Mambo mengine tuwaachie makinda wa JF.
Kamatu kuu ya chama chochote makini lazima inakutana na kufanya vikao vya mipango ya future events zao. Lazima wajue na budget ya event nzima.
Sidhani kama Lissu alipigiwa simu tu, mjomba changia walau tsh 30 million. Lazima walikaa, wakapiga hesabu za gharama za mkutano, Wakaangalia income zao za wakati huo, bank reserve yao, kuangalia source mpya za funding: hadi kuambizana kila mtu achangie nini kutokana na mahitaji.
Kuleta story za kale ni utoto na kutaja sources ambazo sio sustainable 2015 or whatever sio 2024, especially kama sources zenyewe of funding sio sustainable.
Mmpaka wapeane amounts za kuchangia walishafikiria kila kitu what was possible and what not.
Embu acheni kumtetea huyo goalkeeper Lissu, mpenda dezo, hela anazopewa na wazungu anakula peke yake (mchoyo).