Tunachimba visima vya maji popote Tanzania


asante ndugu natamani niongee zaidi ila nitatoka nnje ya thread yangu, all in all tupeane tu kazi tujenge maisha yetu na taifa.
 
tawi lipo morogoro so kama upo dodoma tunaweza kuwataarifu wale wa morogoro waje kuangalia eneo lako ila utalipia usafiri wao.
 
je mna matawi mikoani, au mtu akitaka kuchimba kisima mkoa kama Dodoma mjini inakuwaje?

tawi lipo morogoro so kama upo dodoma tunaweza kuwataarifu wale wa morogoro waje kuangalia eneo lako ila utalipia usafiri wao
 
asante ndugu natamani niongee zaidi ila nitatoka nnje ya thread yangu, all in all tupeane tu kazi tujenge maisha yetu na taifa.

ok....nitakutafuta but hujawahikunijibu kuhusu watu wa survey,...sina laki mbili waje tujadiliane hati punguzo.
 
ok....nitakutafuta but hujawahikunijibu kuhusu watu wa survey,...sina laki mbili waje tujadiliane hati punguzo.
Hawa jamaa hawapunguziki ila nitakupa tu no zao uongee nao mwenyewe kisha utanipa mrejesho.
 
Hawa jamaa hawapunguziki ila nitakupa tu no zao uongee nao mwenyewe kisha utanipa mrejesho.

asante sana kwa ufafanuzi na majibu mazuri uliyotoa katika uzi huu. nami naomba namba zao za simu mpendwa,

ubarikiwe sana.

Glory to God!
 
Geography imenipiga chenga kidogo wanavyosema maji ya mwamba huwa wanamaanisha hicho kisima kimechimbwa mita ngapi kwenda chini?na je nikitaka kisima kwa ajili ya kumwagilia inakuwaje na kisikikauke maji inakuwaje.... evigt nisaidie majibu hapo
 

Mimi nipo P /Kajiungeni mtaa wa mpakani, eti naambiwa cku hizi inawezekana kuyabadili maji ya chumvi kuwa ya baridi. Una uzoefu na maeneo ya huku naweza kupata maji umbali gani?.
 
Mimi nipo P /Kajiungeni mtaa wa mpakani, eti naambiwa cku hizi inawezekana kuyabadili maji ya chumvi kuwa ya baridi. Una uzoefu na maeneo ya huku naweza kupata maji umbali gani?.

Ndio inawezekana zipo mashine za kuchuja maji ambayo inaondoa kiasi cha chumvi kilichozidi kwenye maji.
Kwa uzoefu wangu, maeneo ya pugu kajiungeni maji yanaanzia mita 80.
 
Naishi Kibaha Miembesaba gharama ya survey na kuchimba inakuwaje mtaalam.

Kwanza naomba nitoe angalizo, hizo bei tajwa hapo juu ni kwa mkoa wa dar es salaam, tukishatoka njee ya dar es salaam mara nyingi bei inakuwa ni maelewano kulingana na eneo au mahala panapochimbwa kisima kwa huko kwako kibaha miembesaba kwa bei ya haraka tunaweza kuchimba kwa laki moja hadi laki na ishirini kwa mita.

kuhusu surveyor nimeku pm no yake uongee nae mwenyewe atakupa cost yake kisha utatoa mrejesho.
 
je vipi pia kuhusu maji yanayosemekana kupatikana mkondo wa mto fulani mfano; (Ruvuma) kwa uzoefu ni mita ngapi unaweza kuupata huu mkondo mana nataka kuchimba eneo ambalo ni karibu na kisima kiilichochimbwa ambacho inasemekana kinatumia maji ya mkondo huuu.
 
Tunachimba visima vya maji kwa matumizi mbalimbali ,nyumbani,shambani,ujenzi, kibiashara n.k.

Bei zetu:
[HASHTAG]#Dar[/HASHTAG] es salaam Tshs 60,000 /m
[HASHTAG]#Pwani[/HASHTAG] Tshs 75,000/m
[HASHTAG]#mikoa[/HASHTAG] mingine Tshs 135,000/m

Bei zetu zinajumuisha kazi zote:
[HASHTAG]#survey[/HASHTAG] (underground water survey)
[HASHTAG]#Transport[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Borehole[/HASHTAG] drilling
[HASHTAG]#uPVC[/HASHTAG]
[HASHTAG]#well[/HASHTAG] cleaning

Gharama za pump ya maji ni juu ya mteja mwenyewe.

[HASHTAG]#piga[/HASHTAG] 0658 185285
0783 734670
Tupigie sasa tutakufikia popote ulipo,huduma zetu ni za haraka na nafuu.

Pia tunafanya repair, maintenance & installation of water pumps & maintenance of water well.

check us on:
Evigt TZ investment (@stcoLTDtanzania) | Twitter
Evigt Investment

Magomeni-DSM
 

Attachments

  • twet 6.jpg
    75.5 KB · Views: 58
  • twetter 1.jpg
    35.5 KB · Views: 60
  • tweet 2.jpg
    15.7 KB · Views: 62
  • tweet 3.jpg
    69.5 KB · Views: 63
  • tweet 3.jpg
    69.5 KB · Views: 56

Evigt TZ Investment | Facebook
 
Sasa unaweza kuepuka shida ya maji kwa kuchimba kisima kwa gharama nafuu zaidi.
Sasa kuanzia survey hadi kuchimba kisima kwa gharama ya 135,000/=kwa mita, hii ni kwa mikoa ya kanda ya kati,kanda ya juu na kanda ya ziwa.
Bei zingine ni morogoro 125,000/= kwa mita, pwani 80,000/= kwa mita.

Gharama hizi pia zinakuja na bima (contract work risk insurance) ambapo utafidiwa ikiwa loss itatokea kwenye kazi yako.


piga 0658 185 285
0783 734 670
0777 906732

Magomeni- DSM
 
Loss gani ikitokea itafidiwa hyo mbona haiko waz
 
Loss gani ikitokea itafidiwa hyo mbona haiko waz
sio kwamba haiko wazi ila hujakutana na hizi kadhia, ni hivi kuchimba kisima unachimba ardhi ambayo huioni kuna unforeseen physical environment ambapo muda mwingine unaweza kukutana na mwamba unaokatika sana hivyo kila ukichimba shimo linajifukia kazi hii inaweza kuchukua muda mrefu na kulete hasara kwa mchimbaji so kazi inaweza kusitishwa kwa kutoa ripoti kuwa eneo lako limeshindikana kuchimbika, so hii ni loss.
au unaweza kukutana na mwamba mgumu sana kushinda uwezo wa mashine iliyoenda kuchimba hivyo ikashindikana kazi kuendelea, hii pia ni loss
kwa kawaida kazi ya uchimbaji kisima cha maji hutumia siku 7 hadi siku 14 ikizidi hapa ni loss kwa mchimbaji, kazi inaweza kusitishwa na kuanza kuangalia namna ya kufidiwa pesa ya mteja.
kama unaswali zaidi usisite kuuliza.
 

karibuni
 
karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…