Tunaitakia Yanga kipigo kizito toka kwa USM Alger

Ulivyo na gundu kila kitu hua kina kukataa
 
Makolo kweli mmefilisika,kimpira,kiuzalendo,kimataifa,kitaifa na hata kimataifa.Kilichosalia ni kutupwa jalalani sasa🤔
 
Yangaa Afrikaaaaaaaa ni timu ya miracle sana.

Na viongozi wetu wana hulka ya kuwaduwaza kama sio kuwashangaza watu hususani haters na wachaMBUZI.

Refer mechi ya River, Mazembe na Club Africain.

Amini nakuambia,,Yanga anaenda kumgonga USM pale pale sebuleni kwake kama sio chumbani..
 
huo mjadala ulishafungwa tarehe 28, kule ni kukamilisha tu ratiba kwa yanga
 
Chumbani kwako umegongwaa, ndo uwezee chumbani kwa mwenziooo??
 
Amen ! Watafumuliwa kizenji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…