Tunaenda kuchukua silaha na kuikomboa nchi yetu' - Makamu Rais wa zamani wa Burundi

Husinitukane we damned silly fool - tumechoshwa na tabia zenu za kukosesha amani katika kanda ya maziwa makuu halafu mnakuja kuomba msaada kutoka kwa majirani wenu ikiwemo kuanzisha kambi za ukimbizi mnaishia kiharibu mazingira na ujambazi WA kuteka magari na kuwaua raia wasiyo na hatia huku mkipewa makambi ya ukimbizi, wenyewe kwa wenyewe mnashidwa kuishi kwa amani, halafu na wewe una support upuuzi huu, unataka mpuuzi huyu aanzishe vurugu nchini Burundi - Warudi wamekwisha kuwa werevu hawawezi kubariki majitu yanayo taka kupalilia vita huko Burundi, kuna mataifa mengi ambayo yatahakikisha hilo halitatokea huko Burundi kwa kusaidia jeshi la Burundi kwa hali na mali.
Naona umeamua kuchukua upande mmoja tu wa serikali, huo utawala wa Burundi ni mafia sana,Kila serikali iingiapo madarakani upinzani lazima uonje joto la jiwe, hivyo hali hii ndo imechochea ukosefu wa usalama katika nchi hiyo, ni mwendo wa kuviziana kati ya watawala na wapinzani au wakati mwingine watawala kwa watawala wenyewe. Katika jambo hili serikali ndo inachochea uhasama kwa kiasi kikubwa
 
Hii ndiyo naisikia kwa mara ya kwanza, hivi raisi aliye ponduliwa alipokuja kutembelea Tanzania wakati WA Utawala wa Magufuli alikuwa anaitwa NANI? Na aliwezaje kurudi Burundi bila ya kubughudhiwa??
 
Huwa nawasikitikia saaana wanaume wanaooa warundi na wanyarwanda au wahangaza. Very dangerous brats!!!
 
Uminywaji wa democracy ni kuingia msituni tu
 
Hii ndiyo naisikia kwa mara ya kwanza, hivi raisi aliye ponduliwa alipokuja kutembelea Tanzania wakati WA Utawala wa Magufuli alikuwa anaitwa NANI? Na aliwezaje kurudi Burundi bila ya kubughudhiwa??
Piere Nkurunzinza, inasemekana alipata escort ya JWTZ hadi nchini kwake. Huyo nae alikuwa dictator sana.Siasa za Burundi ni pasua kichwa
 
Pamoja na yote bt vita sio njia nzuri...
Vita mbaya sana, watateseka wengine wasio na hatia..
 
Bado suluhisho siyo kuuana ili kubadili walaji wa kuku kwa miraja huku nyie wanyonge mkiendelea kushindia uji baada ya kubadili mtawala wenu.
Mtabadili mtawala kwa njia gani sasa wakati kwenye uchaguzi ni uhuni mtupu unafanyika.
 
Kumekucha Burundi. Naomba kuuliza, kuna ubaya gani kwa nchi za Kiafrika kuendesha demokrasia huru shindani ili kudumisha amani na kuleta maendeleo kwa wananchi? Kwa sababu vyama vingi vina faida ya kuichangamsha serikali iliyopo madarakani isilale na kujisahau.

Habari kamili:

Katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mwishoni mwa wiki hii mjini Brussels, Ubelgiji, baadhi ya wanasiasa wenye mfungamano na makundi matatu ya kisiasa yaliyoikimbia Burundi, wamethibitisha kwamba wanakwenda kuchukua hatua kutokana na wizi wa kura uliofanyika katika uchaguzi huo, ambao wanasema unaelekea kusababisha uharibifu wa nchi.

Mmoja wa wanasiasa hao Frederique Bamvuginyumvira, aliyekuwa Makamu wa rais, aliyewawakilisha wanasiasa amesema kuwa hawana chaguo jingine la kukataa matokeo ya uchaguzi zaidi ya kuchukua silaha.
Alisema: "Tumeona uchaguzi ukiibiwa waziwazi, watu wanaamriwa wapige kura, wengine wananyang'anywa kadi, wengine hata kura kwa nguvu. Haya yametokea. Hatuwezi kuvumilia kuwa chama kilichopo madarakani kinatuletea mateso, tunaenda kuchukua silaha na kuikomboa nchi yetu.

Wanataka kutuua, lakini sisi tumeinuka kupigana na serikali iliyopo madarakani kwa pinde na mishale, inawezekana kabisa."

Ingawa hakutaja jina la kikundi chao au ni nani watakuwa wanachama wake, Bw Bamvuginyuvira anathibitisha kwamba kuchukua silaha ni jambo lisiloepukika. Anasema wengi wa wale ambao wana nia hii ya kuchukua silaha ili kuanzisha kile anachoita 'mapambano ya ukombozi', na ni pamoja na wale wa nje na wale wa ndani ya nchi.

Wanasiasa hao wanatoka katika makundi ya kisiasa ya Cfor Arusha (Muungano wa Vikosi vya Upinzani vya Burundi kwa Marejesho ya Mkataba wa Arusha), CN (Coalition for the Renaissance of the Nation), inayowakilishwa na Chauvinau Mugwengezo, ambaye ni Msemaji na Msemaji wa Chama cha UPD na Burundi hapo awali. (Patriotic Action Movement), iliyowakilishwa na msemaji wake Liberat Ntibashirakandi.

Wakati baadhi ya wanasiasa waliwaomba programu kama Uprona katika orodha hii ya wanasiasa ambao wengi wao wamekimbia nchi tangu 2015, walisema kuwa programu haziwahusu kwasababu wamejaribu mara nyingi na kukataliwa.

