Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi gharama pia inategemea mashine ya kufanyia vipimo inatoka wapi, kwa kuwa kampuni nyingi zipo DSM inapelekea gharama kuwa kubwa kwa mikoani.Gharama ya topographical survey ni kiasi gani?
Gharama za upimaji kwa maeneo/mikoa mbalimbali kwa kutumia mashine ya kisasa inayoweza kutambua wingi,aina ya maji( maji chumvi au maji baridi), kina (Mita) na mikondo ya maji iliyopo ni kama ifuatavyo;Hizi gharama pia inategemea mashine ya kufanyia vipimo inatoka wapi, kwa kuwa kampuni nyingi zipo DSM inapelekea gharama kuwa kubwa kwa mikoani.
Kwa range ya harakaharaka DSM ni 300k- 400k, Pwani 400k- 500k, Tanga,Moro ,Dodoma 600k - 900k,
Kwa ujumla kadili unavyozid kwenda upcountry ndivyo gharama inazidi ila hii gharama unaweza kuipunguza ikiwa tu mkoa uliopo kuna kampuni inatoa hii service, au kuvizia au kukutana na kampuni imepata tenda mkoani then unawadandia wapitie na kwako, watakufanyia kwa bei nafuu zaidi
Usiogope mkuu, kila kitu kipo ndani ya uwezo wa wetu,
Wanatumia mashine gani, ukipata fursa ya kupiga picha ,tupia hapa tutajua kama wanachimba deep au shallow water, !!Jamaa wanachimba visima Geita wanapata maji wanayakuta ndani ya mita 60 sijui yatadumu?
Unataka size ipi?kwa hiyo bei mpaka tukuombe ndio uweke mkuu
Weka bei sheikh!Sprinklers kwa shughuri ya umwagiliaji mashambani,bustani, n.k. zinapatikana.
Size mbalimbali kuanzia inch 3/4 na kuendelea.
Angali specifications, weka request, free derivery kuanzia pc 10.
0699494650
Kariakoo-DSM
- 3/4'’. Inamwagilia mzunguko wa mita 24, hutoa maji ujazo wa 2-3 cubic/hr
- 1" Inamwagilia mzunguko wa mita 30 , hutoa maji ujazo wa 4-5 cubic/hr
- 1.5" Inamwagila mzunguko wa mita 45- 60, hutoa maji ujazo wa 7-8 cubic/hr.
- 2" inamwagilia mzunguko wa mita 60-100, hutoa maji ujazo wa ujazo wa 14-15 cubic/hr View attachment 2227471View attachment 2227473View attachment 2227474View attachment 2227477View attachment 2227478
Kwani Kama umeweka kila size uliyonayo unashindwaje kuweka Bei yake Hadi uulizwe?Unataka size ipi?
Meter cubic hiyo ukiandika hivyo internationally inaeleweka kwa watu wa vipimoCubic/hr ndo nini mkuu. Ni cubic nini