Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado ni ulemavu mtu mmoja kukibeba Chama. Ruzuku onaenda wapi, na ruzuku haitokani na Mbunge, inatokana na kura za mgombea urais kwenye uchaguzi mkuu na Lissu aligombea na Magu2020 na kupata asilimia zinazoingiza ruzuku monthly.Kiongozi usiongee possibilities, ongea uhalisia.
CDM ina mbunge mmoja tu, ambae wanamtambua.
Hao viongozi wengine ni magoi-goi ata kuchangia hawataki na wala hawajui gharama za mkutano.
Kinachotendeka leo (mikutano kufanyika) ni pilika za Mbowe kutafuta hela.
Hizo mbinu kama zina tija mbona Lissu, Heche, Lema, Mwabukusi (ambae kila siku anawachangisha) diaspora.
Wajumbe walipewa wa kamati kuu walipewa option wafanye wanavyoweza kuchangia viwango walivyopewa si wangefanya kama rahisi.
Sana sana Lissu akiulizwa kuhusu michango anasema yeye hana uwezo, Iła T-Shirt mpya ya chama alivaa sasa anadhani labda imeshuka tu kutoka mbinguni kama manna.
Mbowe anakibeba chama na wala alalamiki
Hawezi. Wameisha mwaga sumu itakuwa vigumu kubadilisha kauli. Hizi ni aina za kampeni zilimfaa sana Trump. Kwa upande heri ashindwe ili Mbowe aanze tena kazi ya kukijenga chama. Akishinda Lissu ataendekeza visasi na kuzidisha mpasuko ulio kuwepo.Kuelekea uchaguzi Mkuu CHADEMA tunamsihi Mgombea Lissu akubali matokeo yoyote yajayo ili Tujenge chama kwa pamoja.
**Pia apunguze kelele, Wajumbe Wana bills za kulipa
PoleHawezi. Wameisha mwaga sumu itakuwa vigumu kubadilisha kauli. Hizi ni aina za kampeni zilimfaa sana Trump. Kwa upande heri ashindwe ili Mbowe aanze tena kazi ya kukijenga chama. Akishinda Lissu ataendekeza visasi na kuzidisha mpasuko ulio kuwepo.
Amandla...