Husinitukane we damned silly fool - tumechoshwa na tabia zenu za kukosesha amani katika kanda ya maziwa makuu halafu mnakuja kuomba msaada kutoka kwa majirani wenu ikiwemo kuanzisha kambi za ukimbizi mnaishia kiharibu mazingira na ujambazi WA kuteka magari na kuwaua raia wasiyo na hatia huku mkipewa makambi ya ukimbizi, wenyewe kwa wenyewe mnashidwa kuishi kwa amani, halafu na wewe una support upuuzi huu, unataka mpuuzi huyu aanzishe vurugu nchini Burundi - Warudi wamekwisha kuwa werevu hawawezi kubariki majitu yanayo taka kupalilia vita huko Burundi, kuna mataifa mengi ambayo yatahakikisha hilo halitatokea huko Burundi kwa kusaidia jeshi la Burundi kwa hali na mali.Mbona unajamba Jamba hovyo kusikia jamaa anaenda kuchukua silaha unaogopa kifo huku unaiba Mali za nchi hujui kama hai wajinga unaiwaibia ipo siku watasanuka itakula kwako🤣🤣🤣🤣🤣
Watu wanachukua silaha huko Ili wawashugulikie pambaneni na Hali yenu sababu mlikua mnafurahia kula mali za raia kimewalamba 🤣🤣🤣🤣🤣Husinitukane we damned silly fool - tumechoshwa na tabia zenu za kukosesha amani katika kanda ya maziwa makuu halafu mnakuja kuomba msaada kutoka kwa majirani wenu ikiwemo kuanzisha kambi za ukimbizi mnaishia kiharibu mazingira na ujambazi WA kuteka magari na kuwaua raia wasiyo na hatia huku mkipewa makambi ya ukimbizi, wenyewe kwa wenyewe mnashidwa kuishi kwa amani, halafu na wewe una support upuuzi huu, unataka mpuuzi huyu aanzishe vurugu nchini Burundi - Warudi wamekwisha kuwa werevu hawawezi kubariki majitu yanayo taka kupalilia vita huko Burundi, kuna mataifa mengi ambayo yatahakikisha hilo halitatokea huko Burundi kwa kusaidia jeshi la Burundi kwa hali na mali.
Ccm ya burundi inakwenda kutobolewa macho, bado TanzagizaKatika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mwishoni mwa wiki hii mjini Brussels, Ubelgiji, baadhi ya wanasiasa wenye mfungamano na makundi matatu ya kisiasa yaliyoikimbia Burundi, wamethibitisha kwamba wanakwenda kuchukua hatua kutokana na wizi wa kura uliofanyika katika uchaguzi huo, ambao wanasema unaelekea kusababisha uharibifu wa nchi.
Mmoja wa wanasiasa hao Frederique Bamvuginyumvira, aliyekuwa Makamu wa rais, aliyewawakilisha wanasiasa amesema kuwa hawana chaguo jingine la kukataa matokeo ya uchaguzi zaidi ya kuchukua silaha.
Alisema: "Tumeona uchaguzi ukiibiwa waziwazi, watu wanaamriwa wapige kura, wengine wananyang'anywa kadi, wengine hata kura kwa nguvu. Haya yametokea. Hatuwezi kuvumilia kuwa chama kilichopo madarakani kinatuletea mateso, tunaenda kuchukua silaha na kuikomboa nchi yetu. Wanataka kutuua, lakini sisi tumeinuka kupigana na serikali iliyopo madarakani kwa pinde na mishale, inawezekana kabisa."
Ingawa hakutaja jina la kikundi chao au ni nani watakuwa wanachama wake, Bw Bamvuginyuvira anathibitisha kwamba kuchukua silaha ni jambo lisiloepukika. Anasema wengi wa wale ambao wana nia hii ya kuchukua silaha ili kuanzisha kile anachoita 'mapambano ya ukombozi', na ni pamoja na wale wa nje na wale wa ndani ya nchi.
Wanasiasa hao wanatoka katika makundi ya kisiasa ya Cfor Arusha (Muungano wa Vikosi vya Upinzani vya Burundi kwa Marejesho ya Mkataba wa Arusha), CN (Coalition for the Renaissance of the Nation), inayowakilishwa na Chauvinau Mugwengezo, ambaye ni Msemaji na Msemaji wa Chama cha UPD na Burundi hapo awali. (Patriotic Action Movement), iliyowakilishwa na msemaji wake Liberat Ntibashirakandi
Wakati baadhi ya wanasiasa waliwaomba programu kama Uprona katika orodha hii ya wanasiasa ambao wengi wao wamekimbia nchi tangu 2015, walisema kuwa programu haziwahusu kwasababu wamejaribu mara nyingi na kukataliwa.
