Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Kama Mbowe hawezi kazi ya Upinzani aachie hiyo ruzuku kwa Watu ambao wako tayari kufanya kazi ya Upinzani kutoka moyoni na si kuifanya kwa mitego yako ya kibiashara!!Anapokea ruzuku? Kwa hiyo akipokea(kama kweli)ndiyo akuwakilishe hadi kufa?
Wwe ndiyo huna Ruzuku, lakini Chadema ina ruzuku!!!!Ona akii za watanzania! Chadema and Mbowe wametimiza wajibu wao wa kuongoza. Huyu kafungwa mwaka mzima kwa kuonewa, kafilisiwa biashara zake etc etc, Uoga wetu tukubali tunyanyaswe na CCM mpaka hapo Yesu atakaporudi.
Tuweke kumbukumbu sawa, Chadema haina ruzuku!
Sasa si njaa yake ya ruzuku ndiyo imemsabibishia hayo yote ya kufungwa!? Au tumsaidieje wakati mwenyewe analamba Asali saa hizii!!??asante sana kwa kumjibu! eti anapokea ruzuku (by the way chadema walikataa ruzuku). Unaona akili za watanzania? mtu kafungwa mwaka mzima kwa kutetea demokrsia, halafu mtu na akili zake anajibu eti anapokea ruzuku. Anapokea ruzuku ili afe/akufie wewe?
Nimemuona Mbowe anatambulishwa Roma mkatoliki huko USA! Picha ninayo, wanalamba Asali na Diaspora wa Marekani!!!!Hahahaha hivi kwenye lile bomu alilolipua gaidi kule Arusha enzi za JK alikuwepo au alilitega tu akasepa? Hivi watoto wa mbowe huwa wanakuwepo kwenye maandamano.
Sasa hivi Mbowei yuko majuu kaenda kulamba asali ya wazungu hahahaha, naona kalamba ya bongo ya nyuki wadogo basi kaona aifuate na watasha.
Alikukatalia kuanzisha chama?Anzisha upokee ruzuku tukuone.Sasa Kama Mbowe hawezi kazi ya Upinzani aachie hiyo ruzuku kwa Watu ambao wako tayari kufanya kazi ya Upinzani kutoka moyoni na si kuifanya kwa mitego yako ya kibiashara!!
Wewe unatowa wito watanzania watoke mitaani, hivi kweli unawajua watanzania wewe? Hakuna watu waoga duniani kama watanzania. Watanzania sisi ni domu reeefu vitendo ni zero. Ndio maana wajanja wanatumia sana neno serikali kwa sababu watanzania wanaiogopa sana serikali. Mtu anaweza kuja, kwa mfano, na akachukua ardhi ya kijiji na akasema serikali imeamrisha ichukuliwe ardhi hii basi ataichukuwa tu na hakuna atakaebisha.Tunamsakizia Mbowe na Chadema, na kumlaumu Mbowe eti kalamba asali. Hapana nasi tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran. Tunataka Lissu na Mbowe wafe peke yao.
Toka hadharani tupigwe risasi 16. Sisi, mimi na wewe tu maJioga tunajificha kwenye ID fake hapa JF, tunamsakizia Mbowe!
Eti kalamba asali, mara hajasema lolote kuhusu tozo, umeme, maji na madhira tunayopitia. Ingia barabarani mimi na wewe na si Mbowe na Chadema wakati sisi majioga tupo hapa JF na fake ID
Mbowe kafungwa almost mwaka mzima kwa uonevu (wakaona aibu wakamtoa na kumuita Ikulu), kafilisiwa biashara zake, kanyimwa ubunge wa wazi na Magufuli/ Bashiru in 2020, and many many more atrocities he has suffered kutetea demokrasia, leo eti analamba sali!
Nimeonge kama ulivyoongea. waoga, majioga sisi! tusimsakizie Mbowe, hapana! Tutoke tupigwe risasi tufe watawala watajiuliza maswali. Mwacheni Mbowe, ametimiza wajibu wake kuwaamsha hatutaki kuamka!Wewe unatowa wito watanzania watoke mitaani, hivi kweli unawajua watanzania wewe? Hakuna watu waoga duniani kama watanzania. Watanzania sisi ni domu reeefu vitendo ni zero. Ndio maana wajanja wanatumia sana neno serikali kwa sababu watanzania wanaiogopa sana serikali. Mtu anaweza kuja, kwa mfano, na akachukua ardhi ya kijiji na akasema serikali imeamrisha ichukuliwe ardhi hii basi ataichukuwa tu na hakuna atakaebisha.
Unakumbuka yule dada anaeishi marekani kwa sasa alietowa wito wakati wa Magu watu watoke mitaani tarehe fulani, watanzania walitoka? Hawakutoka ng'o! Sio waliopo huko nyumbani au sie tuliokuwepo huku nchi za nje. Usiwafananishe wa Iran na wa Tanzania. Wa Iran wana uchungu na nchi yao na wakotayari kujitolea muhanga ili kupata haki zao, watanzania sie mahodari wa kuhudhuria mikutano ya hadhari na kuitia oyeee kwa wingi!!!!
Tutoke barabarani, kwani na sisi tunapokea ruzuku Kama akina Mbowe?
Hakika umenena vyema mkuu ni kweli tupuTunamsakizia Mbowe na Chadema, na kumlaumu Mbowe eti kalamba asali. Hapana nasi tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran. Tunataka Lissu na Mbowe wafe peke yao.
Toka hadharani tupigwe risasi 16. Sisi, mimi na wewe tu maJioga tunajificha kwenye ID fake hapa JF, tunamsakizia Mbowe!
Eti kalamba asali, mara hajasema lolote kuhusu tozo, umeme, maji na madhira tunayopitia. Ingia barabarani mimi na wewe na si Mbowe na Chadema wakati sisi majioga tupo hapa JF na fake ID
Mbowe kafungwa almost mwaka mzima kwa uonevu (wakaona aibu wakamtoa na kumuita Ikulu), kafilisiwa biashara zake, kanyimwa ubunge wa wazi na Magufuli/ Bashiru in 2020, and many many more atrocities he has suffered kutetea demokrasia, leo eti analamba sali!
Lugha ya staha inapendeza zaidi, una point ila uwasilishaji haupendezi!Mnamsakizia Mbowe,akiitisha maandamano wewe na mkeo mnabaki ndani mnakulana halafu yeye anaenda selo.