mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hapana, kesi ya kusambaza picha ni ile ya Amber Ruty ni soft case bailable.Kama mtawakosa kwa kosa la ubakaji.
Basi wapelekeni mahakamani kwa kosa la kupiga picha za uchi na kuzisambaza.sheria si ipo?
Namba moja ajaye alafu bogus,lile sio suala la mahakama ya kijeshi,upo?Jeshi lina mahakama zao na magreza yao,watalishughulikia kijeshi Kwa mujibu wa Sheria za kijeshi na taratibu zao na hawana utaratibu was kutoa mambo Yao ya kijeshi hadharani!!
Wewe ndio unaleta mabinti toka vijijini kuja kuwauza mjini.Inashangaza na kusikitisha jeshi la Polisi kuacha majukumu yake ya msingi na kuhangaika na Chadema wanaofanya kazi zao za kikatiba za kufanya siasa.
Tunalitaka jeshi la Polisi hili siyo ombi wala hiyari bali ni lazima, tunataka kuona watuhumiwa wote wa ubakaji na ulawiti waliohusika kwenye tukio la binti wa Yombo dovya wanafikishwa mahakamani haraka pamoja na Boss wao aliyewatuma kufanya unyama ule.
Nashangazwa na ukimya wa TLS na asasi nyingine za haki za binadamu, kwa hili hatutokaa kimya, tunataka haki ya binti itendeke na ionekane imetendeka.
Cc: Advocate Pascal Mayalla kwa maslahi ya Taifa.
Maxence Melo tunaomba coverage ya JF ina mdomo mpana mpaka hadi viwizi huwa wanausikia.
Kwa sheria za Tanzania kujiuza ni kosa..ukute wanamwandalia dada wa watu kesi ya kujiuza.Hata kama anajiuza,Hao wanunuzi wake ndio wambake?Na kutuonesha hiyo clip ni halali?
We huelewi serikali zetu zinavyo operate!!?Namba moja ajaye alafu bogus,lile sio suala la mahakama ya kijeshi,upo?
Changamoto ni hela ya mafuta kufuatilia hili jambo🥺🥺🥺Upelelezi wa siku 1 roc anachkua miezi
Polisi wengi wahuni na watu siyo kabisa
Ova
Ngumu sana kukubali kwamba anajiuza,maana hana lisiti!TRAwatambana.Kwa sheria za Tanzania kujiuza ni kosa..ukute wanamwandalia dada wa watu kesi ya kujiuza.
Kwa ushahidi gani?Alafu binti anaonekana ni under 18.Kwa sheria za Tanzania kujiuza ni kosa..ukute wanamwandalia dada wa watu kesi ya kujiuza.
Kubaka siyo kosa la kijeshi.Jeshi lina mahakama zao na magreza yao,watalishughulikia kijeshi Kwa mujibu wa Sheria za kijeshi na taratibu zao na hawana utaratibu was kutoa mambo Yao ya kijeshi hadharani!!
Hakuna sheria inayokataza kujiuza.Kwa sheria za Tanzania kujiuza ni kosa..ukute wanamwandalia dada wa watu kesi ya kujiuza.
Huna ulijualo bora unyamaze tu.Jeshi lina mahakama zao na magreza yao,watalishughulikia kijeshi Kwa mujibu wa Sheria za kijeshi na taratibu zao na hawana utaratibu was kutoa mambo Yao ya kijeshi hadharani!!
Jeshi lina mahakama zao na magreza yao,watalishughulikia kijeshi Kwa mujibu wa Sheria za kijeshi na taratibu zao na hawana utaratibu was kutoa mambo Yao ya kijeshi hadharani!!
Inashangaza na kusikitisha jeshi la Polisi kuacha majukumu yake ya msingi na kuhangaika na Chadema wanaofanya kazi zao za kikatiba za kufanya siasa.
Tunalitaka jeshi la Polisi hili siyo ombi wala hiyari bali ni lazima, tunataka kuona watuhumiwa wote wa ubakaji na ulawiti waliohusika kwenye tukio la binti wa Yombo dovya wanafikishwa mahakamani haraka pamoja na Boss wao aliyewatuma kufanya unyama ule.
Nashangazwa na ukimya wa TLS na asasi nyingine za haki za binadamu, kwa hili hatutokaa kimya, tunataka haki ya binti itendeke na ionekane imetendeka.
Cc: Advocate Pascal Mayalla kwa maslahi ya Taifa.
Maxence Melo tunaomba coverage ya JF ina mdomo mpana mpaka hadi viwizi huwa wanausikia.
Wale machangudoa waliokamatwa ubungo juzi kati hapa basi walionewa. Na huwa wanakamatwa mara kwa mara sijui kwaniniHakuna sheria inayokataza kujiuza.
Hili ni kosa la kimaadili zaidi kuliko la kisheria.
Na hata kama anajiuza bado haihalalishi kubakwa.
Safi sana DPP na DCI kwa kutimiza wajibu wenu ,Bado Afande ASP naye afikishe mahakamani kujumuishwa na wenzake ,kumlinda haitosaidia Mahakama peke yake ndiyo inayoweza kusema kwamba ASP hana hatia.....Hao wabakaji wametumwa na kulipwa na ASP watekeleze uhalifu.
Kesi kama hizo za kufadhili uhalifu zinamhusu hadi Sponsor(Afande ASP)...aunganishwe na yeye kwenye kesi.