Tunaenda kuchukua silaha na kuikomboa nchi yetu' - Makamu Rais wa zamani wa Burundi

Kukiwa na kukithiri kwa ukosekanaji wa haki huwa ni chanzo kikuu cha ukaribishaji vurugu.
 
Watanzania tunalakujifunza kutoka Kwa huyu mzalendo.Kura zikiwa zinaibwa waziwazi lazima tuingie mstuni kukinukisha ili CCM waheshimu maamuzi ya wananchi
 
Chama rafiki cha chama kongwe dola Tanzania nao tayari wamepata changamoto ya wapinzani kwenda kutumia njia mbadala kupata haki ya uchaguzi.

Kuna cha kujifunza kwa serikali ya CCM kutoka utawala uliopo nchini Burundi kuhusu njia bora ya utawala wa haki.
 
Vilio vya vyama vya upinzani nchini Burundi ni vya muda mrefu,

TOKA MAKTABA :
20 Julai 2015

"I Dont Know The Idea Of Burundi About This Government Of Unity" -Frédéric Bamvuginyumvira


View: https://m.youtube.com/watch?v=wVYdvcT116ESaharaTV's Kwesi Baako interviews Frederic Bamvuginyumvira the former Vice President of Burundi and John Manirakiza the leader in the Burundian diaspora talking about the upcoming polls in Burundi...
 
Mbona unajamba Jamba hovyo kusikia jamaa anaenda kuchukua silaha unaogopa kifo huku unaiba Mali za nchi hujui kama hai wajinga unaiwaibia ipo siku watasanuka itakula kwako🤣🤣🤣🤣🤣
Husinitukane we damned silly fool - tumechoshwa na tabia zenu za kukosesha amani katika kanda ya maziwa makuu halafu mnakuja kuomba msaada kutoka kwa majirani wenu ikiwemo kuanzisha kambi za ukimbizi mnaishia kiharibu mazingira na ujambazi WA kuteka magari na kuwaua raia wasiyo na hatia huku mkipewa makambi ya ukimbizi, wenyewe kwa wenyewe mnashidwa kuishi kwa amani, halafu na wewe una support upuuzi huu, unataka mpuuzi huyu aanzishe vurugu nchini Burundi - Warudi wamekwisha kuwa werevu hawawezi kubariki majitu yanayo taka kupalilia vita huko Burundi, kuna mataifa mengi ambayo yatahakikisha hilo halitatokea huko Burundi kwa kusaidia jeshi la Burundi kwa hali na mali.
 
Mdau, hii thread nimeishaileta tangu saa tano asubuhi.

Wakifuta thread yangu tutagombana mana nilishawahi kuleta thread ya vita vya Israel na Iran ya kwangu wakaunganisha na ya kwako baade wakaiachia kama ilivyo. Leo itakuwa ni shida!

Sasa sijui wewe ni moderator au mnapeana connection mpaka Jamii Forum!
 
Watu wanachukua silaha huko Ili wawashugulikie pambaneni na Hali yenu sababu mlikua mnafurahia kula mali za raia kimewalamba 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ccm ya burundi inakwenda kutobolewa macho, bado Tanzagiza
 
Hao walio madarakani nao wanakula kuku kwa mrija huku warundi walio wengi wakishindia uji kwa matembere sasa tofauti iko wapi hapo.
 
Hao walio madarakani nao wanakula kuku kwa mrija huku warundi walio wengi wakishindia uji kwa matembere sasa tofauti iko wapi hapo.
Bado suluhisho siyo kuuana ili kubadili walaji wa kuku kwa miraja huku nyie wanyonge mkiendelea kushindia uji baada ya kubadili mtawala wenu.
 
Ata bongo inabidi watu wakinukishe,hao kina Mafwere, Mchengerwa,yule wakili Katuga wana ndugu na watoto,target hao nao waonje uchungu wa kumpoteza mpendwa wako
 
Suruhisho ni Nini kumbe?
Kuzungumza bila kumwaga damu, mazungumzo yasipoleta matokeo chanya heri wananchi wakae pembeni kuliko kupoteza uhai kisa maslahi ya wachache tena ambao wakiingia madarakani wanasahau mchango wenu.
 
Kuzungumza bila kumwaga damu, mazungumzo yasipoleta matokeo chanya heri wananchi wakae pembeni kuliko kupoteza uhai kisa maslahi ya wachache tena ambao wakiingia madarakani wanasahau mchango wenu.
Kichwa chako kimejaa mavi unafikiri mpaka watu wanataka kushika silaha hawajazungumza nilifikiri unaongea kitu Cha maana kumbe hamna kitu kichwani yaani mtu ukae kimya huku ukiendelea kukatwa Kodi ambazo wanakula wajanja eti kisa kufa kwani hata ukikaa kimya utaishi milele?
 
Wewe kama hilo hulioni, basi Mungu akusaidie ili uweze kuona beyond your noses.
Nchi yoyote haiwezi kwenda popote kwa kuchagua viongozi wao kwa kigezo cha ukabila. Blacks they're their own enemy, claiming you can see beyond your whatever is delusional. Ukabila haukubaliki
 
Hoja yako haina mashiko. kuishi ulaya haimaanishi Hana haki ya kutoa mtazamo, mawazo, hoja.

Huenda malengo yake ni yakizalendo na yana lengo la kuikomboa Burundi kutoka kwa Viongozi matapeli na umaskini.
 
Hoja yako haina mashiko. kuishi ulaya haimaanishi Hana haki ya kutoa mtazamo, mawazo, hoja.

Huenda malengo yake ni yakizalendo na yana lengo la kuikomboa Burundi kutoka kwa Viongozi matapeli na umaskini.
Hao masikini wakipigana na kuuana wananufaika vipi na hicho unachowaahidi utawafanyia huku wameshakufa au wameachiwa umasikini zaidi kwa kukimbia makazi yao na mali zao kidogo kuharibiwa?
 
Kutukana kunabadili kipi?.

Unadhani hata mkiuana anayenufaika na hayo mauaji ni raia wa kawaida au mtawala?

Umewahi ishi sehemu yenye vita au machafuko ya kisiasa ukaona madhira yake?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…