Tunalitaka Jeshi la Polisi liueleze umma, ni kwa nini wabakaji na walawiti wanajeshi na Boss wao hawafikishwi mahakamani?

Hii ndio Tanzania......na watanzania ni watu wanaopenda ngono sana. Uliona kelele nyingi sio kwamba tukio lile liliwaumiza bali lilizua hisia za ngono ndio maana likasambaa sana.

Kama unadhani liliwaumiza mbona hatusikiii kelele za Haki itendeke?
Tuna kasumba ya uoga kwenye kila tukio,sio hili tu peke yake.
Mimi nilitegemea mawakili wangekuwa mstari wa mbele kwenye kila hatua ya kesi na kutupa taarifa wananchi kwamba sasa hivi kesi iko mahali fulani na ipo kwenye hatua fulani,pia wananchi tutaomba ushirikiano wenu endapo tutakwama kwenye hatua fulani iwe kipesa au kivyovyote.
Lakini cha ajabu hakuna mwenye uhakika wote tulibaki tunakisia tu kwamba huenda walishikwa au huenda waliachiwa au huenda walikamatwa watu wengine tofauti.
Mbona kwenye kesi za wakina mdude nyagali huwa zinafuatiliwa hatua kwa hatua na wananchi wanashirikishwa na kuchanga pesa chapchap iweje kwenye hili kila mtu anaongelea shimoni.
 
1. Gang rape .
2. Kulawiti.
3. Kujaribu kuua.
4. Kupiga na kurecord picha chafu.

Idadi ya washistakiwa inapaswa kuwa sita.
Hizo ndio case zao wanazopaswa kuburuzwa nazo mahakamani.
Kesi hii haipaswi kuzidi mwezi.
Wahukumiwe haraka.
Ongeza na matumizi ya madawa ya kulevya.
 
Wale machangudoa waliokamatwa ubungo juzi kati hapa basi walionewa. Na huwa wanakamatwa mara kwa mara sijui kwanini
Ndiyo sababu hata wakikamatwa kesi huishia ofisi za kata na kutozwa 50K kwa kosa la uzururaji.

Hawapelekwi mahakamani kwakua sheria haijaainisha hilo kosa
 
Inashangaza na kusikitisha jeshi la Polisi kuacha majukumu yake ya msingi na kuhangaika na Chadema wanaofanya kazi zao za kikatiba za kufanya siasa.

Tunalitaka jeshi la Polisi hili siyo ombi wala hiyari bali ni lazima, tunataka kuona watuhumiwa wote wa ubakaji na ulawiti waliohusika kwenye tukio la binti wa Yombo dovya wanafikishwa mahakamani haraka pamoja na Boss wao aliyewatuma kufanya unyama ule.

Nashangazwa na ukimya wa TLS na asasi nyingine za haki za binadamu, kwa hili hatutokaa kimya, tunataka haki ya binti itendeke na ionekane imetendeka.

Cc: Advocate Pascal Mayalla kwa maslahi ya Taifa.

Maxence Melo tunaomba coverage ya JF ina mdomo mpana mpaka hadi viwizi huwa wanausikia.
Serikali ipo busy na kizimkazi...barabara zinawekwa lami, vitu vingine wameona haviwahusu
 
Tuna kasumba ya uoga kwenye kila tukio,sio hili tu peke yake.
Mimi nilitegemea mawakili wangekuwa mstari wa mbele kwenye kila hatua ya kesi na kutupa taarifa wananchi kwamba sasa hivi kesi iko mahali fulani na ipo kwenye hatua fulani,pia wananchi tutaomba ushirikiano wenu endapo tutakwama kwenye hatua fulani iwe kipesa au kivyovyote.
Lakini cha ajabu hakuna mwenye uhakika wote tulibaki tunakisia tu kwamba huenda walishikwa au huenda waliachiwa au huenda walikamatwa watu wengine tofauti.
Mbona kwenye kesi za wakina mdude nyagali huwa zinafuatiliwa hatua kwa hatua na wananchi wanashirikishwa na kuchanga pesa chapchap iweje kwenye hili kila mtu anaongelea shimoni.
Nafikiri kosa la jinai mlalamikaji anakua Jamhuri ndiyo sababu hukuti mawakili wakiomba msaada wa kipesa
 
...ila wachagga mna Nini lakini?
Maana wabakaji wachaga
Waliowatuma wabakaji wachagga..
RPC mtetezi wa wabakaji mchagga..
Na chadomo ya wachagga..
 
Ofisi ya DPP ndiyo ina mamlaka ya kuamuru watuhumiwa wapelekwe mahakamani siyo jeshi la polisi.
 
Jeshi lina mahakama zao na magreza yao,watalishughulikia kijeshi Kwa mujibu wa Sheria za kijeshi na taratibu zao na hawana utaratibu was kutoa mambo Yao ya kijeshi hadharani!!
Mbona hao wajeshi wamepelekwa mahakama ya kiraia, si wangepelekwa huko ukusemapo.
 
