Tunahitaji wawakilishi waadilifu ambao watasimama katika kulikomboa taifa hili

Tunahitaji wawakilishi waadilifu ambao watasimama katika kulikomboa taifa hili

Hayo ya kumsifia au kumkosoa kwa kigezo cha dini yake umeyasema wewe,na ni haki yako kusema lolote unalotaka.

..nimekusikia.

..Mama amevunja imani yetu baada ya kuendelea kuteua wahuni waliokuwa wakitumiwa na Magufuli kuvunja haki za watu.

..Pia danadana anazopiga kuhusu suala la Katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi vinadhihirisha kwamba hana nia ya kuleta mabadiliko ya kweli.
 
Friends and Enemies,

Baada ya mkutano wa berlin mwaka 1884/85,and after scramble and partition of Africa uzalendo wetu ulichukuliwa kutoka kwa mababu zetu kwa lazima na hatimae uhuru na nguvu zao zikageuka rasimali kwa wazungu (MISSIONARIES) ambao walipewa hati miliki ya kumiliki ardhi yetu na kuhakikisha yeyote atakaeenda kinyume na wao anauwawa, na wale wote wenye nguvu lazima waende utumwani.

Katika vugu vugu la kutetea uhuru na uzalendo wa nchi na ardhi yetu (MISSIONARIES) kama agents of colonialism hawakuwa tayari katika hilo,na walifanya kila waliloliweza kuwatumia puppets wa kiafrika kurudisha nyuma harakati hizo,(NYERERE ALISHASEMA KATIKA HARAKATI ZAKE ZA KUPIGANIA UHURU KANISA HALIKUMPA USHIRIKIANO,NA AKIMUACHA JOHN RUPIA HAONI MKRISTO MWINGINE AMBAE ALIKUWA BEGA KWA BEGA KATIKA HARAKATI HIZO ZAIDI YA WALE WAZEE WA KIISLAM)

Kwahiyo uzalendo ni asili yetu,tusiache uzalendo na kuithamini ardhi ambayo tumeshushwa katika ulimwengu huu.
Ubaguzi wowote ule wa dini, rangi, kabila, kipato ni dhambi kubwa kwetu waislam,suala linaloitwa udini kwetu ni mwiko na ni lazima tuishi katika misingi yetu.

Wizi,kula rushwa,ufisadi,kamari,ubadhirifu wa mali za umma,kufanya mikataba mibovu na kadhalika ni dhambi na usaliti kwa Taifa hili,wanaojiita wasomi ndani ya Taifa hili wanafahimika,na kwa kiwango kikubwa wamekuwa wanatumia huo usomi wao badala ya kulisaidia taifa wao wamekuwa vinara katika kuliibia taifa,wanafahamika wanaojiita wasomi ndani ya taifa hili na waliojaa kwenye kuendesha taifa hili wametokea wapi na ni watu wa imani ipi.

Je,kama muislam muadilifu unaachaje kushiriki katika siasa??maana yake ukiacha ni kubariki kuwaachia hao ambao siyo waadilifu na wasio wazalendo waendelee kulitia hasara taifa hili,je hiyo ni sawa??bila shaka siyo sawa.

Kama muislam muadilifu,unaweza vipi shika nafasi katika utumishi wa umma kisha ukawa mwizi,fisadi,mla rushwa na msaliti??bila shaka unafaham kuwa hiyo ni dhambi kwa sababu sifa kubwa ya muislam ni uadilifu na kula jasho lako la halali,ukiacha njia iliyonyooka na kufuata hulka na tabia za hao wengine ambao hawana asili na uzalendo wa taifa hili utakuwa unafanya jambo la haki?

Mwaka huu ni wa uchaguz wa serikali za mitaa,kisha mwakani ni uchaguzi mkuu wa Rais,wabunge na madiwani,tusisahau nafasi yetu katika taifa hili,tunahitaji wawakilishi waadilifu ambao watasimama katika kulikomboa taifa hili kwenye wizi na ufisadi na kupambana na walafi ambao wamezidi kuweka mizizi kwenye unyonyaji.

