Tunaenda kuchukua silaha na kuikomboa nchi yetu' - Makamu Rais wa zamani wa Burundi

Naona umeamua kuchukua upande mmoja tu wa serikali, huo utawala wa Burundi ni mafia sana,Kila serikali iingiapo madarakani upinzani lazima uonje joto la jiwe, hivyo hali hii ndo imechochea ukosefu wa usalama katika nchi hiyo, ni mwendo wa kuviziana kati ya watawala na wapinzani au wakati mwingine watawala kwa watawala wenyewe. Katika jambo hili serikali ndo inachochea uhasama kwa kiasi kikubwa
 
Hii ndiyo naisikia kwa mara ya kwanza, hivi raisi aliye ponduliwa alipokuja kutembelea Tanzania wakati WA Utawala wa Magufuli alikuwa anaitwa NANI? Na aliwezaje kurudi Burundi bila ya kubughudhiwa??
 
Huwa nawasikitikia saaana wanaume wanaooa warundi na wanyarwanda au wahangaza. Very dangerous brats!!!
 
Uminywaji wa democracy ni kuingia msituni tu
 
Hii ndiyo naisikia kwa mara ya kwanza, hivi raisi aliye ponduliwa alipokuja kutembelea Tanzania wakati WA Utawala wa Magufuli alikuwa anaitwa NANI? Na aliwezaje kurudi Burundi bila ya kubughudhiwa??
Piere Nkurunzinza, inasemekana alipata escort ya JWTZ hadi nchini kwake. Huyo nae alikuwa dictator sana.Siasa za Burundi ni pasua kichwa
 
Pamoja na yote bt vita sio njia nzuri...
Vita mbaya sana, watateseka wengine wasio na hatia..
 
Bado suluhisho siyo kuuana ili kubadili walaji wa kuku kwa miraja huku nyie wanyonge mkiendelea kushindia uji baada ya kubadili mtawala wenu.
Mtabadili mtawala kwa njia gani sasa wakati kwenye uchaguzi ni uhuni mtupu unafanyika.
 
Tanzania haiwezi kukubali tena machafuko Burundi, CCM haiwezi kukubali tena CNDDFDD iporwe ushindi
 
Na wizi wa kura unauzungumziaje??
 
Tanzania haiwezi kukubali tena machafuko Burundi, CCM haiwezi kukubali tena CNDDFDD iporwe ushindi
Yaani Tanzania inahusikaje mpaka iwe na uwezo wa kuzuia machafuko au kujihusisha na siasa za Burundi?
 
Yaani Tanzania inahusikaje mpaka iwe na uwezo wa kuzuia machafuko au kujihusisha na siasa za Burundi?
Jiulize Tanzania ilimrudishaje Nkuruziza madarakani na umemsikia Ndayshimiye mwenyewe akikiri bila Tanzania Burundi isingekuwa ilipo
 
Jiulize Tanzania ilimrudishaje Nkuruziza madarakani na umemsikia Ndayshimiye mwenyewe akikiri bila Tanzania Burundi isingekuwa ilipo
Unaishi zamani mkuu kuishi vizuri na jirani doesn't means you can control what's happening indoors.
 
Burundi ya sasa imeshadhibitwa na serikali, Nkurunzinza alimaliza kilakitu sidhani kama kuna mtu ataweza tena kuingia msituni...jamaa alikusanya silaha zote na kuimarisha mamlaka za ndani na ndo hizo zinazotumiwa na viongozi waliopo madarakani kuchafua chaguzi maana wanajua hakuna wa kuwapinga tena! Afrika ni ileile
 
Hakuna amani bila haki,marekani unayoiona Leo,imejengwa kwa damu na jasho,acha uoga kijana
 
Reactions: K11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…