Tunahitaji mjadala mpana wa kitaifa juu ya timu ya watu inayounda 'Mamlaka za Uteuzi' nchini

Naunga mkono maoni yako balanced ni muhimu Ili watu wengi watengeneze future za vizazi vyao wakiwa hawapo waweze kujitegemea na siyo group moja tu liwe limetengezewa future nzuri kwa vizazi vyao.
 
Anzia na ratio ya graduates , ambayo ni juhudi zako binafsi, uende, za level Nyingine mpaka PhD/ Dr
Halafu uje uandike upya hiyo dhumuni lako
 
Usipojali demographia ya nchi, unaweza kuteua makatibu wakuu wote wahaya, halafu ukajiaminisha kuwa maadamu wana vigezo basi hakuna tatizo—Tatizo lipo
You are right, tuombe uvumulivu tu ndani ya nchi. Kama nilivyosema, ukiamua kufukua haya mambao hakunaga mwisho
 
Mkuu mambo ya udini,ukabila....sijui vitu gani yako very complicated...ni vigumu sana kusatify your wants.unapofanya analysis zingatia the whole situations...katiba hapa inatoa mwongozo kwamba mtu asinyimwe kazi kwa kuwa ni dini fulani ILIHALI vigezo vyote vya nafasi/kazi hiyo anavyo.na katiba haisemi kwamba tuzingatie uwiano wa dini...
 
Usipojali demographia ya nchi, unaweza kuteua makatibu wakuu wote wahaya, halafu ukajiaminisha kuwa maadamu wana vigezo basi hakuna tatizo—Tatizo lipo
ww naona umelalia demographia. teuzi si demographia.. ni combination of many things.
qualification na uzoefu vikiwa vipaombele vua kwanza kabisa.
no body cares , as long as wateuliwa wanakizi vigezo vya nafasi husika. na wana deliver
 
Anzia na ratio ya graduates , ambayo ni juhudi zako binafsi, uende, za level Nyingine mpaka PhD/ Dr
Halafu uje uandike upya hiyo dhumuni lako
Hata hilo unalolisema lingekuwa kweli, bado wapo waislamu wa kutosha tu wenye elimu, uaminifu na uwezo kama watu wengine wanaopata fursa hizi kwa wingi zaidi.

Nchi hii waislamu wenye digrii moja wapo maelfu kwa maelfu, Wenye digrii mbili na tatu wapo mamia kwa mamia kwa hiyo katika teuzi za watu 20, 30 au hata 100 kuniambia eti unakosa Waislamu wa kutosha wenye vigezo si sahihi
 
ww naona umelalia demographia. teuzi si demographia.. ni combination of many things.
qualification na uzoefu vikiwa vipaombele vua kwanza kabisa.
no body cares , as long as wateuliwa wanakizi vigezo vya nafasi husika. na wana deliver
Huwezi kuteua ukoo wako tupu ukawapa vyeo hivyo kisa eti wana vigezo—Ukifanya hivyo siyo utawala bora. Kwenye uongozi lazima timu unayofanya nayo kazi iakisi sura ya Taifa
 
"..... Ndiyo maana nataka uchunguzi ufanyike ili tujue kuwa hizi Mamlaka za Vetting na uteuzi hakuna motive ya udini katika hizi teuzi.
Hsiwezekani Always waislamu wawe wachache tena wachache kwelikweli kwenye kila......"

Nami nikuulize swl...so mamlaka za vetting zanzibar zona motive ya udini?... KWA maana aiwezekani wakristo wawe wachache kwelikweli kwenye kila.....
 
Wengine watajenga hoja kuwa "kwani hana vigezo"? [emoji16][emoji16]
Justice must not only be done, it must also appear to be done.

Caesars wife must be above suspicion.

The appearance of nepotism alone is problematic.

Tanzania has no shortqge of qualified people to the extent of overrepresenting one family.

Tanzania is a republic, not a kingdom.
 
Usipojali demographia ya nchi, unaweza kuteua makatibu wakuu wote wahaya, halafu ukajiaminisha kuwa maadamu wana vigezo basi hakuna tatizo—Tatizo lipo
Huwa wanazingatia mambo hayo ya ukabila..ukanda..udini(ili kuleta umoja wa kitaifa) ILA si kw kiwango unachotaka kiwe...KWA kuwa wakifuata mawazo yako matokeo yake yanakuwa ni kuligawa taifa
 
Ningependa teuzi zizingatie uwezo kwanza, mengine kama dini, kabila na ukanda yakazingatiwa.

Kama sensa zingekuwa zina kipengele cha dini nadhani huu mjadala ungekuwa rahisi sana.
Nakubaliana na wewe Ila Ni vema pia kuelewa Hali halisi ya nchi yetu. Kwa mfano itakuwa halali kuchagua makatibu wakuu 5 kutoka mkoa mmoja kisa tu Wana uwezo?
 
Huwezi kuteua ukoo wako tupu ukawapa vyeo hivyo kisa eti wana vigezo—Ukifanya hivyo siyo utawala bora. Kwenye uongozi lazima timu unayofanya nayo kazi iakisi sura ya Taifa
nani kakwambia kuwa nateua ukoo?

rais hafanyi maamuzi mwenyewe. rais ni taasisi.
na ziko taasisi chini yake zinafanya hiyo kazi.
so far sioni kosa lao.
wanasimamia pale pale. hakuna kuangalia dini ya mtu.
haijalishi anaabudu matope au kinyesi. kama ana qualification amefuzu.

and i am curious. why ni islams tu? what about dini zingine? budha ,hindus, wapagani? wakianza kulalamika pia patakalika?

zanzibar majority of cabinet ni dini moja. tuseme wana hila? tuseme dini zingine hazipo zanzibar?
 
Usipojali demographia ya nchi, unaweza kuteua makatibu wakuu wote wahaya, halafu ukajiaminisha kuwa maadamu wana vigezo basi hakuna tatizo—Tatizo lipo
Afu jua kuwa katika mfumo wa kibeberu ni ngumu sana kuleta uwiano si tu kiuchumi hata kisiasa na kijamii
 
Seminary schools zimesomesha WAKATOLIKI WEENGI, WALUTHERI, ANGLICANS MORAVIANS, SABATH, NA WENGINEO WEENGI HAPO KABLA, NA WATOTO WAO PIA WAMESOMA, WAPO KWA SYSTEM. NI SUALA LA TAALUMA TU. SERIKALI SIO MAHALA PA KUFUNDISHA DINI, KWAMBA TUWEKE MFUMO WA KIDINI KTK UTAWALA. KAMA HUNA SIFA NA VIGEZO, HUCHAGULIWI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…