Tunamuimba Rais kila kona, Je, yupo kwenye mioyo ya Watanzania Au mtaamua kufumba macho?

Tunamuimba Rais kila kona, Je, yupo kwenye mioyo ya Watanzania Au mtaamua kufumba macho?

Suala la biashara kufa ilo lipo kila mwaka na endelea kulitarajia ila jana nilisikia kwenye Power Breakfast kuna kampuni zimefungwa na kila mmoja hapo anasanabu zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza hujajibu hoja hapo juu,

Usihangaike Sana nenda TRA na kwenye mamlaka za biashara kaangalie biashara zinazofungwa vs zinazoanzishwa awamu ya 6 vs 5 utapata jibu..

Kama huko huwezi just pitia mitandaoni ona jinsi ajira sekta binafsi zinatangazwa daily au kama Nako ni mbali nenda Posta kwenye majengo yaliyokuwa wazi zama za Jiwe angalia saizi uone vyumba vilivyokuwa occupied..

Ukishindwa hilo angalia tuu makusanyo ya TRA na Halmashauri utapata majibu
 
mimi najiona kama nipo jela ingawa nipo huru nahesabu siku lini atachaguliwa mwingine na bora awe majaliwa . ila samiha hapana kabisa hata akipewa kazi mwenyekiti wa mtaa hafai. kila nikisali sala tano msikitini naomba mungu asichaguliwe tena. inshallah hawezi kurudi tena
 
Jamani mnajuwa tunaweza kufunga macho nakuwa watu tunapenda kutukuza viongozi nakudharau uhalisia wa uku chini kwa kuwa na agenda binafsi ambayo mwisho wake waweza kuwa mbaya kwa chama na taifa kuliko kifo cha hayati Joseph Pombe Magufuli.

Watanzania huku chini wenyewe kwa wenyewe kwenye vikundi pasipo chakachua report ya siri ya usala wa Taifa kuhusu siasa yani Mh Rais watu hawapo na yeye yani watanzania wachache sana wana amini anapo tupeleka ndiko.

Nahili linasababishwa na hali ya maisha imekuwa ngumu kutokana na kupanda kwa bei ya vitu na hili lina wagusa maraia wa chini kuliko raia wa juu hii imesababishwa na ubadilikaji wa ghafla wa physical and monetary policy ilio kuwa kipindi cha hayati JPM.

Ukiangalia kwa haraka hizi sera za sasa utaona zina wa saidia matajiri kuwa matajiri na masikini kuwa masikini.
Nitaendelea
Mfumo mbovu wa CCM
 
Nitajie fiscal na monetary policies zilizobadilika ?

Unauliza kama Rais yupo kwenye mioyo ya watu?? How is it possible Rais awe kwenye moyo wako?

Wewe na kijiwe chako hamridhiki na Rais anavyoendesha nchi, fine. Ila hautapata Rais anayemridhisha kila mtu.

Mnadai JPM alikuwa anakubalika!! Mimi nakuuliza swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?

You can be foolish but you can't fool us!!
JPM anakubalika na watu kitaani SSH anakubalika mitandaoni ndio tofauti kubwa .
 
Yaan mi nikishaona mtu akisema mfumuko wa bei ni kutokana na vita ya ukraine naacha kumsikiliza naona kama hana akili sawa sawa!!..
Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 za africa ambapo mafuta n ghari zaid na ziko nchi 54
hyo vita inapiganiwa tz?
Umesoma post nzima kweli?
 
Sawa naheshimu pia maoni yako base ya ushabiki wako. Ina maana hiyo vita imeathiri Tz tu? Let fear God tutalipiteza hili Taifa kwa aina hiibya siasa.
Soma post nzima utaelewa hoja yangu tatizo mkifika kwenye vita ya Ukraine mnaishia hapo.

Ni hivi Kila nchi imeathirika na hii vita ukiangalia Al Jazeera au BBC utaona nchi watu wanaadamana kupinga kupanda bei hata Kenya ni worse kuliko Tz.

