Mkuu upo sahihi, lakini chanzo cha tatizo unaloliongolea ni tofauti na DID.
Wewe unaongelea rushwa ya ngono zaidi wakati Ya DID ni masharti ya Kiimani ili ufanikiwe.
DID alikuwa anafanya tafrija za Ijumaa ambapo wadau wanaomini katika imani fulani ukutana kwa lengo la kutoa kafara kwa mungu wao ambapo hufanya matendo ya kumkufuru muumbaji wa binadamu. katika kufanikisha tafrija hizo, waumini walikuwa wanapeleka wafuasi wapya ili kupanua wigo wa wafuasi wa imani yao. Washiriki wapya hususan wale wenye nyota ya mafanikio walikuwa wanauza nafsi zao na kuingiliwa ikiwa ni sharti la kupata mafanikio.
Cha msingi hapo wafuasi wapya walikuwa hawabakwi, bali kwa hiari yao walikuwa wanakubali kutekeleza masharti husika ili kupata mafanikio. Mastar wengi duniani akiwemo mcheza mpira wa Ureno wamepitia kikombe hicho. Ila siyo DID tu ndio wakala wa imani hiyo, wapo wengi katika nchi zote, ila wamezidiana vyeo tu ambapo kadri unavyokufuru zaidi ndio unapata wadhifa. DID sharti lake kuingilia/kuingiliwa, lakini wengine ni kuua ndugu, watoto, na aina mbalimbali za kufuru za kuidhurumu nafsi yako na utu wako. Unauza ubinadamu na kupewa nafsi ya mnyama, na vyote hivyo unafanya kwa hiari yako kwa mdomo wako.
Angalizo ni kuwa mwisho wao huwa mbaya sana, utajiri huwa haurithiki na uteseka na kudhalilika sana kabla kufa.
Hatupaswi kuwa na tamaa iliyopitiliza wala kutamani mafanikio ya mtu ambayo chanzo chake hutukijui. Tamaa hasa ya umaarufu na mali ndio chanzo cha tatizo.
Tujitahidi kuwakwepa wafuasi wa imani hiyo katika harakati za maisha. Miongoni ishara za kuwatambua, Pete ya Kipekee ambayo akipiga picha lazima aionyeshe, Tatoo ya kiumbe hai, kujipa jina la mnyama, kutoboa pua (mwanaume na kike), kutoboa matundu zaidi ya moja masikioni, kutoboa ulimi, kitovu, kope na sehemu za siri na aina mbalimbali kuuharibu mwili ikiwa ni ishara ya kuukosoa uumbaji wa mungu.
changamoto:
Ukiingiliwa au kumuingilia mfuasi wa imani hiyo imekula kwako. ambapo ili kutakasika inabidi utubu kwa mungu muumba binadamu, ukiri adharani makosa yako na ukubali kupoteza kila kitu. Ukiingia kutoka ni ngumu kwani kutengua maagano siyo rahisi utahitajika kulipa gharama kubwa ili mungu akusamehe na kukulinda.
Bila mungu wenyewe hatuwezi, mungu tusaidie.