Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaAnashinda na njaa
Wanajua maandamano mbona hawaandamani.Watu wa hovyo sana Hawa jamaaKiongozi wao Slaa ananyea ndoo sijawasikia kuungana kwenda kumchomoa!!
Mkuu tiyari ,Mkuu hizo Kura kwa Lissu hazipo. Asante
Hujui dunia, kura zitoshe ,uchaguzi uwe huru na haki sio Dana Dana, mnaleta maneno ya kiccm hapa ,ati apende asipende wewe nani , yani kura lissu zitoshe alafu mlete maneno ya kipuuzi ,subutuAkubali asikubali Mbowe anakuwa mwenyekiti wa CHADEMA
Ndo mwenyekiti wako sasa‘Bora lawama, kuliko fedheha’
Hili ni somo kwa Mbowe miaka mitano ijayo ni ya kuandaa viongozi (warithi).
Lakini piga ua Lissu na kundi lake la ropo-ropo hawana sifa ya kuongoza chama.
For god sake, hawajui atagharama ya kuandaa mikutano ya kitaifa.
CCM inanunua mpaka mibasi ya kuleta wajumbe wao.
Lissu hajui hata gharama za kukodisha ukumbi kwa masaa matano ni tsh 20 million. Achana na gharama za ma-T-shirt ya chama na vitenge vya BAWACHA.
Huo ni mkutano mkuu tu, kuna everyday OP costs za kuendesha taasisi. Ukimsikiliza Lissu unaona kabisa huyu hajui financial burdens za kuendesha shirika.
WakułSumowa ni Mbowe, he was a bad parent apparently.
Sasa waachie chama watoto kama kina Lissu wajifunze kazi kwenye usimamizi; hakuna CDM kwenye management ya taasisi tu. Achilia mbali huo uelewa wao mdogo wa maswala ya siasa.
Kwa ustawi wa CDM piga ua, Mbowe hatakiwi kushindwa.
Kama alishindwa Slaa kugawana mbao akiwa na dola ataweza huyo mhuni? Nyie wahuni mnamponza sana huyo mbeleji.Haiwezekani akubali matokeo ya kushindwa, ikitokea ameshindwa ni bora kugawana mbao 🐼
Mwenyekiti atakuwa FAM baada ya kura, nadhani pamoja na mapungufu yake wanachadema mpaka sasa washaona risks za huyo mbadala mwenyewe.Ndo mwenyekiti wako sasa
Kuelekea uchaguzi Mkuu CHADEMA tunamsihi Mgombea Lissu akubali matokeo yoyote yajayo ili Tujenge chama kwa pamoja.
**Pia apunguze kelele, Wajumbe Wana bills za kulipa
Waulize hao watoto hizo T-shirt zimetokea wapi kama wanajua.
Kazi ya katibu mkuu ni nini? Kwamba hakuna secretariat wala CC ya kufanya hizo tathmini na kuleta mapendekezo?Huo ni mkutano mkuu tu, kuna everyday OP costs za kuendesha taasisi. Ukimsikiliza Lissu unaona kabisa huyu hajui financial burdens za kuendesha shirika.
Ndio madhaifu ya Mbowe haya kwamba makamu wake hajamfundisha kuendesha chama? Au kutafuta fedha? basi ni poor chairman kwamba kila kitu amekihodhi yeye mwenyewe utadhani ni duka la familia.WakułSumowa ni Mbowe, he was a bad parent apparently.
Siku akifa itakuaje? Ina maana chadema haitoendelea?Kwa ustawi wa CDM piga ua, Mbowe hatakiwi kushindwa.
Unaishi dunia gani?Kazi ya katibu mkuu ni nini? Kwamba hakuna secretariat wala CC ya kufanya hizo tathmini na kuleta mapendekezo?
Lissu amekua minority whip kwamba hakujua gharama za kitaasisi? Amekua Rais TLS hakujua namna ya kumobilise funds? Alikua LEAT multi-billion project kwamba hakujua masuala ya gharama za kuendesha taasisi?.
Punguza dharau na ujuaji, Mwabukusi ulikua unamsema kwa haya haya ila he proved you wrong so far.
I agree, Mbowe aja andaa viongozi makiniNdio madhaifu ya Mbowe haya kwamba makamu wake hajamfundisha kuendesha chama? Au kutafuta fedha? basi ni poor chairman kwamba kila kitu amekihodhi yeye mwenyewe utadhani ni duka la familia.
Hata mgombea Urais wa oktoba unadhani Mbowe amemuandaa nani in case Lissu akitoka? Hakuna kabisa utashangaa anasubiri Mpina au January atoke CCM aje kugombea huku.
Mbowe has proved to be failure
Kasheshe (hili ni tatizo) kama warithi wenyewe ndio hakina Lissu.Siku akifa itakuaje? Ina maana chadema haitoendelea?
Kwamba toka mwaka juzi hawakujua uchaguzi ni 2025? Unaambiwa ruzuku yote inaishia HQ!! wangeweka crowd funding tokea 2024 mwanzoni mbona wangeshapata fedha kufikia January hii.CDM imeweka wazi kuandaa hii mikutano inawagharibu karibu tsh 1 billion; ruzuku yao ni kama tsh 107 million ambayo inatosha ku-cover monthly expenses tu,