Huyu jamaa mpumbavu sana anataka kumuiga jirani yake - na ukijaribu kufatilia kwa karibu unaweza kukuta ni kabila moja!!
Kuna kitu nyuma ya pazia si bure, cha muhimu hapa Warundi wawe kitu kimoja wasikubali kulubuniwa na watu wenye lengo baya juu ya Taifa lenu-jamani Warundi chunga sana na hila za maadui wenu, endelezeni mshikamano na umoja wenu kwa manufaa ya Taifa lenu.