Tunalitaka Jeshi la Polisi liueleze umma, ni kwa nini wabakaji na walawiti wanajeshi na Boss wao hawafikishwi mahakamani?

Tunalitaka Jeshi la Polisi liueleze umma, ni kwa nini wabakaji na walawiti wanajeshi na Boss wao hawafikishwi mahakamani?

Kama mtawakosa kwa kosa la ubakaji.
Basi wapelekeni mahakamani kwa kosa la kupiga picha za uchi na kuzisambaza.sheria si ipo?
 
Kama mtawakosa kwa kosa la ubakaji.
Basi wapelekeni mahakamani kwa kosa la kupiga picha za uchi na kuzisambaza.sheria si ipo?
Hapana, kesi ya kusambaza picha ni ile ya Amber Ruty ni soft case bailable.

Hawa kesi yao ni ulawiti na ubakaji na kifungo cha chini ni miaka 30 jela au kifungo cha maisha, ushahidi uko wazi kabisa.
 
Hili Jambo linaumiza sana, familia ya yule binti sijui Wana Hali gani. Mungu awatie nguvu
 
Inashangaza na kusikitisha jeshi la Polisi kuacha majukumu yake ya msingi na kuhangaika na Chadema wanaofanya kazi zao za kikatiba za kufanya siasa.

Tunalitaka jeshi la Polisi hili siyo ombi wala hiyari bali ni lazima, tunataka kuona watuhumiwa wote wa ubakaji na ulawiti waliohusika kwenye tukio la binti wa Yombo dovya wanafikishwa mahakamani haraka pamoja na Boss wao aliyewatuma kufanya unyama ule.

Nashangazwa na ukimya wa TLS na asasi nyingine za haki za binadamu, kwa hili hatutokaa kimya, tunataka haki ya binti itendeke na ionekane imetendeka.

Cc: Advocate Pascal Mayalla kwa maslahi ya Taifa.

Maxence Melo tunaomba coverage ya JF ina mdomo mpana mpaka hadi viwizi huwa wanausikia.
Wewe ndio unaleta mabinti toka vijijini kuja kuwauza mjini.
 
Namba moja ajaye alafu bogus,lile sio suala la mahakama ya kijeshi,upo?
We huelewi serikali zetu zinavyo operate!!?
Watawalinda kivyovyote vile au hujui mambo yalivyo!!?

Ngoja uone sarakasi!!!

Kwani kina lisu walistahili kupigwa vile!!?Kuna mahakama yoyote Ina sikiliza shauri la fidia!!?
 
TZ hii watu wamekomaa na kurushiana hizo video, Wala hawana habari na mambo ya kakamatwa au lah...jamii ya ajabu kabisa.
 
Jeshi lina mahakama zao na magreza yao,watalishughulikia kijeshi Kwa mujibu wa Sheria za kijeshi na taratibu zao na hawana utaratibu was kutoa mambo Yao ya kijeshi hadharani!!
IMG-20240819-WA0003.jpg
 
Inashangaza na kusikitisha jeshi la Polisi kuacha majukumu yake ya msingi na kuhangaika na Chadema wanaofanya kazi zao za kikatiba za kufanya siasa.

Tunalitaka jeshi la Polisi hili siyo ombi wala hiyari bali ni lazima, tunataka kuona watuhumiwa wote wa ubakaji na ulawiti waliohusika kwenye tukio la binti wa Yombo dovya wanafikishwa mahakamani haraka pamoja na Boss wao aliyewatuma kufanya unyama ule.

Nashangazwa na ukimya wa TLS na asasi nyingine za haki za binadamu, kwa hili hatutokaa kimya, tunataka haki ya binti itendeke na ionekane imetendeka.

Cc: Advocate Pascal Mayalla kwa maslahi ya Taifa.

Maxence Melo tunaomba coverage ya JF ina mdomo mpana mpaka hadi viwizi huwa wanausikia.

Kabisa Dr ,Afande na mtuhumiwa mwingine wa 5 waunganishe na wenzao wanne wafikishe mahakamani kwa pamoja.

Afande ASP aliyewatuma wabakaji anajulikana ,kitendo cha kumlinda hakivumiliki ,kadri jeshi la polisi linavyoendelea kumlinda ndivyo linavyozidi kuchafuka..
 
Safi sana DPP na DCI kwa kutimiza wajibu wenu ,Bado Afande ASP naye afikishe mahakamani kujumuishwa na wenzake ,kumlinda haitosaidia Mahakama peke yake ndiyo inayoweza kusema kwamba ASP hana hatia.....Hao wabakaji wametumwa na kulipwa na ASP watekeleze uhalifu.

Kesi kama hizo za kufadhili uhalifu zinamhusu hadi Sponsor(Afande ASP)...aunganishwe na yeye kwenye kesi.
 
Hakuna sheria inayokataza kujiuza.

Hili ni kosa la kimaadili zaidi kuliko la kisheria.

Na hata kama anajiuza bado haihalalishi kubakwa.
Wale machangudoa waliokamatwa ubungo juzi kati hapa basi walionewa. Na huwa wanakamatwa mara kwa mara sijui kwanini
 
Safi sana DPP na DCI kwa kutimiza wajibu wenu ,Bado Afande ASP naye afikishe mahakamani kujumuishwa na wenzake ,kumlinda haitosaidia Mahakama peke yake ndiyo inayoweza kusema kwamba ASP hana hatia.....Hao wabakaji wametumwa na kulipwa na ASP watekeleze uhalifu.

Kesi kama hizo za kufadhili uhalifu zinamhusu hadi Sponsor(Afande ASP)...aunganishwe na yeye kwenye kesi.
IMG-20240812-WA0029.jpg
 
1. Gang rape .
2. Kulawiti.
3. Kujaribu kuua.
4. Kupiga na kurecord picha chafu.

Idadi ya washistakiwa inapaswa kuwa sita.
Hizo ndio case zao wanazopaswa kuburuzwa nazo mahakamani.
Kesi hii haipaswi kuzidi mwezi.
Wahukumiwe haraka.
 
Back
Top Bottom