Tuna P-didy wengi waliojificha kwenye Siasa, Dini, Siasa na taasisi/kampuni rasmi

Tuna P-didy wengi waliojificha kwenye Siasa, Dini, Siasa na taasisi/kampuni rasmi

I. Hapa TANZANIA (Tanganyika na Zanzibar) tunao kwa MAELFU ya watu wenye tabia mbovu PENGINE KUMZIDI p.didy (za kuwadhulumu watu wengine kingono).

II. Wengi wa waathirika huishia kunyamaza kimya huku wakiugulia maumivu moyoni.


Sekta zinazoongoza udhalilishaji wa kingono,

1. SIASA - huku huwakumba vijana (Chawa) wanaopenda vyeo kwa njia ya mkato hivyo hukubali kuuza utu wao ili mradi apate uteuzi. Hususani kwenye taasisi za vyama za VIJANA na WANAWAKE.

2. DINI - Wote mnakumbuka kashfa zilizowakumba Mapadri (mfano Padri Kimaro wa Jimbo Kuu Katoliki - Moshi) na waalimu wa Madrasa kule Mafia na kwingineko.

3. SANAA - Vijana wanaotaka kufanikiwa kwenye sanaa (mfano kijana aliyerekodi video ikimuonyesha Dr Kumbuka akivua Kondom kwenye uume wake).

4. Taasisi rasmi (Mashirika na Makampuni) - upatikaanaji wa ajira kwa kigezo cha kutoa rushwa ya ngono. Ipo mifano kadhaa, (graduate) akiwa anashughulikiwa ili apewe kazi ya Bank teller.

NB: Waziri - Maendeleo ya Jamii tafadhali andaa muswada upelekwe bungeni, itungwe sheria kali.

Soma Pia:
Ukatili wa Kijinsia kwa sasa ni janga la Taifa
Serikal/Wizara husika wafanye jambo hapa
 
Back
Top Bottom