Itakuwa nchi ya ajabu sana kwamba kila kinachosemwa au kuandikwa kwenye mitandao ya kijamii basi kichukuliwe kwamba ni ushahidi wa kumshtaki mtu kama unavyoshinikiza mawazo yako binafsi yatekelezwe eti tu kwasababu unamihemko.
Maagizo mengi yanatolewa kila siku kwamba lazima upelelezi ufanyike kwanza kabla ya kuwafikisha watuhumiwa mahakamani sasa hii miruzi itawatoa kwenye mistari
Shahidi muhimu kwamba walitumwa na nani kufanya kitendo hicho ni watuhumiwa leo wewe ukianza kutengeneza ushahidi ambao unatokana na hisia utakuwa unajumuika na lile kundi la uvunjaji wa haki za binadamu mfano huyo mnaye mtaja kwamba ndiye aliye watuma je,ikibainika siyo muhusika mtawezaje kumsafisha? Kusingizia watu kesi za uongo nayo ni ukiukwaji wa haki za binadamu kama ilivyo kwa ukiukwaji mwine wowote wa haki za binadamu.
Au Binadamu ni yule tu ambaye hawezi kutetewa au kwakuwa aliwahi kukukera akitekeleza majukumu yake?
Mimi niwapongeze Jeshi la Polisi wamefanya kazi kubwa ninawashauri wafanye hivyo hata katika kesi nyingine zisizo na mashinikizo.
 
Inashangaza na kusikitisha jeshi la Polisi kuacha majukumu yake ya msingi na kuhangaika na Chadema wanaofanya kazi zao za kikatiba za kufanya siasa.

Tunalitaka jeshi la Polisi hili siyo ombi wala hiyari bali ni lazima, tunataka kuona watuhumiwa wote wa ubakaji na ulawiti waliohusika kwenye tukio la binti wa Yombo dovya wanafikishwa mahakamani haraka pamoja na Boss wao aliyewatuma kufanya unyama ule.

Nashangazwa na ukimya wa TLS na asasi nyingine za haki za binadamu, kwa hili hatutokaa kimya, tunataka haki ya binti itendeke na ionekane imetendeka.

Cc: Advocate Pascal Mayalla kwa maslahi ya Taifa.

Maxence Melo tunaomba coverage ya JF ina mdomo mpana mpaka hadi viwizi huwa wanausikia.

Kile kitendo ni kitendo cha kihalifu mno. Lakini watanzania wameanza kuwa na mshaka na namna ambavyo geshi linapeleka mambo yake.
Kuna sehemu kuna tatizo. Na waswahili wenzangu wanasema mficha maradhi, kifo kitamuumbua. Ngoja haya matatizo yaanze kusumbua ndani kwa ndani ndio wataelewa, kwanini nidhamu na uadilifu ni tunu ya operations za geshi la aina yoyote
 
Itakuwa nchi ya ajabu sana kwamba kila kinachosemwa au kuandikwa kwenye mitandao ya kijamii basi kichukuliwe kwamba ni ushahidi wa kumshtaki mtu kama unavyoshinikiza mawazo yako binafsi yatekelezwe eti tu kwasababu unamihemko.
Maagizo mengi yanatolewa kila siku kwamba lazima upelelezi ufanyike kwanza kabla ya kuwafikisha watuhumiwa mahakamani sasa hii miruzi itawatoa kwenye mistari
Shahidi muhimu kwamba walitumwa na nani kufanya kitendo hicho ni watuhumiwa leo wewe ukianza kutengeneza ushahidi ambao unatokana na hisia utakuwa unajumuika na lile kundi la uvunjaji wa haki za binadamu mfano huyo mnaye mtaja kwamba ndiye aliye watuma je,ikibainika siyo muhusika mtawezaje kumsafisha? Kusingizia watu kesi za uongo nayo ni ukiukwaji wa haki za binadamu kama ilivyo kwa ukiukwaji mwine wowote wa haki za binadamu.
Au Binadamu ni yule tu ambaye hawezi kutetewa au kwakuwa aliwahi kukukera akitekeleza majukumu yake?
Mimi niwapongeze Jeshi la Polisi wamefanya kazi kubwa ninawashauri wafanye hivyo hata katika kesi nyingine zisizo na mashinikizo.
Oneni jinga hili.
 
Unaongezea uchizi zaidi umelogwa si bure
Jifanye kama uchizi wako umepungua kidogo turudi kwenye mada forum hii inatoa haki ya kila mmoja kutoa maoni yake wewe kutofautiana na mawazo yangu ni haki yako na haipaswi kuingiliwa sasa inakuwaje umtukane mama wa watu ambaye hausiki katika mjadala huu na ni marehemu huoni kama wewe ni muhalifu kuliko hata huyo mwanajeshi aliye baka? Unajiweka kundi gani? Mimi nakuona ni mvunjifu wa Haki kuliko hao unao tamani wakamatwe kwa hisia zako potofu jitathmini vinginevyo mwisho wako ni mbaya sana.
 
Ulivyo khanisi, yani mwisho wako huujui ndio utaujuwa mwisho wangu?

Tutusa wewe koma kudandia wanaume next time.
 
Tstizo umefirwa sana mpaka ubongo wako umejaa shahawa na Huna uwezo wa kutoa hoja nafahamu ni wazazi wako wamekuharibu kwa kushindwa kukuba malezi bora acha umalaya idiot mkubwa
 
Back
Top Bottom