Hongera kwa RAIS wa jamhuri ya muungano DR SAMIA SULUHU HASSAN,Hakika unatupa heshima kubwa kama mama wa kiislam katika kuliongoza taifa hili kwa kutawaliwa na hofu ya mungu.

Tunahitaji watu wenye taswira kama yako kwa wingi zaidi katika utumishi wa umma wa taifa hili,unaongoza kwa mfano na unaishi unayoyasema,Allah azidi kukusimamia wewe na wasaidizi wako wote hata ambao siyo waislam ambao wanaweka uzalendo mbele,na kulionea huruma taifa hili.
Inabidi wote wawe waisilimu.
 
..nimekusikia.

..Mama amevunja imani yetu baada ya kuendelea kuteua wahuni waliokuwa wakitumiwa na Magufuli kuvunja haki za watu.

..Pia danadana anazopiga kuhusu suala la Katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi vinadhihirisha kwamba hana nia ya kuleta mabadiliko ya kweli.

HIZO NI SIASA,YALIYOMO NDANI SIYAJUI..ILA OUTCOMES ZINALETA MATUMAINI SIYO KAMA ZILE ZA ZAMANI ZA WATU WAPINZANI KUPIGWA RISASI HADHARANI AU KUWAFANYA MATAJIR WAISHI KAMA MASHETANI,ALHAMDULILLAH
 
HIZO NI SIASA,YALIYOMO NDANI SIYAJUI..ILA OUTCOMES ZINALETA MATUMAINI SIYO KAMA ZILE ZA ZAMANI ZA WATU WAPINZANI KUPIGWA RISASI HADHARANI AU KUWAFANYA MATAJIR WAISHI KAMA MASHETANI,ALHAMDULILLAH

..Miswada aliyopeleka bungeni inataka kurudisha kulekule kwenye kukandamiza.

..Tayari ameamrisha majeshi yaingie mitaani ili kuzuia maandamano ya Chadema.

..Zile dalili njema alizoonyesha mwanzoni zimeanza kutoweka.
 
The big show, kwenye makala yako umeshauri uzalendo na kutoendekeza udini, mbona unarudi kulekule? Nyerere mnaemtuhumu kwa mfumo Kristo hayupo duniani muda mrefu , kipi kinawazuia kufanya reforms.

NYERERE WAKATI ANAKWENDA KUFUNGUA TANU MKOA WA LINDI YUSUPH CHEMBERA NA SALUM MPUNGA NDIYO WALIKUWA MABODIGADI PEKEE AMBAO WALIKUWA WANAMLINDA HADI KANISANI KAINGIA NAO ILI ASIPATE MADHARA YA AINA YYTE,HALI ILIKUWA MBAYA KWA KUWA WAKRISTO WALIKUWA WANASHIRIKIANA NA WAKOLONI WA KIINGEREZA,ALIPOHITAJI KWENDA KANISANI JUMA PILI WALINZI WAKE WALIKUWA NI HAO YUSUPH CHEMBERA NA SALUM MPUNGA.

MAMBO HAYA HAMUWEZI KUAMBIWA MAKANISANI
 
..Miswada aliyopeleka bungeni inataka kurudisha kulekule kwenye kukandamiza.

..Tayari ameamrisha majeshi yaingie mitaani ili kuzuia maandamano ya Chadema.

..Zile dalili njema alizoonyesha mwanzoni zimeanza kutoweka.
Lengo lako ni lipi??kunihamisha kuwa mtetezi wa sera za CCM na viongozi wake au lipi??

Ungesoma kwanza maudhui ya mjadala wangu
 
Iddi inatangazwa na BAKWATA na mnatii huku mwezi una siku 3, wajinga wakubwa nyie

Kashfa za nini sasa,ni mara ngapi unaona waislam wanatofautiana kwenye suala la IDDI KWA MFANO??

Au huoni,mbona wewe PAPA KATANGAZA RUKSA YA USHOGA NA TEC HAIJAPINGA?
 
Exploitation ya Kikoloni haikuanzishwa na Wazungu pekee,kabla yao kulikuwa na Mwarabu wa Omani.

