Hii nakataa...uwezo tunao mkubwa na wapo viongozi wazuri sana..sema Ile culture yetu ya kizalendo hatujai tune vizuri..ulTofautisha kati ya ubinafsi na uwezo mdogo wa kufikiri. Hasa kuanzia kwa viongozi wa serikali
Sio kweli..nadhan ndio wenye hazina kubwa na wasomi na viongozi..we li giant party hili utalinganisha na nani jomba...embu leta takwimu kama unazo...hahahaCCM Wengi ni failures au wenye gentlemen passes
Hakuna vetting zaidi ya memo
Huo mfumo ni mbovu sana. Kwa umetengenzwa kibovu na unasimamiwa na watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Ndio maana tunapata viongozi wabovuHilo nalo ni sehemu mojawapo lakini matatizo yako mengi sana, na si tu mfumo wa upatikanaji, bali mfumo wa uwahibishwaji kiongozi haupo
Hapana...Sasa kwann uwabebe wenye uwezo mdogo..Kuna vipanga hatariLabda mfumo umekaa kuwabeba zaidi watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri
Kiufupi incompetent people huwa wanajuana na wanapendana sana.Vetting ilikuwa na nguvu mpaka kipindi cha mkapa. After that ni maagizo regardless sheria zinasemaje. Tunapata incompetent candidates maana at the top kuna incompentent bosses
Sasa kwa nini vipanga wanafanya madudu?Hapana...Sasa kwann uwabebe wenye uwezo mdogo..Kuna vipanga hatari
Ndio nilisema ubinafsi na kukosa uzalendo tu..kwa baadhi yao..na huu mfumo tulionao tunahitaji ku tune kuunyoosha ili mindset zibadilike..kwanini JPM na Mama SSH waliweza kuanzisha na kufanya mageuzi makubwa vile na matokeo tukkaanza kuyaonaSasa kwa nini vipanga wanafanya madudu?
Matokeo gani? Kugawa bandari kwa DPW?Ndio nilisema ubinafsi na kukosa uzalendo tu..kwa baadhi yao..na huu mfumo tulionao tunahitaji ku tune kuunyoosha ili mindset zibadilike..kwanini JPM na Mama SSH waliweza kuanzisha na kufanya mageuzi makubwa vile na matokeo tukkaanza kuyaona
Hakuna hii kitu...jomba..fikra zako tu...incompetency inategemeana na mfumo tu..ukicheza na mfumo unavyotaka weww watu wata respond likewise..human beings are flexible in natureKiufupi incompetent people huwa wanajuana na wanapendana sana.
🤣Hakuna hii kitu...jomba..fikra zako tu...incompetency inategemeana na mfumo tu..ukicheza na mfumo unavyotaka weww watu wata respond likewise..human beings are flexible in nature
Kuanzia awamu ya tano jomba....ya DPW yaache kwanza ambayo nadhan hayana shida vile, maana uwekezaji tunataka sana shida Ni kurekebisha Mambo machache ya maslahi kulingana na wenzetu wanavyoshauri....hata Chongolo alitamka..Matokeo gani? Kugawa bandari kwa DPW?
ACHA kuwaamini hao matapeli 🤣🤣.Kuanzia awamu ya tano jomba....ya DPW yaache kwanza ambayo nadhan hayana shida vile, maana uwekezaji tunataka sana shida Ni kurekebisha Mambo machache ya maslahi kulingana na wenzetu wanavyoshauri....hata Chongolo alitamka..
Kuna theories nyingi na philosophy mbalimbali za uongozi ambazo zinaweza kuwa zinabadilishwabadilishwa kupendana na wakati husika.🤣
Kama watu wanacheza na mfumo. Basi maana yake mfumo ni mbovu sana.
Upo sahihi wamejaa makada na chawaVetting ilikuwa na nguvu mpaka kipindi cha mkapa. After that ni maagizo regardless sheria zinasemaje. Tunapata incompetent candidates maana at the top kuna incompentent bosses
Hahaha usikimbilie huko jomba....nikikuuliza tatizo lililopo Sasa unaweza usilijue kwa sababu hujasoma Mkataba...Cha msingi uwekezaji ni mzuri una manufaa, sema Sasa inabidi kuondoa wasiwasi kwa majority ili Imani iwepo na kazi ipigweACHA kuwaamini hao matapeli 🤣🤣.
Kwanin upingane na yeye?,hio ipo wazi viongozi wa ngazi za juu kwenye majeshi yetu kutokusimamia ukweliNapingana naww kweny hili [emoji115][emoji115] ipo waz mshind wa urais hatangazw kulingana na kura alizopata!!
Nimepinga angle ya kura so nadhan ww ndie hukuelewa.Kwanin upingane na yeye?,hio ipo wazi viongozi wa ngazi za juu kwenye majeshi yetu kutokusimamia ukweli
So tunakikwamuaje hapo mkuu?,kwamba ndio tutakua hivyo milele[emoji849]Kumaanisha kwamba kwenye jamii yetu(waafrika) tuna uwezo mdogo wa kufikiri, labda ipo kwenye dna.
Kuna mwanasayansi alishawahi kusema hivyo
Hapa sikubaliani na wewe sababu waliotengeneza katiba walikua sahihi ila kizazi kinachosimamia hio katiba ni ovyoHiyo katiba si inatengenezwa na watu. Basi inamaanisha mfumo umetengenezwa na watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri [emoji1787]