Frederiko Bamvuginyumvira anasema wamejaribu zaidi ya programu 8 lakini hazijafanikiwa, ndiyo maana wameamua kuchagua njia ya mapambano kwasababu huko ndiko wanaweza kuzungumza na kusikilizwa.

Chanzo: BBC Swahili
Tanzania haiwezi kukubali tena machafuko Burundi, CCM haiwezi kukubali tena CNDDFDD iporwe ushindi
 
Huyu jamaa mpumbavu sana anataka kumuiga jirani yake - na ukijaribu kufatilia kwa karibu unaweza kukuta ni kabila moja!!

Kuna kitu nyuma ya pazia si bure, cha muhimu hapa Warundi wawe kitu kimoja wasikubali kulubuniwa na watu wenye lengo baya juu ya Taifa lenu-jamani Warundi chunga sana na hila za maadui wenu, endelezeni mshikamano na umoja wenu kwa manufaa ya Taifa lenu.
Na wizi wa kura unauzungumziaje??
 
Yaani Tanzania inahusikaje mpaka iwe na uwezo wa kuzuia machafuko au kujihusisha na siasa za Burundi?
Jiulize Tanzania ilimrudishaje Nkuruziza madarakani na umemsikia Ndayshimiye mwenyewe akikiri bila Tanzania Burundi isingekuwa ilipo
 
Unaishi zamani mkuu kuishi vizuri na jirani doesn't means you can control what's happening indoors.
 
Kumekucha Burundi. Naomba kuuliza, kuna ubaya gani kwa nchi za Kiafrika kuendesha demokrasia huru shindani ili kudumisha amani na kuleta maendeleo kwa wananchi? Kwa sababu vyama vingi vina faida ya kuichangamsha serikali iliyopo madarakani isilale na kujisahau.

Habari kamili:

Katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mwishoni mwa wiki hii mjini Brussels, Ubelgiji, baadhi ya wanasiasa wenye mfungamano na makundi matatu ya kisiasa yaliyoikimbia Burundi, wamethibitisha kwamba wanakwenda kuchukua hatua kutokana na wizi wa kura uliofanyika katika uchaguzi huo, ambao wanasema unaelekea kusababisha uharibifu wa nchi.

Mmoja wa wanasiasa hao Frederique Bamvuginyumvira, aliyekuwa Makamu wa rais, aliyewawakilisha wanasiasa amesema kuwa hawana chaguo jingine la kukataa matokeo ya uchaguzi zaidi ya kuchukua silaha.
Alisema: "Tumeona uchaguzi ukiibiwa waziwazi, watu wanaamriwa wapige kura, wengine wananyang'anywa kadi, wengine hata kura kwa nguvu. Haya yametokea. Hatuwezi kuvumilia kuwa chama kilichopo madarakani kinatuletea mateso, tunaenda kuchukua silaha na kuikomboa nchi yetu.

Wanataka kutuua, lakini sisi tumeinuka kupigana na serikali iliyopo madarakani kwa pinde na mishale, inawezekana kabisa."

Ingawa hakutaja jina la kikundi chao au ni nani watakuwa wanachama wake, Bw Bamvuginyuvira anathibitisha kwamba kuchukua silaha ni jambo lisiloepukika. Anasema wengi wa wale ambao wana nia hii ya kuchukua silaha ili kuanzisha kile anachoita 'mapambano ya ukombozi', na ni pamoja na wale wa nje na wale wa ndani ya nchi.

Wanasiasa hao wanatoka katika makundi ya kisiasa ya Cfor Arusha (Muungano wa Vikosi vya Upinzani vya Burundi kwa Marejesho ya Mkataba wa Arusha), CN (Coalition for the Renaissance of the Nation), inayowakilishwa na Chauvinau Mugwengezo, ambaye ni Msemaji na Msemaji wa Chama cha UPD na Burundi hapo awali. (Patriotic Action Movement), iliyowakilishwa na msemaji wake Liberat Ntibashirakandi.

Wakati baadhi ya wanasiasa waliwaomba programu kama Uprona katika orodha hii ya wanasiasa ambao wengi wao wamekimbia nchi tangu 2015, walisema kuwa programu haziwahusu kwasababu wamejaribu mara nyingi na kukataliwa.

Frederiko Bamvuginyumvira anasema wamejaribu zaidi ya programu 8 lakini hazijafanikiwa, ndiyo maana wameamua kuchagua njia ya mapambano kwasababu huko ndiko wanaweza kuzungumza na kusikilizwa.

Chanzo: BBC Swahili
Burundi ya sasa imeshadhibitwa na serikali, Nkurunzinza alimaliza kilakitu sidhani kama kuna mtu ataweza tena kuingia msituni...jamaa alikusanya silaha zote na kuimarisha mamlaka za ndani na ndo hizo zinazotumiwa na viongozi waliopo madarakani kuchafua chaguzi maana wanajua hakuna wa kuwapinga tena! Afrika ni ileile
 
Sisi WaAfrika ni wapumbavu ambao hatujasitarabika.

Yeye anakaa zake Ulaya halafu anachonganisha wanyonge wauane wakimaliza aje na familia yake wale kuku kwa mirija.

Ninawashauri wenzetu wa Burundi wajitenge na wanasiasa wapumbavu wanaofurahia madaraka huku wakimwaga damu za wasio na hatia
Hakuna amani bila haki,marekani unayoiona Leo,imejengwa kwa damu na jasho,acha uoga kijana
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom