Tunalitaka Jeshi la Polisi liueleze umma, ni kwa nini wabakaji na walawiti wanajeshi na Boss wao hawafikishwi mahakamani?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Inashangaza na kusikitisha jeshi la Polisi kuacha majukumu yake ya msingi na kuhangaika na Chadema wanaofanya kazi zao za kikatiba za kufanya siasa.

Tunalitaka jeshi la Polisi hili siyo ombi wala hiyari bali ni lazima, tunataka kuona watuhumiwa wote wa ubakaji na ulawiti waliohusika kwenye tukio la binti wa Yombo dovya wanafikishwa mahakamani haraka pamoja na Boss wao aliyewatuma kufanya unyama ule.

Nashangazwa na ukimya wa TLS na asasi nyingine za haki za binadamu, kwa hili hatutokaa kimya, tunataka haki ya binti itendeke na ionekane imetendeka.

Cc: Advocate Pascal Mayalla kwa maslahi ya Taifa.

Maxence Melo tunaomba coverage ya JF ina mdomo mpana mpaka hadi viwizi huwa wanausikia.
 
Inashangaza na kusikitisha jeshi la Polisi kuacha majukumu yake ya msingi na kuhangaika na Chadema wanaofanya kazi zao za kikatiba za kufanya siasa.

Tunalitaka jeshi la Polisi hili siyo ombi wala hiyari bali ni lazima, tunataka kuona watuhumiwa wote wa ubakaji na ulawitibwaliohusika kwenye tukio la binti wa Yombo dovya wanafikishwa mahakamani haraka pamoja na Boss wao aliyewatuma kufanya unyama ule.

Mkuu,
-Uchunguzi haujakamilika.
-Tuna buybuy time kupooza ghadhabu za walioguswa.
-Tunatafuta mbinu za kumuepusha ndugu katika kazi aonekane ahusiki na dhahma hii.
-Binti mtendwa amekua mgumu kukubaliana na matakwa ya kutoa maelezo na ushahidi.
-Binti amepatiwa msaikolojia ili aweze kubadili gia hewani.
-Tunahitaji muda kutengeneza taswira ya uongo kuhusu makazi ya binti mtendwa.Bado hatujaafikiana naye kama iwe ni Dodoma City au DSM City.
-Kuna huyu mtoto wa mwenzetu aliyeshiriki ubakaji.Inatafutwa namna ya scene kuwa cut accordingly.
Tutajuzana tukifika kwa Mwendesha Mashtaka si muda.Hofu isiwe nanyi.
 
Polisi walisema watuhumiwa wanne Kati ya sita walishakamatwa. Hao wawili waliokuwa wanatafutwa vipi mbona kimya.
IMG-20240819-WA0008.jpg
 
Inashangaza na kusikitisha jeshi la Polisi kuacha majukumu yake ya msingi na kuhangaika na Chadema wanaofanya kazi zao za kikatiba za kufanya siasa.

Tunalitaka jeshi la Polisi hili siyo ombi wala hiyari bali ni lazima, tunataka kuona watuhumiwa wote wa ubakaji na ulawitibwaliohusika kwenye tukio la binti wa Yombo dovya wanafikishwa mahakamani haraka pamoja na Boss wao aliyewatuma kufanya unyama ule.

Nashangazwa na ukimya wa TLS na asasi nyingine za haki za binadamu, kwa hili hatutokaa kimya, tunataka haki ya binti itendeke na ionekane imetendeka.

Cc: Advocate Pascal Mayalla kwa maslahi ya Taifa.

Maxence Melo tunaomba coverage ya JF ina mdomo mpana mpaka hadi viwizi huwa wanausikia.
 
Attachments

  • 1000031903.jpg
    1000031903.jpg
    328.1 KB · Views: 4

Hakika
 
Mkuu,
-Uchunguzi haujakamilika.
-Tuna buybuy time kupooza ghadhabu za walioguswa.
-Tunatafuta mbinu za kumuepusha ndugu katika kazi aonekane ahusiki na dhahma hii.
-Binti mtendwa amekua mgumu kukubaliana na matakwa ya kutoa maelezo na ushahidi.
-Binti amepatiwa msaikolojia ili aweze kubadili gia hewani.
-Tunahitaji muda kutengeneza taswira ya uongo kuhusu makazi ya binti mtendwa.Bado hatujaafikiana naye kama iwe ni Dodoma City au DSM City.
-Kuna huyu mtoto wa mwenzetu aliyeshiriki ubakaji.Inatafutwa namna ya scene kuwa cut accordingly.
Tutajuzana tukifika kwa Mwendesha Mashtaka si muda.Hofu isiwe nanyi.
Hii ndio Tanzania......na watanzania ni watu wanaopenda ngono sana. Uliona kelele nyingi sio kwamba tukio lile liliwaumiza bali lilizua hisia za ngono ndio maana likasambaa sana.

Kama unadhani liliwaumiza mbona hatusikiii kelele za Haki itendeke?
 
Ndio maana walikuwa wakijirekodi kumbe wanajiamini hakuna atakayewagusa.

Hao wabakaji ingetokea wamemfanyia ndugu yangu na ujeshi wao tukikuwa hatufiki mahakamani ningewawinda wote na kuwafanyia kitu ambacho kingeniacha maisha yangu yote niwe najuta.
 
Tunatowa wito kwa Rais wa nchi ambaye ni mwanamke atowe kauli kama tukiwafanyia hivi wanawake wenzake sasa hivi ni ruksa?

Au mateso waliofanyiwa Chadema malipo yake ndio haya ili ionekane Polisi wanailinda serikali kumbe wana ajenda ya siri?

Idara ya usalama Taifa dawati la siasa najuwa tupo wote humu, kesho asubuhi kwenye daily briefing muelezeni ukweli Rais hili hatutokaa kimya na linazidi kumuweka mbali na sisi, haiwezekani mwanamke mwenye madaraka ya mkuu wa nchi akae kimya huku akiona haki ya binti ambaye ni sawa na mwanaye ikidhurumiwa, hili halikubaliki.

Mnaweza kutuchukulia powa lakini ole wenu tumehifadhi asila zetu vifuwani.
 
Inasikitisha sana.
 
Inashangaza na kusikitisha jeshi la Polisi kuacha majukumu yake ya msingi na kuhangaika na Chadema wanaofanya kazi zao za kikatiba za kufanya siasa.

Tunalitaka jeshi la Polisi hili siyo ombi wala hiyari bali ni lazima, tunataka kuona watuhumiwa wote wa ubakaji na ulawitibwaliohusika kwenye tukio la binti wa Yombo dovya wanafikishwa mahakamani haraka pamoja na Boss wao aliyewatuma kufanya unyama ule.

Nashangazwa na ukimya wa TLS na asasi nyingine za haki za binadamu, kwa hili hatutokaa kimya, tunataka haki ya binti itendeke na ionekane imetendeka.

Cc: Advocate Pascal Mayalla kwa maslahi ya Taifa.

Maxence Melo tunaomba coverage ya JF ina mdomo mpana mpaka hadi viwizi huwa wanausikia.
Ukimwa wa TLS kivipi wakati washazungumza !?
 
Back
Top Bottom