Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #121
Kuhamisha magoli...siyo kila kitu unachojiambia kichwani ni kweli...ungekuwa muungwana ungeniomba radhi kwa kutoa madai ya uongo kuwa sikuwahi kumkosoa Magufuli wakati mfano mmoja uko posting ya kwanza. Tafuta mtu hata mmoja wa hawa wanaoitwa chawa ambaye anaweza kumkosoa SSH. Ntasubiri.Ni kwamba ulifika bei wakati wa Magufuli,
Shida wengi waliopo kwenye hivyo vyombo vya habari walipewa kazi sababu ya life style zao sio passion au elimu yao katika hiyo sekta. Shida ilianzia hapa ndio maana hawana uthubutu.Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna kitu hakiko sawa. Inapotokea kuwa watawala wanashukuru, wanasifia, wanaunga mkono na wanaonekana kuwa wametulia na kuenjoy uhusiano wao na vyombo vya habari ni lazima tushtuke kidogo. Kwenye nchi zote zenye demokrasia ya kweli na zinazojaribu kujenga au zinazojenga utawala wa sheria mgongano kati ya vyombo vya habari na watawala ni matokeo ya lazima.
Inapotokea vyombo vya habari (vile vya zamani na hivi vya mitandaoni) vinajaribu kuwasiliana na watawala na kupeleka habari zake ili zihakikiwe basi tuna tatizo. Kama habari ikiandikwa halafu mtu anasema "itoeni hiyo habari" na chombo cha habari kwa kuogopa kuudhi au kwa kuhofiwa kuudhiwa kinakubali basi tatizo linazidi kukua.
Kuna watu wanaamini kabisa kuwa si lazima kuwe na ugomvi kati ya vyombo vya habari na serikali. Nakumbuka wakati wa mtawala fulani vyombo vya habari vilisifika sana kwa kupokea "bahasha". Matokeo yake nakumbuka mchorani vikatuni wa Kenya Bw. Gado alichora picha ikionesha vyombo vya habari vikimlamba miguu mtawala wa wakati ule. Inawezekana tumerudi pale tena?
Lakini cha kutisha zaidi ni kuwa kama watu ambao hata hawako serikalini na si watawala labda wana utajiri wa kutupa tu nao wanaweza kuamua nini chombo cha habari kinafanya au kinasema basi kile kinachoitwa "uhuru wa vyombo vya habari" si kingine bali ni kugeuka kuwa "kunguru wa habari". Wanaruka ruka, kula, na kupiga kelele, za hapa na pale, huku wakidonyoa donyoa kile wanachopewa. Hawatakiwi kuudhi watu au kumuudhi mtu.
Tunajuaje kuwa tuna uhuru wa vyombo vya habari; watu wengine wanasema sasa hivi vyombo vya habari na waandishi hawafokewi, hawapigwa, hawatekwi, hawaumizwi, wamekaa kwa starehe wanafikiri kuwa hili ni jambo zuri. Ni zuri kwa nani? Ni lazima uwepo mgongano kati ya vyombo vya habari na watawala.
Jukumu la vyombo vya habari si kuunga mkono serikali au kuipa maneno mazuri. Kile ambacho watu walisema kinatokea wakati wa JPM ndiyo hicho hicho kinatokea tena wakati huu wa SSH. Ukiangalia utaona kuwa ni shilingi ile ile ila upande mwingine tu. Sikuwahi kuwa na tatizo hata kidogo na watu au waandishi waliokua wanaikosoa na kumkosoa Magufuli.
Kuna watu wanafikiri tulimuunga mkono Magufuli halafu tukaegesha akili zetu pembeni wenyewe tukaondoka. Niliandika mada hapa ya kumtaka Rais Magufuli Ajiuzulu kama aliona kazi ya Urais ni ngumu (nina uhakika kuna watu hawakumbuki wanafikiri tulikuwa tunaimba sifa tu!). MADA HII HAPA BONYEZA HAPA.
Na mada hiyo nakumbuka ilipigiwa chapo na mkongwe MAYALA kwenye mada yake hii NYINGINE BONYEZA HAPA.
Ni lazima tuwe na uhuru wa kusema kisichopendeza, kuonesha kisichotakiwa, na kukataa kinachopendwa na wengine. Inapofika vitendo vya kifisadi vinahaririwa kwanza basi kile kinachoitwa uhuru wa vyombo vya habari hakipo tena. Ngoja tuone ili tufanye maamuzi saa hii. Nimeweka tena mada ya mwelekeo mpya wa ufisadi Tanzania uliorudi kwa nguvu.
