Tunakwama wapi? Malawian Airlines (ndege 2) Vs Air Tanzania (ndege 11)

Newyork Sydney, ila record holder ni swiss carrier comlux wao walirusha 787 Buenos Aires to Seoul masaa 20 dk 19 non stop, ingawa hii ni ndege ya kukodi.
 
Newyork Sydney, ila record holder ni swiss carrier comlux wao walirusha 787 Buenos Aires to Seoul masaa 20 dk 19 non stop, ingawa hii ni ndege ya kukodi.
Hiyo ni world record aisee. Mi nikawa najua longest route ni Dubai to Singapore
 
Sure. Hata Emirates wanatumia ndege kubwa Airbus 350-900 kwa safari za 45 mins (Dubai-Manama, Bahrain x3 daily) na inajaa. Sisi wabantu Sasa!
 
Sheikh! Huku visiwan msitusahau kwenye gawio!
 
Hazina vibali,hazina wateja,hazina ubora
Nani mjinga apande bombardier imdondokee afe.
 
Hivi unadhani routes za ndege unaamja na kuruka zina process yake kwa sasa tuna zambia,kongo,burundi,india na kenya,tuna route ya china na london ambazo hazijaanza

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Nyie hamuwezi business competition na kenya airway, Ethiopia airway,rwanda airway
Yaani passenger aache kupanda makampuni ya kueleweka apande bajaji za magufuli!
Bora kukaa kimya. Umepewa mfano wa hiyo Malawian Airlines hawana maajabu Ila wanatoboa International sembuse sisi?
 
Bora kukaa kimya. Umepewa mfano wa hiyo Malawian Airlines hawana maajabu Ila wanatoboa International sembuse sisi?
Na nyie kama kweli mnauwezo toboeni na hizo bajaj za magufuli
 
Malawi ni maskini kuzidi sisi. Ila ukimkuta katoka, katoka kweli
 
umeongea kitalaam kabisa,sijajua kwann ATC wanashindwa kuwa na international destn. Hizi 787 hawazitendei haki kabisa,wanafeli wapi sijui!!
 
Fafanua hicho ulichoita ufadhili wa Ethiopian Arlines maana Watz tunakauogonjwa kurukia kusifia wenzetu na kujiponda wenyewe.
Je huo ufadhili kama huu ulileta matunda gani Rwandaair?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…