Wakati tunapoongelea historia ya Afrika tuwe makini sana.
 
Sheria zipo kwa ajili ya kuwashughulikia hao wezi na mafisadi, bahati mbaya sheria zinawekwa kapuni wezi wanazidi kutamalaki huku wakilindwa na huyo Samia uliyempongeza!.

Unaonekana hata hujui kitu gani ulichoandika, sijui unataka nafasi zote serikalini zishikwe na waislamu ili huo wizi na ufiasadi usiwepo, kama ndivyo, kuna haja gani kufanya hivyo ikiwa Samia anawalinda hao wezi? au yeye sio mwislamu mwenzako?!

- Huwa anasema stupid, kuleni kwa urefu wa kamba zenu lakini msivimbiwe, huyu ndie anapambana na wezi kwa akili yako mpaka umpongeze!

Thread nyepesi isiyo na mantiki yoyote, iliyoanzishwa na mfia dini, asiye na kitu kichwani.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kabisa.
 
Exploitation ya Kikoloni haikuanzishwa na Wazungu pekee,kabla yao kulikuwa na Mwarabu wa Omani.

Wakati tunapoongelea historia ya Afrika tuwe makini sana.
KWANI SUALA LA UTUMWA MBONA LIKO WAZI SANA??HAKUNA ANAESEMA KWAMBA WAARABU HAWAKUSHIRIKI KWENYE UTUMWA,UTUMWA UPO TOKA ZAMA NA ZAMA KATIKA ULIMWENGU HUU..

LAKINI HIYO INAONDOA FACT YA USHIRIKI WA KANISA KAMA AGENTS OF COLONIALISM??MBONA HILO LIKO WAZI TUH
 
..Miswada aliyopeleka bungeni inataka kurudisha kulekule kwenye kukandamiza.

..Tayari ameamrisha majeshi yaingie mitaani ili kuzuia maandamano ya Chadema.

..Zile dalili njema alizoonyesha mwanzoni zimeanza kutoweka.
So,whats your point??

Anzisha mjadala wako tuje tuchangie,unaniinvite katika mjadala ambao siyo wa kwangu sasa.
 
BARAZA la Maaskofu Africa limepinga na TEC wapo ndani, ulitaka wafanyeje zaidi ya hapo?

If TEC were smarter enough,there were suppossed to show up on THIS as well...

Why wachague matokeo??

mwanafalsa maarufu DANTE ALGHIER ANASEMA ''HOW YOU DO ANYTHING,IS HOW YOU DO EVERYTHING''..WASICHAGUE NA WASITEGEE,WAKISHUPALIA MAMBO YA BANDARI KWA SHINGO NDEFU KAMA FENITUNATAKA TUWAONE VILE VILE WAKISHUPAZA SHINGO ZAO KWENYE USHOGA PIA,SABABU ZOTE ZINAHUSU JAMII HII HII MOJA.
 
If TEC are smarter enough,there were suppossed to show up on THIS as well...

Why wachague matokeo??

mwanafalsa maarufu DANTE ALGHIER ANASEMA ''HOW YOU DO ANYTHING,IS HOW YOU DO EVERYTHING''..WASICHAGUE NA WASITEGEE,WAKISHUPALIA MAMBO YA BANDARI KWA SHINGO NDEFU KAMA FENU TUNATAKA TUWAONE VILE VILE WAKISHUPAZA SHINGO ZAO KWENYE USHOGA PIA,SABABU ZOTE ZINAHUSU JAMII HII HII MOJA.
Kwani bandari ilikuwa issue ya kitaifa au kimataifa? tumia akili kidogo basi
 
Kwani bandari ilikuwa issue ya kitaifa au kimataifa? tumia akili kidogo basi

KWAHIYO UNATAKA KUSEMA TEC HAWANA UBAVU WA KUPINGA HIZO NDOA ZA MASHOGA SIYO??

BASI PIGANENI MASHINE KAMA NI HIVYO,NA KAMA HILO HAWAWEZ HILI LA BANDARI WANANGAIKA NALO KIVIPI
 
Back
Top Bottom