Tunahitaji wawakilishi waadilifu ambao watasimama katika kulikomboa taifa hili

Tunahitaji wawakilishi waadilifu ambao watasimama katika kulikomboa taifa hili

Friends and Enemies,

Baada ya mkutano wa berlin mwaka 1884/85,and after scramble and partition of Africa uzalendo wetu ulichukuliwa kutoka kwa mababu zetu kwa lazima na hatimae uhuru na nguvu zao zikageuka rasimali kwa wazungu (MISSIONARIES) ambao walipewa hati miliki ya kumiliki ardhi yetu na kuhakikisha yeyote atakaeenda kinyume na wao anauwawa, na wale wote wenye nguvu lazima waende utumwani.

Katika vugu vugu la kutetea uhuru na uzalendo wa nchi na ardhi yetu (MISSIONARIES) kama agents of colonialism hawakuwa tayari katika hilo,na walifanya kila waliloliweza kuwatumia puppets wa kiafrika kurudisha nyuma harakati hizo,(NYERERE ALISHASEMA KATIKA HARAKATI ZAKE ZA KUPIGANIA UHURU KANISA HALIKUMPA USHIRIKIANO,NA AKIMUACHA JOHN RUPIA HAONI MKRISTO MWINGINE AMBAE ALIKUWA BEGA KWA BEGA KATIKA HARAKATI HIZO ZAIDI YA WALE WAZEE WA KIISLAM)

Kwahiyo uzalendo ni asili yetu,tusiache uzalendo na kuithamini ardhi ambayo tumeshushwa katika ulimwengu huu.
Ubaguzi wowote ule wa dini, rangi, kabila, kipato ni dhambi kubwa kwetu waislam,suala linaloitwa udini kwetu ni mwiko na ni lazima tuishi katika misingi yetu.

Wizi,kula rushwa,ufisadi,kamari,ubadhirifu wa mali za umma,kufanya mikataba mibovu na kadhalika ni dhambi na usaliti kwa Taifa hili,wanaojiita wasomi ndani ya Taifa hili wanafahimika,na kwa kiwango kikubwa wamekuwa wanatumia huo usomi wao badala ya kulisaidia taifa wao wamekuwa vinara katika kuliibia taifa,wanafahamika wanaojiita wasomi ndani ya taifa hili na waliojaa kwenye kuendesha taifa hili wametokea wapi na ni watu wa imani ipi.

Je,kama muislam muadilifu unaachaje kushiriki katika siasa??maana yake ukiacha ni kubariki kuwaachia hao ambao siyo waadilifu na wasio wazalendo waendelee kulitia hasara taifa hili,je hiyo ni sawa??bila shaka siyo sawa.

Kama muislam muadilifu,unaweza vipi shika nafasi katika utumishi wa umma kisha ukawa mwizi,fisadi,mla rushwa na msaliti??bila shaka unafaham kuwa hiyo ni dhambi kwa sababu sifa kubwa ya muislam ni uadilifu na kula jasho lako la halali,ukiacha njia iliyonyooka na kufuata hulka na tabia za hao wengine ambao hawana asili na uzalendo wa taifa hili utakuwa unafanya jambo la haki?

Mwaka huu ni wa uchaguz wa serikali za mitaa,kisha mwakani ni uchaguzi mkuu wa Rais,wabunge na madiwani,tusisahau nafasi yetu katika taifa hili,tunahitaji wawakilishi waadilifu ambao watasimama katika kulikomboa taifa hili kwenye wizi na ufisadi na kupambana na walafi ambao wamezidi kuweka mizizi kwenye unyonyaji.

Hongera kwa RAIS wa jamhuri ya muungano DR SAMIA SULUHU HASSAN,Hakika unatupa heshima kubwa kama mama wa kiislam katika kuliongoza taifa hili kwa kutawaliwa na hofu ya mungu.

Tunahitaji watu wenye taswira kama yako kwa wingi zaidi katika utumishi wa umma wa taifa hili,unaongoza kwa mfano na unaishi unayoyasema,Allah azidi kukusimamia wewe na wasaidizi wako wote hata ambao siyo waislam ambao wanaweka uzalendo mbele,na kulionea huruma taifa hili.
Mngekuwa na akili Zanzibar mgekuwa mnarudisha familia zile zile kwenye urais????Nyie ulafi na uroho vinawasumbua mafisadi nyie.
 
Muislam kama serikali inaongozwa na mkristo halafu kuwepo na wizi wangepiga kelele sana, ila kama ni mwenzao hawana maneno
Walafi tu hao hawana lolote,na kama Tanzania hii ingetawaliwa na wao tu tangu uhuru basi Tanzania ingekuwa nchi maskini kuliko nchi zote Afrika.
 
Nieleze kipindi cha Tip tip na biashara ya utumwa, Waislam walikuwa bega kwa bega na watu gani?
Huyo akili na uwezo wa kufikiri kaulaza kwenye uislamu zaidi kuliko utu na kujitambua.Hata simu yake ikivunjika atamsingizia mkristu yeyote ili tu apate afueni ya moyo.
 
The big show, kwenye makala yako umeshauri uzalendo na kutoendekeza udini, mbona unarudi kulekule? Nyerere mnaemtuhumu kwa mfumo Kristo hayupo duniani muda mrefu , kipi kinawazuia kufanya reforms.
Reforms tunazifanya ALHAMDULILLAH,KWANI NI LAZIMA TUKUELEZE??
 
Mngekuwa na akili Zanzibar mgekuwa mnarudisha familia zile zile kwenye urais????Nyie ulafi na uroho vinawasumbua mafisadi nyie.

UNA MASHAKA YYTE NA UWEZO WA DR HUSSEIN MWINYI KUWA RAIS WA ZANZIBAR??

JE,KUHUSHU BABA YAKE??..VIPI KUHUSU KARUME NA MTOTO WAKE...
 
Samia aliyefumbia macho ufisadi na kuhamasisha watu wale kwa urefu wa kamba si muislam? Au wewe pekee ndiyo unajiona Muislam mzuri zaidi ya wenzio?

Mwenye macho haambiwi tazama,kazi anayoifanya bila shaka inaonekana na iko wazi...

NYINYI WENYEWE NI MASHAHIDI,KINACHOWASUMBUA NI CHUKI ZENU ZA UDINI TUH,KWA HILO HALITUPI SHIDA
 
MUISLAM NI THAWABU KWAKE KUKEMEA UFISADI,WIZI,RUSHWA, AND VICE VERSA IS TRUE

..Mama alianza vizuri.

..Lakini hapa katikati amekengeuka.

..Sasa hivi amekuwa laghai na mwenye hila kama Ccm wengine.

..Na kuna dalili za kutaka kutumia vyombo vya dola kuwakandamiza wapinzani.

..Mimi nadhani sio sahihi kumsifia au kumkosoa kwasababu ya dini yake.
 
Sheria zipo kwa ajili ya kuwashughulikia hao wezi na mafisadi, bahati mbaya sheria zinawekwa kapuni wezi wanazidi kutamalaki huku wakilindwa na huyo Samia uliyempongeza!.

Unaonekana hata hujui kitu gani ulichoandika, sijui unataka nafasi zote serikalini zishikwe na waislamu ili huo wizi na ufiasadi usiwepo, kama ndivyo, kuna haja gani kufanya hivyo ikiwa Samia anawalinda hao wezi? au yeye sio mwislamu mwenzako?!

- Huwa anasema stupid, kuleni kwa urefu wa kamba zenu lakini msivimbiwe, huyu ndie anapambana na wezi kwa akili yako mpaka umpongeze!

Thread nyepesi isiyo na mantiki yoyote, iliyoanzishwa na mfia dini, asiye na kitu kichwani.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app

HUELEWI UNACHOKISEMA,SUALA LA UFISADI NA WIZI NDANI YA TAIFA HILI NI LA KIMFUMO.

TAASISI NYINGI ZA UMMA KWA BAHAT MBAYA WAMEJAA JAMAA ZAKO MAKAFIRI.NA KWA KIWANGO KIKUBWA HAWANA IMANI WALA HOFU YA MUNGU,ELIMU PEKEE AMBAYO WANAIFAHAM NI KATIKA KULIIBIA TAIFA HILI.

LET SAY THAT,THERE IS A LEADERSHIP VACUUM,WELL..KIPINDI CHA MAGUFULI AMBAE KWENU MNAITIKADI KUWA ALIKUA IMARA KATIKA USIMAMIZ,ZILIWAHI KUSOMWA REPORTS ZA CAG AMBAZO UFISADI,WIZI NA RUSHWA HAUKUWEPO??

KIRUSI CHA WEZI NDAN YA NCHI HII NI NYINYI WAKOLONI WEUSI AMBAO WENGI WENU MNAJIITA WASOMI NA MNATUMIA KALAMU KULITIA HASARA TAIFA HILI
 
..Mama alianza vizuri.

..Lakini hapa katikati amekengeuka.

..Sasa hivi amekuwa laghai na mwenye hila kama Ccm wengine.

..Na kuna dalili za kutaka kutumia vyombo vya dola kuwakandamiza wapinzani.

..Mimi nadhani sio sahihi kumsifia au kumkosoa kwasababu ya dini yake.

Hayo ya kumsifia au kumkosoa kwa kigezo cha dini yake umeyasema wewe,na ni haki yako kusema lolote unalotaka.
 
The big show, kwenye makala yako umeshauri uzalendo na kutoendekeza udini, mbona unarudi kulekule? Nyerere mnaemtuhumu kwa mfumo Kristo hayupo duniani muda mrefu , kipi kinawazuia kufanya reforms.
ANGALIA JIBU HILO NILIEMJIBU ALIANDIKA COMMENT GANI KWANZA,WATU PEKEE WENYE ISLAMOPHOBIA NDANI YA TAIFA HILI KWANI SI WANAFAHAMIKA??HILO KWANI NI LA SIRI...
 
Back
Top Bottom