Kiongozi usiongee possibilities, ongea uhalisia.
CDM ina mbunge mmoja tu, ambae wanamtambua.
Hao viongozi wengine ni magoi-goi ata kuchangia hawataki na wala hawajui gharama za mkutano.
Kinachotendeka leo (mikutano kufanyika) ni pilika za Mbowe kutafuta hela.
Hizo mbinu kama zina tija mbona Lissu, Heche, Lema, Mwabukusi (ambae kila siku anawachangisha) diaspora.
Wajumbe walipewa wa kamati kuu walipewa option wafanye wanavyoweza kuchangia viwango walivyopewa si wangefanya kama rahisi.
Sana sana Lissu akiulizwa kuhusu michango anasema yeye hana uwezo, Iła T-Shirt mpya ya chama alivaa sasa anadhani labda imeshuka tu kutoka mbinguni kama manna.
Mbowe anakibeba chama na wala alalamiki