Tunahitaji wawakilishi waadilifu ambao watasimama katika kulikomboa taifa hili

Tunahitaji wawakilishi waadilifu ambao watasimama katika kulikomboa taifa hili

So,whats your point??

Anzisha mjadala wako tuje tuchangie,unaniinvite katika mjadala ambao siyo wa kwangu sasa.

..point yangu ni kuwa Maza alianza vizuri, lakini sasa amekuwa laghai, na anajiandaa kutumia Jwtz dhidi ya wapinzani.
 
If TEC are smarter enough,there were suppossed to show up on THIS as well...

Why wachague matokeo??

mwanafalsa maarufu DANTE ALGHIER ANASEMA ''HOW YOU DO ANYTHING,IS HOW YOU DO EVERYTHING''..WASICHAGUE NA WASITEGEE,WAKISHUPALIA MAMBO YA BANDARI KWA SHINGO NDEFU KAMA FENU TUNATAKA TUWAONE VILE VILE WAKISHUPAZA SHINGO ZAO KWENYE USHOGA PIA,SABABU ZOTE ZINAHUSU JAMII HII HII MOJA.
Ushoga ulishapigwa marufuku kitambo,labda kwenu Zanzibar ambako hamna Amri kumi za Mungu.Kwenu kupandana ni halali.
 
Wapi nimeondoa Facts? Ninachosema usichague historia kama Nguo kwamba inakupendeza unaivaa.

Kanisa na Msikiti vyote vilitumika.
Msikiti ulitumika kwenye muktadha upi?

Ushahidi wa kanisa upo wazi na hadi radhi wameomba,Sasa msikiti ulitumika wapi
 
Ushoga ulishapigwa marufuku kitambo,labda kwenu Zanzibar ambako hamna Amri kumi za Mungu.Kwenu kupandana ni halali.
Teh teh teh,ushoga mtapigaje marufuku ili Hali hata viongozi wenu wakuu mmewapiga marufuku kuoa Wala kuolewa?

Sasa why wasigeuzane wenyewe Kwa wenyewe?

Mnatamani agizo Hilo la papa LIWE limekwenda Kwa waislam lkn ndo hivyo haiwezekani
 
Msikiti ulitumika kwenye muktadha upi?

Ushahidi wa kanisa upo wazi na hadi radhi wameomba,Sasa msikiti ulitumika wapi
Waarabu walitumia Dini katika kupanua Himaya zao kwa mfano walikuwa wakiwaambia Mababu zetu huko Kindu Manyema kuwa Wakisilimu hawatachukuliwa Utumwa hata pale Waafrika wote wa Pwani ya Afrika ya Mashariki walipokubali kuwa Waisilamu na kukubali kuwa chini ya Sultani bado waliendelea kuchukuliwa utumwa.
 
Hizo story za kusema binadam wa kwanza alikuwa nyanj zishapitwa na zama zake,waarabu watumwa walikuwa wanawachukua wanawapeleka WAPI?

Maana wainjilisti wenzako sehemu ambazo walikuwa wanawapeleka mababu zetu hadi Leo waafrika wenzetu wapi,USA,Brazil, Portugal,Carribean na kadhalika,tuambie hao watumwa waarabu walikuwa wanawapeleka wapi
 
watumwa waarabu walikuwa wanawapeleka wapi
Walikuwa wanawapeleka Uarabuni na wengine Bara Hindi.

Rejea Zanj Rebelliion huko Basra Iraq masoko ya Watumwa yalikuwa yametapakaa kuanzia Yemen Omani Emirates Hijazi (Saudi Arabia) iraq na huko Shirazi (Iran)

Wengi wa Watumwa Wanaume walikuwa wanahasiwa ili wasiweze kuzaa ndio maana vizazi vyao huvioni kama vya Atlantic Slave Trade.

Tuwe makini sana Dini zisituzibe macho Historia yetu ni muhimu sana ili tujielewe sisi na Vizazi vijavyo.
 
Hizo story za wao kuasiwa ndiyo kichaka mnachojificha nacho wagalatia mnapotaka kukimbia lawama za kanisa kwenye utumwa,uarabuni huko ni jangwa tuh, watumwa wapelekwe huko wakashiriki kwenye economic activity Gani??

Teh teh teh, waarabu walioshiriki kwenye utumwa Africa walikuwa ni middle men kuwauzia wazungu,wanufaika wakubwa ni wainjilisti wenzako kwann unakataa na wenyewe wameomba Radhi??

Teh teh teh
 
Teh teh teh,ushoga mtapigaje marufuku ili Hali hata viongozi wenu wakuu mmewapiga marufuku kuoa Wala kuolewa?

Sasa why wasigeuzane wenyewe Kwa wenyewe?

Mnatamani agizo Hilo la papa LIWE limekwenda Kwa waislam lkn ndo hivyo haiwezekani
Mungu akusamehe bure ana akutangulie ili siku moja uje uelewe kuwa Mungu hawezi kamwe kubariki Dhambi na Kanisa Katoliki ambalo lilianzishwa na Mungu mwenyewe(Mathayo 16:16-18) halijawahi na halitawahi kubariki Dhambi,ingawa vyombo vya habari vinapambana kila siku kuhalalisha Dhambi(Mathayo 5:10-12),Lakini sisi kama Kanisa tunayapokea maoni yenu na kejeli zenu kwani hizo kejeli zipo kwa sababu maalum.
 
Muarabu yupi alikaa kwenye Berlin conference 1884/85?

Just mention one...

Pale walijaa wainjilisti watupu
Biashara ya Utumwa ilikuwepo kabla ya BERLIN CONFERENCE na iliendeshwa kwa asilimia kubwa na Waarabu na Wareno na lengo la BERLIN CONFERENCE lilikuwa ni kufuta kabisa Biashara ya Utumwa.
 
Biashara ya Utumwa ilikuwepo kabla ya BERLIN CONFERENCE na iliendeshwa kwa asilimia kubwa na Waarabu na Wareno na lengo la BERLIN CONFERENCE lilikuwa ni kufuta kabisa Biashara ya Utumwa.

KUMBE LENGO LA BERLIN CONFERENCE LILIKUWA KUFUTA KABISA BIASHARA YA UTUMWA MABYO ILIKUWA INAFANYWA NA WAARBU??TEH TEH TEH,NASHUKURU KWA ELIMU KUBWA KAMA HII..NILIKUA SIJUI KABISA HILI

HAYO NDIYO MAMBO MNAAMBIWA HUKO MAKANISANI
 
Back
Top Bottom