M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Vijana punguzeni tamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani dada angu afanyiwe hivo mkuu...Hata akiwa ni Dada yako au Binti yako bado pia hutoona Maajabu? Nasubiria jibu lako katika hili tafadhali.
Ngoja nimkumbuke jina mkuu limenitoka kidogo amewatoa wachezaji wengi sana.nani huyo?
Na wote aliowatoa kashawatatua marinda.?Ngoja nimkumbuke jina mkuu limenitoka kidogo amewatoa wachezaji wengi sana.
Wote waliopitia kwake kawafanyia upididi yule jamaa mshenzi sana.Na wote aliowatoa kashawatatua marinda.?
Aroooh hata kepteni mstaafu nae tayari.?Wote waliopitia kwake kawafanyia upididi yule jamaa mshenzi sana.
Captain mstaafu na Tanzania one walikuwemo kwenye list.Aroooh hata kepteni mstaafu nae tayari.?
Duh huyu jamaa anaitwa nani?Captain mstaafu na Tanzania one walikuwemo kwenye list.
Ngoja nimtafute jina mkuu limenitoka kidogo ni maarufu sana.Duh huyu jamaa anaitwa nani?
Sawa mkuu hii ni laana..Ngoja nimtafute jina mkuu limenitoka kidogo ni maarufu sana.
Pale wasafi kuna mtangazaji anaitwa JumaI. Hapa TANZANIA (Tanganyika na Zanzibar) tunao kwa MAELFU ya watu wenye tabia mbovu PENGINE KUMZIDI p.didy (za kuwadhulumu watu wengine kingono).
II. Wengi wa waathirika huishia kunyamaza kimya huku wakiugulia maumivu moyoni.
Sekta zinazoongoza udhalilishaji wa kingono,
1. SIASA - huku huwakumba vijana (Chawa) wanaopenda vyeo kwa njia ya mkato hivyo hukubali kuuza utu wao ili mradi apate uteuzi. Hususani kwenye taasisi za vyama za VIJANA na WANAWAKE.
2. DINI - Wote mnakumbuka kashfa zilizowakumba Mapadri (mfano Padri Kimaro wa Jimbo Kuu Katoliki - Moshi) na waalimu wa Madrasa kule Mafia na kwingineko.
3. SANAA - Vijana wanaotaka kufanikiwa kwenye sanaa (mfano kijana aliyerekodi video ikimuonyesha Dr Kumbuka akivua Kondom kwenye uume wake).
4. Taasisi rasmi (Mashirika na Makampuni) - upatikaanaji wa ajira kwa kigezo cha kutoa rushwa ya ngono. Ipo mifano kadhaa, (graduate) akiwa anashughulikiwa ili apewe kazi ya Bank teller.
NB: Waziri - Maendeleo ya Jamii tafadhali andaa muswada upelekwe bungeni, itungwe sheria kali.
Soma Pia:
CloudsFM. BALAA....I. Hapa TANZANIA (Tanganyika na Zanzibar) tunao kwa MAELFU ya watu wenye tabia mbovu PENGINE KUMZIDI p.didy (za kuwadhulumu watu wengine kingono).
II. Wengi wa waathirika huishia kunyamaza kimya huku wakiugulia maumivu moyoni.
Sekta zinazoongoza udhalilishaji wa kingono,
1. SIASA - huku huwakumba vijana (Chawa) wanaopenda vyeo kwa njia ya mkato hivyo hukubali kuuza utu wao ili mradi apate uteuzi. Hususani kwenye taasisi za vyama za VIJANA na WANAWAKE.
2. DINI - Wote mnakumbuka kashfa zilizowakumba Mapadri (mfano Padri Kimaro wa Jimbo Kuu Katoliki - Moshi) na waalimu wa Madrasa kule Mafia na kwingineko.
3. SANAA - Vijana wanaotaka kufanikiwa kwenye sanaa (mfano kijana aliyerekodi video ikimuonyesha Dr Kumbuka akivua Kondom kwenye uume wake).
4. Taasisi rasmi (Mashirika na Makampuni) - upatikaanaji wa ajira kwa kigezo cha kutoa rushwa ya ngono. Ipo mifano kadhaa, (graduate) akiwa anashughulikiwa ili apewe kazi ya Bank teller.
NB: Waziri - Maendeleo ya Jamii tafadhali andaa muswada upelekwe bungeni, itungwe sheria kali.
Soma Pia:
Yaan hata hawa tunakutana club unampiga savana 7 kwenye stori unamlipia vikoba vya 60k kisha unampa dau la 100k nako ni upiddyHata kulala na msichana ambae huna malengo nae pia huna tofauti na pididi