegemeo lilikokuwa limebaki ni '' Kupitia vyombo vya habari''. Nadhani ulisikia wakiambiwa ''siku hizi wana txt asubuhi kama hawana mia''. Ukisoma magazeti ya Tanzania na kujifunza kitu siku hizi utakuwa genius!
Umeieleza hatari ya vyombo vya habari! sidhani kama ni hatari tu, nadhani ni Msiba wa Taifa
 
Lakini hapa katikati kulifanyika investigave journalism ya hali ya juu sana. Enzi za MwanaHalisi nani anaweza kusahau; hata enzi za This Day....
Mbegu aliyopanda ndugu Yako JPM imeota na inakuw Kwa Kasi.Mimi ni mojawapo ya watu ninaamini kuwa wewe ni mojawapo ya watu waliotumika kustswisha hali hii,..iwe makusudi au bahati mbaya!
 
Ungejua JPM alisaidia kuimarisha upinzani Tanzania labda kuliko kiongozi mwingine yeyote kabla yake.
 
Kuna ile speech moja jamaa maarufu USA alisema Babu wa baba yangu alitembea km10 kupata kazi babu yangu alitembea KM5 baba yangu ankaendesha gari ya bei ya chini kufika kazini mimi naendesha Cadillac mtoto wangu ataendesha Ferrari lakini mjukuu wangu ataendesha gari ya bei kidogo ambako kitukuu changu atatembea tena kwa miguu..
Kwann basi ukielewa utajua hawa mafisadi na wavunja sheria wataona sawa leo itakuwa ngumu kidogo kwa watoto wao ila wajukuu wao watakuta nchi imegaribika kabisa mambo yatakuwa magumu mara10 zaidi ya leo hapo ndo wanatakiwa wapangalie leo FUTURE...
Tunatengeneza kizazi kibaya kuliko hichi tulicho nacho ...
 
Back
Top Bottom