Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna uthibitisho wa hilo, unayo credible information kutoka mamlaka za Tanzania zinazothibitisha hilo?Hoja ni kwamba, waislam wapo wachache.
Hiyo hapo estimations kutokana na undisclosed sourcesHakuna uthibitisho wa hilo, unayo credible information kutoka mamlaka za Tanzania zinazothibitisha hilo?
Sasa wewe unataka watu wote tujae serikalini kupitia kuteuliwa..Serikali ina maelfu ya watu, hao ni sehemu tu, japo ni influential
Current statistics on the relative sizes of various religions in Tanzania are limited because religious questions have been eliminated from government census reports since 1967. A 2010 survey from the Pew Research Center found that 61% of the population are Christian, 36% are Muslim, 2% practice traditional religions and 1% are unaffiliated.Hakuna uthibitisho wa hilo, unayo credible information kutoka mamlaka za Tanzania zinazothibitisha hilo?
Nafasi zote za teuzi za rais huwa hazifiki watu 3000.
Sasa waislamu Graduates, wenye sifa na vigezo wanazidi nafasi zote hizo nilizozitaja.
Sasa ukiniambia eti hakuna waislamu wa kutosha kuteuliwa mpaka ipelekee teuzi zifanyikazo zilalie kwa sana kwa watu wa dini moja kila wakati ni hoja ambayo haina ukweli wowote.
Sasa ukiteua makatibu wakuu 20, unataka kuniabia nchi hii hakuna waislamu 8, 9, 10, 12 wenye vigezo vya kuwa makatibu wakuu?
Mkuu, hebu tutumie common sense na reason.Waislamu waliomba sensa ya mwaka 2012 iwe na kipengele cha dini ya mtu, Kanisa na Serikali vikapinga.
Kimsingi Waislamu walitaka mfano wa mambo hayahaya ninayokemea ya viashiria vya ubaguzi kwenye teuzi vikome, maana data zinaonyesha representation yao kwenye nafasi za teuzi ni kiduchu sana kitu ambacho kinahitaji utafiti wa kitawala, kwa nini Myslims siku zote ni wachache kwenye teuzi, Je kuna udini behind?, Je hawapo wa kutosha wenye vigezo?, ni kwa namna gani vetting inafanyika?—Vyote hivyo lazima vifanyike ili tuzidi kupata nchi iliyofair zaidi!
[emoji3][emoji3]Rais - muislam
Waziri mkuu - muisilam
Katibu mkuu kiongozi - muisilam.
Sasa wewe mleta mda unataka Viongozi gani wa ngazi za juu tofauti na hao watatu?
Kwanza waislamu wengi tuko busy na Mambo ya Allah, kwanini unataka kutuingiza kwenye Mambo ya duniaa?
"Au nakosea ndugu zangu" R.I.P jiwe[emoji122]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Hao 20 percent Muslims bado kuna watu wanamuona mama mdini.
Walitaka Muslim ikiwezekana wawe 1 percent I guess.
Hii nchi ngumu sana
Hizo data zinatambuliwa na Mamlaka za Takwimu za Tanzania? —Hiyo taasisi ya kusensa watu ilipata wapi kibali cha kufanya censoring?, Hizo ni takwimu feki, siyo credibleCurrent statistics on the relative sizes of various religions in Tanzania are limited because religious questions have been eliminated from government census reports since 1967. A 2010 survey from the Pew Research Center found that 61% of the population are Christian, 36% are Muslim, 2% practice traditional religions and 1% are unaffiliated.
Hivi wewe unaamini raisi ndo anafanya kila kitu kwenye vetting? —Huyo analetewa majina tu, na yeye akiwa siyo muelewa wa picha pana ya nchi yake anasaini tu.Mkuu, hebu tutumie common sense na reason.
Sasa hivi Rais ni Muislam, Waziri Mkuu Muislam, mkuu wa Tiss ni Muislam, Katibu Mkuu Kiongozi pia ni Muislam
Hawa watu ndio Wana influence teuzi zinazofanywa na Rais, so hawa wanaweza wakawa wanapendelea Wakristu na kukandamiza Waislam wenzao? Ili iweje? Inakuingia akilini?
Au kuna force nyingine inayowalazimisha kuteua Waislam wachache? kama mnavyodai ni kanisa katoliki, kanisa katoliki Tanzania lina nguvu kiasi hicho? inakuingia akilini?
Mimi nimesoma shule ya bweni inayochukuwa wanafunzi nchi nzima. Kwenye ile shule wanafunzi wa Kiislam walikuwa hawazidi robo, japo ni taifa zima
Pia nimesoma Chuo Kikuu Mzumbe, ambayo ni taasisi inayochukua wanafunzi nchi nzima pia, Wamafunzi wa Kiislam walikuwa hawazidi robo mkuu
Hii inakupa picha gani? kuwa Waislam wanabaguliwa hadi kwenye elimu za msingi? Hapana, Hawazingatii elimu? Hapana. Hii inamaanisha kuwa Waislam Tanzania ni wachache kuliko Wakristo, na wala haliumizi kichwa hili, sababu ni mikoa mingapi hapa Tz ina Waislam hata nusu tu ya wakazi wote? Nadhani ni michache sana, Lindi, Zanzibar, Tanga labda na Dar. So tuache mihemko na tutumie mantiki zaidi tutaepukana na mawazo kama yako
Ha ha ha ha, mkuu, achana na mambo ya Dunia, mtafute Allah uione pepo.Hizo data zinatambuliwa na Mamlaka za Takwimu za Tanzania? —Hiyo taasisi ya kusensa watu ilipata wapi kibali cha kufanya censoring?, Hizo ni takwimu feki, siyo credible
[emoji1542]Kama umewahi kusoma, kuanzia elimu ya msingi, sekondari mpaka elimu ya juu (zingatia madarasa yako husika katika hizo hatua zote), utagundua kuwa hata kwenye madarasa yako uliyowahi kusoma wakristo ni wengi.Kwa sensa zipi ndugu?
Rubbish Muslim tabloid paper...Hoja ya kutokuwepo Waislamu wasomi ni hoja Muflisi, hapa chini nakuwekea list ya Waislamu wenye PhD.
Waislamu wenye masters wako wengi, wenye figrii ya kwanza bdo usiseme—Sasa watakosekanaje waislamu wa kutosha ndani ya watu 20, 30 au hata 100 wanaoteuliwa?
View attachment 1744054
View attachment 1744056
View attachment 1744057
View attachment 1744059
View attachment 1744061
Sasa ni ajabu eti vigezo ionekane wanavyo zaidi watu wa dini moja, hii inawezekanaje.Mama aliweka wazi kuwa ataangalia record ya mtu, hawa ndugu wanaoteuliwa si kwa ajili ya kusaidia dini flan au kanda flani bali ni kwa ajili ya kuwatumikia wananchi wote wa tanzania, merits first.
Ukitaka azingatie hicho kigezo Cha dini utakuta kumbee hizo dini na zenyewe zimegawanyika
Ungekua kiongozi nchi ingeyumbaI wish mazingira yangethibitisha hicho unachokisema, ila hii pattern inayojirudiarudia ya 20% by 80% rule inahitaji jicho kali la kiuchunguzi
Haiwezekani nchi hii vigezo fulani vinavyomandate teuzi kuwa vipatikane kwa wingi kwa watu wa dini moja tu kuliko wengine.
Hapa huenda kuna mchezo mchafu kwenye timu nzima ya vetting