Tunahitaji mjadala mpana wa kitaifa juu ya timu ya watu inayounda 'Mamlaka za Uteuzi' nchini

Tunahitaji mjadala mpana wa kitaifa juu ya timu ya watu inayounda 'Mamlaka za Uteuzi' nchini

Justice must not only be done, it must also appear to be done.

Caesars wife must be above suspicion.

The appearance of nepotism alone is problematic.

Tanzania has no shortqge of qualified people to the extent of overrepresenting one family.

Tanzania is a republic, not a kingdom.
I'm trying to make the same argument on appointments that always seem to tilt in favour of one group (based on religion affiliation), I am trying to show them that whenever appointments are made in bulk, there has never been a single time when people from religion X are more in numbers than people of religion Y.
So my argument is, is it true that there are no enough people from religion X who have all qualifications required as compared to people of religion Y?

And why there has always been an observable pattern where people of religion X are always in a margin of about (20-25)% when a bulk appointment is done? —This has been true in the DASes, RASes, RCs, DCc, Ambassadors, DEDs, Ministers, Executive Secretaries and so on!

The argument that the number of people of religion X having qualifications is low to warrant a fair representation is futile because, There are thousands of their graduates coming out f universitiea every year.

When Nyerere was retiring in 1985 he said, he has successfully decreased the gap of education imbalance between Muslims and Christians, and he said that when he makes appointments, he no longer worry about having few people from Muslims conmunity, Now the question is, if by 1985 the education gap has been decreased significantly, then why on earth in 2021 we still see a large gap on appointments between Muslims and Christians where by the latter taking a lionshare of those? —Something is smelling fishy here!
 
Rais muislam
Waziri mkuu Muislam
Katibu mkuu kiongoz Muislam
Jaji mkuu Muislam
Bado unalalamika.... Ulitaka viongoz wote wawe waiaslam!?.. Mlitaka mpewe nini ili nyie binadam mlizike!? Mbona Hamna confidence hivyo... Haya kwa mfano serikali ya mapinduz Zanzibar INA wakristo wangap kwenye idara zake na nini cha ajabu kinatokea kwa kuwa na waislam wengi ktk serikali ya zanzibar.. Embu mlete vitu vya msingi basi tujadili basi na sio ujinga kama huu... Basi tufanye ateue waislam wote wewe utafaika nini kwa mfano...
 
Nb. Nachangia huku nimepuuza hoja za udini!!!
Inaonesha uteuzi unafanywafanywa tuu mradi kubadili sio kupanga safu iliyo bora!! MTU humjui unampa cheo kikubwaaa hivi DG TPDC nikama 'Monta' wa wadarasa?? Tuwe serious tunahitaji katiba mpya
 
ww naona umelalia demographia. teuzi si demographia.. ni combination of many things.
qualification na uzoefu vikiwa vipaombele vua kwanza kabisa.
no body cares , as long as wateuliwa wanakizi vigezo vya nafasi husika. na wana deliver
Yap nami nafikiri hivyo...hata hivyo wanajitahidi kunalance...kama raisi akiwa mkristo ANGALAU Kati ya makamu au wazr mkuu awe mkristo....nimependa mfumo huu.ila haya mambo tukisema tuyaendekeze kama huy#@Missile of the Nation anavyotaka taifa litagawanyika
 
Si ajabu wewe ukiona uteuzi uliokaa kikabila unamaindi ila ukiona uliokaa kidini unaona iko poa tu
 
ww naona umelalia demographia. teuzi si demographia.. ni combination of many things.
qualification na uzoefu vikiwa vipaombele vua kwanza kabisa.
no body cares , as long as wateuliwa wanakizi vigezo vya nafasi husika. na wana deliver
Kikubwa ni kuangalia vigezo...natu mwenye vigezo asibaguliwe KWA sababu yupo dini fulani
 
Nami leo nitie neno hapa,,,,katiba yetu haizungumzii mambo ya dini. Eti katika nafasi flani au uongozi swala la dini lizingatiwe wala ukanda wala ukabila. Haya mambo jamii yetu ikianza kuyazingatia tunapokwenda tunaenda kuligawa taifa. Mtu anayeona teuzi au ungozi wa nchi akaanza kugikiria maswala haya ya dini, ukabila, ukanda huyu ni hatari kuliko hata neno lenyewe. Mteuliwa au kiongozi akianza kufikiria haya mambo katika utendaji wake ni hatari zaidi. Viongozi wajikite kuwahudumia wananchi kwa usawa bila kujali dini, kabila, ukanda au jinsia. Juzi aliteuliwa kiongozi flani watu wa eneo lile alikotoka na watu wakabila lake wakaanza kufurahia kwamba na sisi tumekumbukwa, nilishangaa sana. Inamaana kwa kipindi ambapo hapakuwa na kiongozi mkubwa kuyoka kwenye mlinyanyaswa? Tuache fikra hizi zitatugawa kama Taifa. Tuangalie umoja wetu usivurugwe na fikra kama hizi
 
Ni sawa na Kuhoji serikali ya Zanzibar haioni wakristo?
 
Yap nami nafikiri hivyo...hata hivyo wanajitahidi kunalance...kama raisi akiwa mkristo ANGALAU Kati ya makamu au wazr mkuu awe mkristo....nimependa mfumo huu.ila haya mambo tukisema tuyaendekeze kama huy#@Missile of the Nation anavyotaka taifa litagawanyika
Sasa umeona ndugu yangu kuwa unaona busara ya kubalance nafasi za juu tena umesema unapenda hilo—Kwa nini usione busara hiyohiyo katika utumishi wote wa serikali?

