Tunaelekea kufunga ndoa, lakini sina hisia naye tena za kimapenzi

Bila kusahau shanga za kiunoni
 
Peaneni nafasi, have time for yourself and explore your body, may be it has something to do with your mind, unahitaji kuwaza mambo mengine rather than the existing problem, badilisha hata mazingira ikiwezekana na aina ya mind refreshing activities mazoezi kidogo ya kufanya mwili uwe active, jipe miezi kadhaa bila kuwasiliana au kuwa nae karibu, itakusaidia kujua kama kweli unampenda or if you real need him as a husband, itakusaidia kujua pia hisia zako zipoje kwake then you can make a right choice kabla ya kuingia ndoani

Ila.mimi nahisi you are stressed au kuna jambo linakusumbua kiasi kwamba your body is not respinding, kumbuka kwamba suala la sex linaanzia kwenye mindset yako

Kama mindset yako haipo tayari basi mwili hauwezi kurespond
 
Nadhani wengi wenu hamko kwenye ndoa ndo maana mnashauri hivyo.

Kuchokana kupo hata kwenye ndoa hiyo ndo asili ya binadamu.

Hata akipata mwingine mwenye hisia naye itafika muda zitaisha tu.
Ndoa ina mambo mnapendana mapenzi yanakuwa moto kama 1-2 yrs hivi badaye manachokana hata game mnaweza piga Mara 1 ndani ya wiki 2,basis ndio maasha yanaendelea hivyo hivyo kinachobaki ni kila moja kutimiza jukumu lake Baba anakuwa Baba na Mama anakuwa Mama maisha yanaendelea mwisho mnasubiri kuzikana.
Na historia ya mapenzi yenu inakuwa imeishia hapo.
 

Jamani hivi mbona sisi hatuchokanagi[emoji23][emoji23]

Yaani hata katikati ya ugomvi tunaweza kutamaniana,
Kikubwa tujistiri ila baadhi ya sehemu tukionana tu baaasi[emoji28][emoji28]
 
Yani nyie mumekuwaje mpo pamoja kwa miaka 5 halafu Hamna hata mtoto?? ungekuwa na mototo angeweza kuwarejesha katika hisia.

By the way,jifunze tu namba ya kurudisha hisia maana hata ukisema umuache na kwenda kwa mwingine bado hata huko hiyo hali itakuja kujirudia.
 
Kule unga wa mbegu za maboga.... Kama routine yako unapopata kinywaji Cha Moto. Utapata mabadiliko positively.
 
Jamani hivi mbona sisi hatuchokanagi[emoji23][emoji23]

Yaani hata katikati ya ugomvi tunaweza kutamaniana,
Kikubwa tujistiri ila baadhi ya sehemu tukionana tu baaasi[emoji28][emoji28]
Anastasia "Ana" Steele & Christian Grey (fify shades)
 
You are logically right, on the other hand, she has an emotional buggage and somebody has to unpack, infact they should both workout to fix, it should be taken as her problem only....
 
Hey miss Karucee what's the secret behind your competency in English language?

Sometimes, I find it difficult to grasp the meaning of some words in your posts.

My English is simple and precise but I hate it enough to adore yours, your English sounds a bit professional than mine.

Please, let me know the techniques that bridged you to that success. I want to learn from you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…