Frederiko Bamvuginyumvira anasema wamejaribu zaidi ya programu 8 lakini hazijafanikiwa, ndiyo maana wameamua kuchagua njia ya mapambano kwasababu huko ndiko wanaweza kuzungumza na kusikilizwa
Hao walio madarakani nao wanakula kuku kwa mrija huku warundi walio wengi wakishindia uji kwa matembere sasa tofauti iko wapi hapo.Sisi WaAfrika ni wapumbavu ambao hatujasitarabika.
Yeye anakaa zake Ulaya halafu anachonganisha wanyonge wauane wakimaliza aje na familia yake wale kuku kwa mirija.
Ninawashauri wenzetu wa Burundi wajitenge na wanasiasa wapumbavu wanaofurahia madaraka huku wakimwaga damu za wasio na hatia
Bado suluhisho siyo kuuana ili kubadili walaji wa kuku kwa miraja huku nyie wanyonge mkiendelea kushindia uji baada ya kubadili mtawala wenu.Hao walio madarakani nao wanakula kuku kwa mrija huku warundi walio wengi wakishindia uji kwa matembere sasa tofauti iko wapi hapo.
Suruhisho ni Nini kumbe?Bado suluhisho siyo kuuana ili kubadili walaji wa kuku kwa miraja huku nyie wanyonge mkiendelea kushindia uji baada ya kubadili mtawala wenu.
Kuzungumza bila kumwaga damu, mazungumzo yasipoleta matokeo chanya heri wananchi wakae pembeni kuliko kupoteza uhai kisa maslahi ya wachache tena ambao wakiingia madarakani wanasahau mchango wenu.Suruhisho ni Nini kumbe?
Kichwa chako kimejaa mavi unafikiri mpaka watu wanataka kushika silaha hawajazungumza nilifikiri unaongea kitu Cha maana kumbe hamna kitu kichwani yaani mtu ukae kimya huku ukiendelea kukatwa Kodi ambazo wanakula wajanja eti kisa kufa kwani hata ukikaa kimya utaishi milele?Kuzungumza bila kumwaga damu, mazungumzo yasipoleta matokeo chanya heri wananchi wakae pembeni kuliko kupoteza uhai kisa maslahi ya wachache tena ambao wakiingia madarakani wanasahau mchango wenu.
Nchi yoyote haiwezi kwenda popote kwa kuchagua viongozi wao kwa kigezo cha ukabila. Blacks they're their own enemy, claiming you can see beyond your whatever is delusional. Ukabila haukubalikiWewe kama hilo hulioni, basi Mungu akusaidie ili uweze kuona beyond your noses.
ArmoryWanaenda kuchukua silaha wapi...
Hoja yako haina mashiko. kuishi ulaya haimaanishi Hana haki ya kutoa mtazamo, mawazo, hoja.Sisi WaAfrika ni wapumbavu ambao hatujasitarabika.
Yeye anakaa zake Ulaya halafu anachonganisha wanyonge wauane wakimaliza aje na familia yake wale kuku kwa mirija.
Ninawashauri wenzetu wa Burundi wajitenge na wanasiasa wapumbavu wanaofurahia madaraka huku wakimwaga damu za wasio na hatia
Hao masikini wakipigana na kuuana wananufaika vipi na hicho unachowaahidi utawafanyia huku wameshakufa au wameachiwa umasikini zaidi kwa kukimbia makazi yao na mali zao kidogo kuharibiwa?Hoja yako haina mashiko. kuishi ulaya haimaanishi Hana haki ya kutoa mtazamo, mawazo, hoja.
Huenda malengo yake ni yakizalendo na yana lengo la kuikomboa Burundi kutoka kwa Viongozi matapeli na umaskini.
Kutukana kunabadili kipi?.Kichwa chako kimejaa mavi unafikiri mpaka watu wanataka kushika silaha hawajazungumza nilifikiri unaongea kitu Cha maana kumbe hamna kitu kichwani yaani mtu ukae kimya huku ukiendelea kukatwa Kodi ambazo wanakula wajanja eti kisa kufa kwani hata ukikaa kimya utaishi milele?