UsiDOWNLOAD hii attachment; na ukidownload usiseme kilichomo.
Mkuu wangu upo. Nafurahi kuwaona wakongwe.Shida wengi waliopo kwenye hivyo vyombo vya habari walipewa kazi sababu ya life style zao sio passion au elimu yao katika hiyo sekta. Shida ilianzia hapa ndio maana hawana uthubutu.
Bongo wanawake na wanaume huwezi pima nani ni zaidi kwenye longolongo.
Salama Mkuu!
Those were the days my friend, we thought they'd never end but end they did! My heart is in the coffin and I must pose till it comes back to me!Mkuu wangu upo. Nafurahi kuwaona wakongwe.
ALIUWAWA KWA KUHOJI TU KWAMBA JAMAA PhD yake ina mashaka?Na. M. M. Mwanakijiji
Kuna kitu hakiko sawa. Inapotokea kuwa watawala wanashukuru, wanasifia, wanaunga mkono na wanaonekana kuwa wametulia na kuenjoy uhusiano wao na vyombo vya habari ni lazima tushtuke kidogo. Kwenye nchi zote zenye demokrasia ya kweli na zinazojaribu kujenga au zinazojenga utawala wa sheria mgongano kati ya vyombo vya habari na watawala ni matokeo ya lazima.
Inapotokea vyombo vya habari (vile vya zamani na hivi vya mitandaoni) vinajaribu kuwasiliana na watawala na kupeleka habari zake ili zihakikiwe basi tuna tatizo. Kama habari ikiandikwa halafu mtu anasema "itoeni hiyo habari" na chombo cha habari kwa kuogopa kuudhi au kwa kuhofiwa kuudhiwa kinakubali basi tatizo linazidi kukua.
Kuna watu wanaamini kabisa kuwa si lazima kuwe na ugomvi kati ya vyombo vya habari na serikali. Nakumbuka wakati wa mtawala fulani vyombo vya habari vilisifika sana kwa kupokea "bahasha". Matokeo yake nakumbuka mchorani vikatuni wa Kenya Bw. Gado alichora picha ikionesha vyombo vya habari vikimlamba miguu mtawala wa wakati ule. Inawezekana tumerudi pale tena?
Lakini cha kutisha zaidi ni kuwa kama watu ambao hata hawako serikalini na si watawala labda wana utajiri wa kutupa tu nao wanaweza kuamua nini chombo cha habari kinafanya au kinasema basi kile kinachoitwa "uhuru wa vyombo vya habari" si kingine bali ni kugeuka kuwa "kunguru wa habari". Wanaruka ruka, kula, na kupiga kelele, za hapa na pale, huku wakidonyoa donyoa kile wanachopewa. Hawatakiwi kuudhi watu au kumuudhi mtu.
Tunajuaje kuwa tuna uhuru wa vyombo vya habari; watu wengine wanasema sasa hivi vyombo vya habari na waandishi hawafokewi, hawapigwa, hawatekwi, hawaumizwi, wamekaa kwa starehe wanafikiri kuwa hili ni jambo zuri. Ni zuri kwa nani? Ni lazima uwepo mgongano kati ya vyombo vya habari na watawala.
Jukumu la vyombo vya habari si kuunga mkono serikali au kuipa maneno mazuri. Kile ambacho watu walisema kinatokea wakati wa JPM ndiyo hicho hicho kinatokea tena wakati huu wa SSH. Ukiangalia utaona kuwa ni shilingi ile ile ila upande mwingine tu. Sikuwahi kuwa na tatizo hata kidogo na watu au waandishi waliokua wanaikosoa na kumkosoa Magufuli.
Kuna watu wanafikiri tulimuunga mkono Magufuli halafu tukaegesha akili zetu pembeni wenyewe tukaondoka. Niliandika mada hapa ya kumtaka Rais Magufuli Ajiuzulu kama aliona kazi ya Urais ni ngumu (nina uhakika kuna watu hawakumbuki wanafikiri tulikuwa tunaimba sifa tu!). MADA HII HAPA BONYEZA HAPA.
Na mada hiyo nakumbuka ilipigiwa chapo na mkongwe MAYALA kwenye mada yake hii NYINGINE BONYEZA HAPA.
Ni lazima tuwe na uhuru wa kusema kisichopendeza, kuonesha kisichotakiwa, na kukataa kinachopendwa na wengine. Inapofika vitendo vya kifisadi vinahaririwa kwanza basi kile kinachoitwa uhuru wa vyombo vya habari hakipo tena. Ngoja tuone ili tufanye maamuzi saa hii. Nimeweka tena mada ya mwelekeo mpya wa ufisadi Tanzania uliorudi kwa nguvu.
UsiDOWNLOAD hii attachment; na ukidownload usiseme kilichomo.
Mkuu Mag3 mmendelea kushikilia nafasi yenu..nafurahi kukuona.Those were the days my friend, we thought they'd never end but end they did! My heart is in the coffin and I must pose till it comes back to me!
Tuwekee picha ya mchora katuni gado tuone waandishi wakilamba viatu vya mtawala. Seriously Kuna tatizo kwenye sekta ya habari, ikiwa wanashindwa kubalance story na kuhakiki aliekamatwa sio baba paroko bali mkata majani wa kanisa ni jambo la hatari sana..Yani wanaweka habari hiyo ambayo sio balanced kwenye font page...wahariri tunakwenda wapi jamani? Tunaangamiza taifa kwa kalamu zetu wenyewe zilizoisha winoNa. M. M. Mwanakijiji
Kuna kitu hakiko sawa. Inapotokea kuwa watawala wanashukuru, wanasifia, wanaunga mkono na wanaonekana kuwa wametulia na kuenjoy uhusiano wao na vyombo vya habari ni lazima tushtuke kidogo. Kwenye nchi zote zenye demokrasia ya kweli na zinazojaribu kujenga au zinazojenga utawala wa sheria mgongano kati ya vyombo vya habari na watawala ni matokeo ya lazima.
Inapotokea vyombo vya habari (vile vya zamani na hivi vya mitandaoni) vinajaribu kuwasiliana na watawala na kupeleka habari zake ili zihakikiwe basi tuna tatizo. Kama habari ikiandikwa halafu mtu anasema "itoeni hiyo habari" na chombo cha habari kwa kuogopa kuudhi au kwa kuhofiwa kuudhiwa kinakubali basi tatizo linazidi kukua.
Kuna watu wanaamini kabisa kuwa si lazima kuwe na ugomvi kati ya vyombo vya habari na serikali. Nakumbuka wakati wa mtawala fulani vyombo vya habari vilisifika sana kwa kupokea "bahasha". Matokeo yake nakumbuka mchorani vikatuni wa Kenya Bw. Gado alichora picha ikionesha vyombo vya habari vikimlamba miguu mtawala wa wakati ule. Inawezekana tumerudi pale tena?
Lakini cha kutisha zaidi ni kuwa kama watu ambao hata hawako serikalini na si watawala labda wana utajiri wa kutupa tu nao wanaweza kuamua nini chombo cha habari kinafanya au kinasema basi kile kinachoitwa "uhuru wa vyombo vya habari" si kingine bali ni kugeuka kuwa "kunguru wa habari". Wanaruka ruka, kula, na kupiga kelele, za hapa na pale, huku wakidonyoa donyoa kile wanachopewa. Hawatakiwi kuudhi watu au kumuudhi mtu.
Tunajuaje kuwa tuna uhuru wa vyombo vya habari; watu wengine wanasema sasa hivi vyombo vya habari na waandishi hawafokewi, hawapigwa, hawatekwi, hawaumizwi, wamekaa kwa starehe wanafikiri kuwa hili ni jambo zuri. Ni zuri kwa nani? Ni lazima uwepo mgongano kati ya vyombo vya habari na watawala.
Jukumu la vyombo vya habari si kuunga mkono serikali au kuipa maneno mazuri. Kile ambacho watu walisema kinatokea wakati wa JPM ndiyo hicho hicho kinatokea tena wakati huu wa SSH. Ukiangalia utaona kuwa ni shilingi ile ile ila upande mwingine tu. Sikuwahi kuwa na tatizo hata kidogo na watu au waandishi waliokua wanaikosoa na kumkosoa Magufuli.
Kuna watu wanafikiri tulimuunga mkono Magufuli halafu tukaegesha akili zetu pembeni wenyewe tukaondoka. Niliandika mada hapa ya kumtaka Rais Magufuli Ajiuzulu kama aliona kazi ya Urais ni ngumu (nina uhakika kuna watu hawakumbuki wanafikiri tulikuwa tunaimba sifa tu!). MADA HII HAPA BONYEZA HAPA.
Na mada hiyo nakumbuka ilipigiwa chapo na mkongwe MAYALA kwenye mada yake hii NYINGINE BONYEZA HAPA.
Ni lazima tuwe na uhuru wa kusema kisichopendeza, kuonesha kisichotakiwa, na kukataa kinachopendwa na wengine. Inapofika vitendo vya kifisadi vinahaririwa kwanza basi kile kinachoitwa uhuru wa vyombo vya habari hakipo tena. Ngoja tuone ili tufanye maamuzi saa hii. Nimeweka tena mada ya mwelekeo mpya wa ufisadi Tanzania uliorudi kwa nguvu.
UsiDOWNLOAD hii attachment; na ukidownload usiseme kilichomo.
Picha ya zamani sijui zikowapi...Tuwekee picha ya mchora katuni gado tuone waandishi wakilamba viatu vya mtawala. Seriously Kuna tatizo kwenye sekta ya habari, ikiwa wanashindwa kubalance story na kuhakiki aliekamatwa sio baba paroko bali mkata majani wa kanisa ni jambo la hatari sana..Yani wanaweka habari hiyo ambayo sio balanced kwenye font page...wahariri tunakwenda wapi jamani? Tunaangamiza taifa kwa kalamu zetu wenyewe zilizoisha wino
Karibu Mkuu wangu Nguruvi..hili ka Katiba kwa Tanzania haliwezekani. Simply kwa sababu tumeacha iwe ni agenda ya CCM. CCM haiwezi kuja na Katiba Mpya. Binafsi naamini inapaswa kuwa ni agenda kuu ya Upinzani bila kujali CCM wanataka nini. Ni mgogoro wa lazima ila tunalazimishwa kuukwepa.Tumejazana ndani ya ki 'Coaster' tukiga kelele utingo aweke kigogo, dereva akanyage mafuta na kondakta asichukue nauli hadi gari litakapoacha kuserereka kwenda bondeni.
Tumesahau kwamba ' Injini ime feli' gari halina moto au breki.
Injini inahitaji '' full overhaul'' katika gereji ya KATIBA!
Sitasema chochote. Ninachoweza kusema kwa ujumla ni kwamba 'system' nzima au 'Injini ya gari ime sizi'Sidhani kama watu wamechungulia hiyo attachment kwenye posti ya kwanza...na kama umechungulia usiseme kilichomo.
Sijafuatilia sana mikutano ya wapinzani huko..sijui ni kwa kiasi gani Katiba mpya ni agenda yao. Au bado wanamuangalia SSH atoe maelekezo kama alivyofanya JK?Sitasema chochote. Ninachoweza kusema kwa ujumla ni kwamba 'system' nzima au 'Injini ya gari ime sizi'
Nimekumbuka yule aliyetuambia kuhusu wakimbizi na nafasi za maamuzi. Tukiangalia upande mwingine tuna viongozi wanaotokana na mfumo na wanaotokana na Familia, kama utanielewa.
Wote wapo 'kihalali' maana system ni loose kuanzia vyombo vya habari n.k.
Bila kutengeneza kale Kajitabu ka Katiba tuna matatizo makubwa
Wapinzani sidhani kama wana 'mwelekeo' . Sijui kama wamesoma mazingira ya kisiasa.Sijafuatilia sana mikutano ya wapinzani huko..sijui ni kwa kiasi gani Katiba mpya ni agenda yao. Au bado wanamuangalia SSH atoe maelekezo kama alivyofanya JK?
Mbegu aliyopanda ndugu Yako JPM imeota na inakuw Kwa Kasi.Mimi ni mojawapo ya watu ninaamini kuwa wewe ni mojawapo ya watu waliotumika kustswisha hali hii,..iwe makusudi au bahati mbaya!Lakini hapa katikati kulifanyika investigave journalism ya hali ya juu sana. Enzi za MwanaHalisi nani anaweza kusahau; hata enzi za This Day....
Ungejua JPM alisaidia kuimarisha upinzani Tanzania labda kuliko kiongozi mwingine yeyote kabla yake.Mbegu aliyopanda ndugu Yako JPM imeota na inakuw Kwa Kasi.Mimi ni mojawapo ya watu ninaamini kuwa wewe ni mojawapo ya watu waliotumika kustswisha hali hii,..iwe makusudi au bahati mbaya!
Dadavua mkuu,ingawaje haikuwa hoja yangu!Ungejua JPM alisaidia kuimarisha upinzani Tanzania labda kuliko kiongozi mwingine yeyote kabla yake.
Tulia, we chawa wa akina Abdul...utakuwa mtumwa hatimaye wakufanye gasho!.Moja ya maandiko ya hovyo kabisa kuwahi kutokea ardhini na mbinguni. Sujui hii ni akili gani. Au ulikuwa umelewa
Fikiria kidogo...ulijua anasimamia upande gani na wapinzani wanasimama wapi..mstari ulikuwa wazi.Dadavua mkuu,ingawaje haikuwa hoja yangu!