Tunamuimba Rais kila kona, Je, yupo kwenye mioyo ya Watanzania Au mtaamua kufumba macho?

Suala la biashara kufa ilo lipo kila mwaka na endelea kulitarajia ila jana nilisikia kwenye Power Breakfast kuna kampuni zimefungwa na kila mmoja hapo anasanabu zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza hujajibu hoja hapo juu,

Usihangaike Sana nenda TRA na kwenye mamlaka za biashara kaangalie biashara zinazofungwa vs zinazoanzishwa awamu ya 6 vs 5 utapata jibu..

Kama huko huwezi just pitia mitandaoni ona jinsi ajira sekta binafsi zinatangazwa daily au kama Nako ni mbali nenda Posta kwenye majengo yaliyokuwa wazi zama za Jiwe angalia saizi uone vyumba vilivyokuwa occupied..

Ukishindwa hilo angalia tuu makusanyo ya TRA na Halmashauri utapata majibu
 
mimi najiona kama nipo jela ingawa nipo huru nahesabu siku lini atachaguliwa mwingine na bora awe majaliwa . ila samiha hapana kabisa hata akipewa kazi mwenyekiti wa mtaa hafai. kila nikisali sala tano msikitini naomba mungu asichaguliwe tena. inshallah hawezi kurudi tena
 
Mfumo mbovu wa CCM
 
JPM anakubalika na watu kitaani SSH anakubalika mitandaoni ndio tofauti kubwa .
 
Yaan mi nikishaona mtu akisema mfumuko wa bei ni kutokana na vita ya ukraine naacha kumsikiliza naona kama hana akili sawa sawa!!..
Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 za africa ambapo mafuta n ghari zaid na ziko nchi 54
hyo vita inapiganiwa tz?
Umesoma post nzima kweli?
 
Sawa naheshimu pia maoni yako base ya ushabiki wako. Ina maana hiyo vita imeathiri Tz tu? Let fear God tutalipiteza hili Taifa kwa aina hiibya siasa.
Soma post nzima utaelewa hoja yangu tatizo mkifika kwenye vita ya Ukraine mnaishia hapo.

Ni hivi Kila nchi imeathirika na hii vita ukiangalia Al Jazeera au BBC utaona nchi watu wanaadamana kupinga kupanda bei hata Kenya ni worse kuliko Tz.

Ila wao Kenya wameingiza Mabilion kwenye Ruzuku Ili bei zishuke. So Kila nchi imeathirika tofauti ni kwamba kwa kiasi Gani serikali zao zimekua wabunifu ndio tunapotofautiana ila kusema eti Vita ya Ukraine haichangii kitu then inaonyesha haufahamu uchumi.

Tanzania ni importing country tunategemea mahitaji mengi kuagiza kutoka nje so Bei za vitu zikipanda kwenye soko la dunia obviously na huku zitapanda.
 
Hapana mfumo wa hivi duniani, wakiona hafai si watamuandaa mwingine for 2025 huwezi ruhusu Marais wawili wafie madarakani ndani ya miaka 3.

Kama Mwinyi alitawala miaka 10 na JK alitawala miaka 10, then JPM na ukichaa wote ule aliachiwa miaka 6 ndio uje ummalize SSH? Kisa kafeli kwa miaka miwili? Sio Tanzania hii, hatuna TISS ya namna hiyo. Kama TISS ingekuwepo kweli tusingekua na bunge la namna hii.
 
''Kuwa na AGENDA binafsi ambayo MWISHO wake waweza kuwa mbaya Kwa CHAMA na TAIFA kuliko kifo Cha Hayati John Joseph Pombe Magufuli''.

Fafanua Huo ''MWISHO mbaya'' what are the POSSIBILITIES?
 
Kwamba ww ni Mr Satoh Hirosh!!! Hapo ONGEZEKO Kutoka 25000 Hadi 84000 ni 250% Kwa wenye kujua hesabu.

Na hii ni miaka miwili tu, hajamalizia miwili ilobaki Eti anawaza MITANO mingine

Mungu aingilie kati.
 
Fiscal sio physical
 
Yaan mi nikishaona mtu akisema mfumuko wa bei ni kutokana na vita ya ukraine naacha kumsikiliza naona kama hana akili sawa sawa!!..
Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 za africa ambapo mafuta n ghari zaid na ziko nchi 54
hyo vita inapiganiwa tz?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyo ujue ni wale team samia wanajaribu kuficha mazaifu ya mama yao..... lakini ukweli ni kwamba mama kashafeli na sioni anawezaje kushusha bei na garama ya maisha kuwa chini!!!! Alijisemea hayati JPM mtanikumbuka.....
 
Katiba hii inasema Rais anaweza kupokea ushauri au akaupuuza, tunaona hoja za CAG hazifanyiwi KAZI, wabunge wanalia hawasikilizwi.

Kama hao Walio juu hawasikizwi, vp MKULIMA au MTU wa kipato Cha chini atasikizwa?

Solution ni KATIBA mpya, hicho ndo kipimo chake Cha MWISHO.
 
Nenda chato basi kawasalimie
 
Huyu mama yupo moyoni mwa mafisadi na wapiga dili nchini!!!

Nilimdharau alipotumia fedha za covid 19 kujenga madarasa nchini halafu wakati huo tozo JUU!

Tusubiri hatma!!
Unachukia madarasa kujengwa? We mbinafsi sana.
 
Yaan mi nikishaona mtu akisema mfumuko wa bei ni kutokana na vita ya ukraine naacha kumsikiliza naona kama hana akili sawa sawa!!..
Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 za africa ambapo mafuta n ghari zaid na ziko nchi 54
hyo vita inapiganiwa tz?
Shule kata zimeleta balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…