Tunaelekea kufunga ndoa, lakini sina hisia naye tena za kimapenzi

Watu wanaoana after 10 yrs! Upendo wa ukweli haufagi labda mmoja atupiwe kijini
Hizo maybe ni rare cases, trust me uhusiano unaohusisha kitu kirefu like muda mrefu, umbali mrefu n.k huwa unatembelea rim
 
Sasa kama mtu umeshakosa hisia naye unahangaika naye wanini, wakati mwingine mnajitafutiaga matatizo nyinyi wenyewe, piga chini maisha haya stress hazifai kwanza mafupi sana
 
Hapana sina mahusiamo/mchepuko.
 
Vipi ukimgusa au kupigapiga maeneo yamsisimko napo bilabila??
Yeye hisia anazo, mimi ndio sina yaani hata afanye nini sisisimki kabisa yaani silowi.
Halafu sio kwamba nakuwa na hamu ila tatizo ni ninakuwa mkavu, hapana.
Ninakuwa sina hamu kabisa.
 
sasa wale wanaoliwa kimasihara inakuwaje mkuu?
 
Hakuna tatizo hapo. Kuna kipindi tu mtu mwili hautaki ngono.

Halafu katika kipindi hiki cha maamuzi ya ndoa unakuwa na mawazo mengi ni kawaida hiyo hali.

Peaneni nafasi ikiwezekana hata mwezi kila mtu akae afikiri kwa namna yake kama mpo tayari kuishi milele.
 
sasa wale tunaosoma humu wanaliwa kimasihara inakuwaje mindset zao zinakuwa vipi mkuu ?
 
Nakukumbusha siku za nyuma umewahi andika ulipokua chuo umewahi achwa na umpenda bila sababu na ulipitia wakati mgumu sana.
Sio kweli,sababu ilikuwepo kwa upande wake
Sijawahi kuachwa bila sababu
 
Pole sana jitahidi kujikita kwenye maombi huenda shetani anataka kuvuruga mipango yenu.
 
Yeye hisia anazo, mimi ndio sina yaani hata afanye nini sisisimki kabisa yaani silowi.
Halafu sio kwamba nakuwa na hamu ila tatizo ni ninakuwa mkavu, hapana.
Ninakuwa sina hamu kabisa.
Basi utakua humfeel huyo mwanaume au kuna kitu alikufanyia ukapoteza totally ule upendo wamwanzo! Vipi mwanzo ulikua unaloa?
 
Acheni ujinga mwambie uyo mumeo achepuke kidogo
 
Nimecheka eti udaktari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…