Hakuna amani inayooatikana bila kumwagikaji wa damu my friend,kama wewe ni mkristo biblia inasema " amani haiji ila kwa ncha ya upanga" hii ndo kanuni ya maendeleoBado suluhisho siyo kuuana ili kubadili walaji wa kuku kwa miraja huku nyie wanyonge mkiendelea kushindia uji baada ya kubadili mtawala wenu.
Ceo jf ni uncle wangu😀Mdau, hii thread nimeishaileta tangu saa tano asubuhi.
Wakifuta thread yangu tutagombana mana nilishawahi kuleta thread ya vita vya Israel na Iran ya kwangu wakaunganisha na ya kwako baade wakaiachia kama ilivyo. Leo itakuwa ni shida!
Sasa sijui wewe ni moderator au mnapeana connection mpaka Jamii Forum!
Nilidhan utakuwa na mawazo fair kuwa anayetaka kuharibu Burundi ni anayenajisi demokrasia yaan chama tawala.Huyu jamaa mpumbavu sana anataka kumuiga jirani yake - na ukijaribu kufatilia kwa karibu unaweza kukuta ni kabila moja!!
Kuna kitu nyuma ya pazia si bure, cha muhimu hapa Warundi wawe kitu kimoja wasikubali kulubuniwa na watu wenye lengo baya juu ya Taifa lenu-jamani Warundi chunga sana na hila za maadui wenu, endelezeni mshikamano na umoja wenu kwa manufaa ya Taifa lenu.