Tunaenda kuchukua silaha na kuikomboa nchi yetu' - Makamu Rais wa zamani wa Burundi

Umkonto

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
3,337
Reaction score
5,876
Kumekucha Burundi. Naomba kuuliza, kuna ubaya gani kwa nchi za Kiafrika kuendesha demokrasia huru shindani ili kudumisha amani na kuleta maendeleo kwa wananchi? Kwa sababu vyama vingi vina faida ya kuichangamsha serikali iliyopo madarakani isilale na kujisahau.

Habari kamili:

Katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mwishoni mwa wiki hii mjini Brussels, Ubelgiji, baadhi ya wanasiasa wenye mfungamano na makundi matatu ya kisiasa yaliyoikimbia Burundi, wamethibitisha kwamba wanakwenda kuchukua hatua kutokana na wizi wa kura uliofanyika katika uchaguzi huo, ambao wanasema unaelekea kusababisha uharibifu wa nchi.

Mmoja wa wanasiasa hao Frederique Bamvuginyumvira, aliyekuwa Makamu wa rais, aliyewawakilisha wanasiasa amesema kuwa hawana chaguo jingine la kukataa matokeo ya uchaguzi zaidi ya kuchukua silaha.
Alisema: "Tumeona uchaguzi ukiibiwa waziwazi, watu wanaamriwa wapige kura, wengine wananyang'anywa kadi, wengine hata kura kwa nguvu. Haya yametokea. Hatuwezi kuvumilia kuwa chama kilichopo madarakani kinatuletea mateso, tunaenda kuchukua silaha na kuikomboa nchi yetu.

Wanataka kutuua, lakini sisi tumeinuka kupigana na serikali iliyopo madarakani kwa pinde na mishale, inawezekana kabisa."

Ingawa hakutaja jina la kikundi chao au ni nani watakuwa wanachama wake, Bw Bamvuginyuvira anathibitisha kwamba kuchukua silaha ni jambo lisiloepukika. Anasema wengi wa wale ambao wana nia hii ya kuchukua silaha ili kuanzisha kile anachoita 'mapambano ya ukombozi', na ni pamoja na wale wa nje na wale wa ndani ya nchi.

Wanasiasa hao wanatoka katika makundi ya kisiasa ya Cfor Arusha (Muungano wa Vikosi vya Upinzani vya Burundi kwa Marejesho ya Mkataba wa Arusha), CN (Coalition for the Renaissance of the Nation), inayowakilishwa na Chauvinau Mugwengezo, ambaye ni Msemaji na Msemaji wa Chama cha UPD na Burundi hapo awali. (Patriotic Action Movement), iliyowakilishwa na msemaji wake Liberat Ntibashirakandi.

Wakati baadhi ya wanasiasa waliwaomba programu kama Uprona katika orodha hii ya wanasiasa ambao wengi wao wamekimbia nchi tangu 2015, walisema kuwa programu haziwahusu kwasababu wamejaribu mara nyingi na kukataliwa.

Frederiko Bamvuginyumvira anasema wamejaribu zaidi ya programu 8 lakini hazijafanikiwa, ndiyo maana wameamua kuchagua njia ya mapambano kwasababu huko ndiko wanaweza kuzungumza na kusikilizwa.

Chanzo: BBC Swahili
 
Huyu jamaa mpumbavu sana anataka kumuiga jirani yake - na ukijaribu kufatilia kwa karibu unaweza kukuta ni kabila moja!!

Kuna kitu nyuma ya pazia si bure, cha muhimu hapa Warundi wawe kitu kimoja wasikubali kulubuniwa na watu wenye lengo baya juu ya Taifa lenu-jamani Warundi chunga sana na hila za maadui wenu, endelezeni mshikamano na umoja wenu kwa manufaa ya Taifa lenu.
 
Acha wadai haki yao, kama ulifuatilia mlolongo mzima wa uchaguzi wa burundi utaelewa anachomaanisha jamaa, siasa za burundi ni sawa kabisa na za tanzania, ni vile tu tanzania imekaliwa ki mafia, anayejaribu kuongea ukweli ni ama aishie jela, ama apotezwe kabisa, so wote tumekuwa waoga.
 
Sisi WaAfrika ni wapumbavu ambao hatujasitarabika.

Yeye anakaa zake Ulaya halafu anachonganisha wanyonge wauane wakimaliza aje na familia yake wale kuku kwa mirija.

Ninawashauri wenzetu wa Burundi wajitenge na wanasiasa wapumbavu wanaofurahia madaraka huku wakimwaga damu za wasio na hatia
 
Mtu katoa sababu ila wewee unaingiza suala la ukabila badala ya kujadili sababu tatizo ni nini?
 
