Tunafahamu ni utandawazi ila hii sio sawa!

Hii ni shida kubwa.
Afande Sele alisema;
Maendeleo yanakuja na mambo Leo.
 
Basi na uendelee kuwapigania wabongo tulishachoshwa na unafiki na uzandiki wa wabongo wenzetu,uchawa,wizi na ujinga wote wa kula na kuvimbiwa halafu tunawakejeli wenye shida ,matatizo na uhitaji wa kweli.
 
Ushenzi upo ila sio kama South
Ulinganifu tunaojipa na south ni upi?Ni swala la muda wasouth walisha amka na kuona mwendo sio ili mambo yaende ama kuwadhibiti wavamizi wa fursa zao ama watwawala wao.Sisi tumejikita kushibisha tumbo la chawa mmoja mmoja kwa imani kuwa atawadhibiti wenye njaa na mahitaji na kusahau shida zao.Japo mimi sioni kama ndio dawa .ila dawa ni kuacha ujinga na kufanya yaliyo sahihi na kwa manufaa ya wengi na sii wachache au yale manufaa ya makundi ya twawala.
 

Ni sawa tu, Kama walimu wamethubutu ina maana wazazi hawana noma, shida yako nini sasa? Ila ingekuwa ni wangu ingekuwa balaa nzito!
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Acha na Barcelona kwanza washa kitu Cha skanka tuburudikee na man city vs arsenal timee hii madam
Nipo nawacheki hapa watu washawekwa
 
Afu unakuta huyo ndo alikuwa kinara kupinga usaili πŸ˜‚
walimu ni wengi sana hivyo mchujo uwe mlaki zaidi kwa manufaa ya kizazi kijacho

ikibidi kuwe na upimaji wa walimu hata baada ya kuajiriwa mtu afai apishe wanaofaa elimu na afya si vitu vya kuleta mzaa
 
walimu ni wengi sana hivyo mchujo uwe mlaki zaidi kwa manufaa ya kizazi kijacho

ikibidi kuwe na upimaji wa walimu hata baada ya kuajiriwa mtu afai apishe wanaofaa elimu na afya si vitu vya kuleta mzaa
Waalimu wakiona hii Comment wanaweza kukuachia laana πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…