Pre GE2025 Tunamsihi Lissu akubali matokeo yoyote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuelekea uchaguzi Mkuu CHADEMA tunamsihi Mgombea Lissu akubali matokeo yoyote yajayo. Tujenge chama
majira ya mtu ya kuinuka yakifika hakuna wa kuweza kuzuia, na haya ni majira ya Tundu lisu yanavyosoma. ushindi wake hauzuiliki na chochote wala yeyote.kila mtu atamtaka na ukimuuliza atakwambia hakuna kama yeye.
 
Lile jambo alilolisema kwenye kikao cha kamati kuu na likarekodiwa ndiyo Lisu atalimwaga hadharani.
 
Wajumbe lissu anatakiwa pata kura zisizopungua kura 700-800, zinazobaki mbowe zinamtosha
 
Uchaguzi ukiwa huru na haki Lissu anashinda mapema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…