Acha wadai haki yao, kama ulifuatilia mlolongo mzima wa uchaguzi wa burundi utaelewa anachomaanisha jamaa, siasa za burundi ni sawa kabisa na za tanzania, ni vile tu tanzania imekaliwa ki mafia, anayejaribu kuongea ukweli ni ama aishie jela, ama apotezwe kabisa, so wote tumekuwa waoga.
Wanadai walikuwemo humo humo Burundi wakaikimbia nchi kwa kuogopa kuuawa. Huyo si alikuwa Makamu wa rais, ina maana alikuwa ndani ya Burundi lakini siasa chafu zimewafanya wakajipange huko Ulaya.

Au walitakiwa wapambane wakiwa ndani ya Burundi?
 
Sisi WaAfrika ni wapumbavu ambao hatujasitarabika.

Yeye anakaa zake Ulaya halafu anachonganisha wanyonge wauane wakimaliza aje na familia yake wale kuku kwa mirija.

Ninawashauri wenzetu wa Burundi wajitenge na wanasiasa wapumbavu wanaofurahia madaraka huku wakimwaga damu za wasio na hatia
Hata mimi ndiyo nawashauri Warudi wasikubali kuvurugwa na watu wenye uchu wa madaraka na hawajali Warundi kumwaga DAMU kwa sababu za kijinga jinga tu, wakichezea amani ikisha ondoka haitarudi tena na ukabila utakolezwa tena waanze kuuana tena story za majirani wao zikajirudia Burundi - Warundi kuweni makini sana msikubali kurubuniwa.

Kama yeye anajifanya jasiri kwa nini anaishi Ubeligigi na familia yake akila kuku kwa mrija huku akiwahadaa Warudi wachukuwe silaha na kumalizana, jamaa huyu si mtu mzuri hata kidogo-mkataeni na kumpuuza.
 
Mbona unajamba Jamba hovyo kusikia jamaa anaenda kuchukua silaha unaogopa kifo huku unaiba Mali za nchi hujui kama hai wajinga unaiwaibia ipo siku watasanuka itakula kwako🤣🤣🤣🤣🤣
 
Katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mwishoni mwa wiki hii mjini Brussels, Ubelgiji, baadhi ya wanasiasa wenye mfungamano na makundi matatu ya kisiasa yaliyoikimbia Burundi, wamethibitisha kwamba wanakwenda kuchukua hatua kutokana na wizi wa kura uliofanyika katika uchaguzi huo, ambao wanasema unaelekea kusababisha uharibifu wa nchi.
Mmoja wa wanasiasa hao Frederique Bamvuginyumvira, aliyekuwa Makamu wa rais, aliyewawakilisha wanasiasa amesema kuwa hawana chaguo jingine la kukataa matokeo ya uchaguzi zaidi ya kuchukua silaha.
Alisema: "Tumeona uchaguzi ukiibiwa waziwazi, watu wanaamriwa wapige kura, wengine wananyang'anywa kadi, wengine hata kura kwa nguvu. Haya yametokea. Hatuwezi kuvumilia kuwa chama kilichopo madarakani kinatuletea mateso, tunaenda kuchukua silaha na kuikomboa nchi yetu. Wanataka kutuua, lakini sisi tumeinuka kupigana na serikali iliyopo madarakani kwa pinde na mishale, inawezekana kabisa."
Ingawa hakutaja jina la kikundi chao au ni nani watakuwa wanachama wake, Bw Bamvuginyuvira anathibitisha kwamba kuchukua silaha ni jambo lisiloepukika. Anasema wengi wa wale ambao wana nia hii ya kuchukua silaha ili kuanzisha kile anachoita 'mapambano ya ukombozi', na ni pamoja na wale wa nje na wale wa ndani ya nchi.
Wanasiasa hao wanatoka katika makundi ya kisiasa ya Cfor Arusha (Muungano wa Vikosi vya Upinzani vya Burundi kwa Marejesho ya Mkataba wa Arusha), CN (Coalition for the Renaissance of the Nation), inayowakilishwa na Chauvinau Mugwengezo, ambaye ni Msemaji na Msemaji wa Chama cha UPD na Burundi hapo awali. (Patriotic Action Movement), iliyowakilishwa na msemaji wake Liberat Ntibashirakandi
Wakati baadhi ya wanasiasa waliwaomba programu kama Uprona katika orodha hii ya wanasiasa ambao wengi wao wamekimbia nchi tangu 2015, walisema kuwa programu haziwahusu kwasababu wamejaribu mara nyingi na kukataliwa.
Frederiko Bamvuginyumvira anasema wamejaribu zaidi ya programu 8 lakini hazijafanikiwa, ndiyo maana wameamua kuchagua njia ya mapambano kwasababu huko ndiko wanaweza kuzungumza na kusikilizwa
 
Wanadai walikuwemo humo humo Burundi wakaikimbia nchi kwa kuogopa kuuawa. Huyo si alikuwa Makamu wa rais, ina maana alikuwa ndani ya Burundi lakini siasa chafu zimewafanya wakajipange huko Ulaya.

Au walitakiwa wapambane wakiwa ndani ya Burundi?
You just catch the wrong end of the stick, wrong quote i bet.
 
Back
Top Bottom