Baada ya Marekani kuituhumu China kuficha taarifa na kukata Msaada kwa WHO naona kumekucha sasa, kifuatacho ni Katibu mkuu wa WHO kuachia ngazi. Beberu kaamua kuwaamsha watu na China haitaaminiwa na dunia maana kama daktari wao alietoa taarifa za awali kuhusu Corona na wakamkamata, ni nani atawaamini Wachina kwa taarifa zao za vifo? Baada ya Marekani kutishia kufanya uchunguzi ndio China kaongeza Idadi na New Case zimeongezeka mpaka kufikia watu 116 badala ya awali watu 2 au mtu 1.
Sasa watu wameshtuka baada ya Marekani kumalizana na China nani atakaefuata? Bora Ukweli maana hata kimataifa hatutaaminika
Sent using
Jamii Forums mobile app