Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
“Mnaweza kuona nimetoa takwimu kubwa sana lakini tumeamua tuseme ukweli kwa sababu Watanzania sasa lazima waelewe kuwa tunakabiliwa na changamoto kubwa”
Waziri wa Afya @umwalimu
Chanzo: BBC Swahili.
Ndio Msimamo wa Makamu na PM ....anayewambia kila kitu kiko saawa yeye yuko Kijijini kajificha ......wao ndio wanakesha hadi sauti zinakauka .......angefanya hivyo Mwalimu 1978 tungetoa wapi morali ..lakini yeye sio tu alikuwa akiwatembelea bali hata watoto wake wa kuwazaa Capt nyerere Andrew ,John na Makongoro waliungana na watoto wa wakulima na wafanyakazi kupigana .....
Watumishi wa Afya ndio askari wetu kwenye hii vita ..pamoja na ushiriki wa vyombo vya ulinzi na usalama