Maana haiwezekani hilo unalolipenda liwe zuri kwa ngazi za juu ila liwe baya kwenye ngazi za chini
 
Nami leo nitie neno hapa,,,,katiba yetu haizungumzii mambo ya dini. Eti katika nafasi flani au uongozi swala la dini lizingatiwe wala ukanda wala ukabila. Haya mambo jamii yetu ikianza kuyazingatia tunapokwenda tunaenda kuligawa taifa. Mtu anayeona teuzi au ungozi wa nchi akaanza kugikiria maswala haya ya dini, ukabila, ukanda huyu ni hatari kuliko hata neno lenyewe. Mteuliwa au kiongozi akianza kufikiria haya mambo katika utendaji wake ni hatari zaidi. Viongozi wajikite kuwahudumia wananchi kwa usawa bila kujali dini, kabila, ukanda au jinsia. Juzi aliteuliwa kiongozi flani watu wa eneo lile alikotoka na watu wakabila lake wakaanza kufurahia kwamba na sisi tumekumbukwa, nilishangaa sana. Inamaana kwa kipindi ambapo hapakuwa na kiongozi mkubwa kuyoka kwenye mlinyanyaswa? Tuache fikra hizi zitatugawa kama Taifa. Tuangalie umoja wetu usivurugwe na fikra kama hizi
Naukubaliana na hoja yako mkuu.huyu@Missile of the Nation haoni hatari ya haya mambo...ubaya anazingatia fact moja hivyo anaizuia akili yake kufikiri nje ya box
 
Mleta mada jifunze kuandika mada zenye manufaa kwa taifa lako na sio kutaka kuamsha migogoro ndani ya jamii unayoishi pia unless uko nje ya nchi na huna plan ya kurudi.
 
Sasa umeona ndugu yangu kuwa unaona busara ya kubalance nafasi za juu tena umesema unapenda hilo—Kwa nini usione busara hiyohiyo katika utumishi wote wa serikali?

Maana haiwezekani hilo unalolipenda liwe zuri kwa ngazi za juu ila liwe baya kwenye ngazi za chini
Kaka natami iwe hivyo lakini ni kitu ambacho ni hatari na kigumu kufikiwa kama ilivyo kufikika
Hebu fikiri...katika taasisi fulani umeomba kazi unakataliwa kisa wew ni wa dini yako wapo wengi hivyo wanataka wa dini nyingine kuleta uwiano ilhali vigezo unavyo...utajisikiaje?uoni kuwa ni mwanzo wa machafuko
 
Mleta mada jifunze kuandika mada zenye manufaa kwa taifa lako na sio kutaka kuamsha migogoro ndani ya jamii unayoishi pia unless uko nje ya nchi na huna plan ya kurudi.
Kufumbiafimbia viashiria vya ubaguzi na upendeleo ni hatari zaidi kuliko kusimama kidete na kupiga kelele huo ubaguzi uishe!

Kama tunaweza kukemea teuzi zilizokaa kikabila kwa nini tuone haya kukemea teuzi zenye sura ya udini?
 
Hata akidi yaWAISLAMUni wachache na wame soma QURAN tu hawana ELIMU nyingine
NDIO MAANA SAMIA HATA SASA ANA UMIZA KICHWA SAAANA,

pia ACHA UDINI NA UCHOCHEZI
 
Literally huwa kuna 80/20 rule. Lakini nje na dini maana kuna wengine ni wakosa dini lazima kuwe na uwakilishi wa groups zote. Jinsia, sehemu tofauti nchini/ kanda, walemavu n.k Sasa ugumu unakuja pale kundi flani hawana sifa/ vigezo stahiki. Maana juu ya yote lazima sifa ziwe kigezo cha kwanza....
 
Hata akidi yaWAISLAMUni wachache na wame soma QURAN tu hawana ELIMU nyingine
NDIO MAANA SAMIA HATA SASA ANA UMIZA KICHWA SAAANA,

pia ACHA UDINI NA UCHOCHEZI
Hii hoja kwamba waislamu hawajasoma ni hoja iliyopitwa na wakati, wapo mamia ya waislamu wenye PhDs na maelfu ya wenye digrii za kawaida
 
Hata hilo unalolisema lingekuwa kweli, bado wapo waislamu wa kutosha tu wenye elimu, uaminifu na uwezo kama watu wengine wanaopata fursa hizi kwa wingi zaidi.

Nchi hii waislamu wenye digrii moja wapo maelfu kwa maelfu, Wenye digrii mbili na tatu wapo mamia kwa mamia kwa hiyo katika teuzi za watu 20, 30 au hata 100 kuniambia eti unakosa Waislamu wa kutosha wenye vigezo si sahihi
Tatizo ni uiano mfano Dini B wapo kumi na Dini A wapo wawili, hapo uwezekano wa kuteuliwa itakuwa ni A au B.
Kuwa mkweli wa Moyo wako.
au unataka kusema wapi 5:5.
Na mara Nyingi wajuvi wana penda kufanya haya pilot study ili usipoteze resource, nenda pale uni uone ratio ya waalimu ipoje kwa kuanzia, isipotosha nenda hata kwenye ualimu au ma daktari, halafu nenda kwenye vitivo
 
Kufumbiafimbia viashiria vya ubaguzi na upendeleo ni hatari zaidi kuliko kusimama kidete na kupiga kelele huo ubaguzi uishe!

Kama tunaweza kukemea teuzi zilizokaa kikabila kwa nini tuone haya kukemea teuzi zenye sura ya udini?
Mada za kuchochea migogoro ya kidini zinakunufaisha nini??

Unataka kuona jamii yako ikivurugika ndipo uwe na amani ya moyo.

Achana na mada kama hizi hazina faida.
 
Back
Top Bottom