Tunaelekea wapi kwa hili ongezeko la Wasagaji?

Shida sio ndoa, shida ni kutokomeza hii tabia na ndoa haiwez/haziwezi kutokomeza hizi tabia kama malezi tunayotoa kama jamii ni mabovu.

Kumbuka kuna wake za watu ni wasagaji pia
.
Shida sio ndoa, shida ni kutokomeza hii tabia na ndoa haiwez/haziwezi kutokomeza hizi tabia kama malezi tunayotoa kama jamii ni mabovu.

Kumbuka kuna wake za watu ni wasagaji pia
Hii ya malezi nayo kweli.....Uko sawa tuanze kuangalia kuanzia level ya familia malezi yamekaaje
 
Mambo ndo kwanza yaanaanza nobody can stop this fucking shit dunia ndo inaenda huko mpaka tuje tuchomwe tu tuletewe mafuriko Mungu aflash kizazi chote aanze upya
 
Kuna upungufu wa jinsia me duniani
..wengine wamehamia upande wetu,wengine wapo magerezani,wengine Ni maparoko,na wengine wameshaoa ndoa ya mke mmoja....hizo ndi Sababu kubwa
Sababu kubwa Ni matumizi ya Chupa za soda ukeni.
 
Ndo ukweli huo..wanaume wapo sema wanawake hawataki wasio na kitu shida inaanzia hapo..ukweli mtupu huu..
Ni kweli tena mi mtaa ninaoishi wanaume single wapo wa kutosha, hapo si wababa, wakaka, wavulana yaani full vurugu wengi wana maisha ya chini kabisa
 
Point ni kwamba wanaume hawajapungua wanaume tupo wengi..ila wanaume wenye quality wanazotaka wadada ni wachache..na unajua girls are too selective..

Sipo kwenye ishu za kusagana..nilikuwa napinga hoja ya kusema wanaume hawapo.
Well noted....
 
mc pilipili kafungua kanisa linaitwa LOVE

masanja kanisa linaitwa FEEL FREE

ngoja tuone
 
Kwenye sayansi ya kuzaana,

Mimba ya mtoto wa kike ina kihelehele kuliko ile ya mtoto wa kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…