Ila wao Kenya wameingiza Mabilion kwenye Ruzuku Ili bei zishuke. So Kila nchi imeathirika tofauti ni kwamba kwa kiasi Gani serikali zao zimekua wabunifu ndio tunapotofautiana ila kusema eti Vita ya Ukraine haichangii kitu then inaonyesha haufahamu uchumi.

Tanzania ni importing country tunategemea mahitaji mengi kuagiza kutoka nje so Bei za vitu zikipanda kwenye soko la dunia obviously na huku zitapanda.
 
Mkuu
Duru na ramli za humu jamvini
Zinaonyesha eti hafiki!
Eti namba Moja anapofariki madarakani!
Namba mbili anarithi lakini anakuwa chini ya uangalizi wa mabaka mabaka KWA miaka miwili
Kama anatosha anaendelea

Kama hatoshi unapewa hata wewe ujaribu Bahati yako
Ni kwa mujibu wa katiba Hii hii eti!
TUSUBIRI
Ilitokea Marekani itatokea na huku!by jamaaa yetu wa mafumbo magumu!!!
Hapana mfumo wa hivi duniani, wakiona hafai si watamuandaa mwingine for 2025 huwezi ruhusu Marais wawili wafie madarakani ndani ya miaka 3.

Kama Mwinyi alitawala miaka 10 na JK alitawala miaka 10, then JPM na ukichaa wote ule aliachiwa miaka 6 ndio uje ummalize SSH? Kisa kafeli kwa miaka miwili? Sio Tanzania hii, hatuna TISS ya namna hiyo. Kama TISS ingekuwepo kweli tusingekua na bunge la namna hii.
 
Jamani mnajuwa tunaweza kufunga macho nakuwa watu tunapenda kutukuza viongozi nakudharau uhalisia wa uku chini kwa kuwa na agenda binafsi ambayo mwisho wake waweza kuwa mbaya kwa chama na taifa kuliko kifo cha hayati Joseph Pombe Magufuli.

Watanzania huku chini wenyewe kwa wenyewe kwenye vikundi pasipo chakachua report ya siri ya usala wa Taifa kuhusu siasa yani Mh Rais watu hawapo na yeye yani watanzania wachache sana wana amini anapo tupeleka ndiko.

Nahili linasababishwa na hali ya maisha imekuwa ngumu kutokana na kupanda kwa bei ya vitu na hili lina wagusa maraia wa chini kuliko raia wa juu hii imesababishwa na ubadilikaji wa ghafla wa physical and monetary policy ilio kuwa kipindi cha hayati JPM.

Ukiangalia kwa haraka hizi sera za sasa utaona zina wa saidia matajiri kuwa matajiri na masikini kuwa masikini.
Nitaendelea
''Kuwa na AGENDA binafsi ambayo MWISHO wake waweza kuwa mbaya Kwa CHAMA na TAIFA kuliko kifo Cha Hayati John Joseph Pombe Magufuli''.

Fafanua Huo ''MWISHO mbaya'' what are the POSSIBILITIES?
 
Jana rafiki yangu wa kijijini kaniambia nimuazime elfu 80 akanunue mbolea aweke kwenye mivhe yake ya nyanya

Kilichonifany niandike inshu siyo mbolea Bali ni Jinsi alivyokuwa anaongea

Namnukuu baada ya kupokea simu yake:

Mr satoh Hirosh naomba uniazime elfu 80 ndugu yangu. Hali imekuwa mbaya sn Kwa Sisi wakulima kwakweli.Magufuli amekufa aliacha bei ya mfuko elfu 25 lkn hapa ninapokupigia bei ya mfuko ni TSH elfu 84. Mambo yanazifi kuwa magumu siku baada ya siku na hapa ninapoongea na wewe kuna uwezekano tuta zingine za nyanya nlitabidi niziache maaana gharsma ya kuhudumia imenishinda..mwisho wa kumnukuu

Kuna kitu nimekinote ninapopiga storia na watu mbalimbali wa chini kabisa kule vijijini,wengi wao linapokuja swala la maisha na ugumu tunaopitia wanapenda kufanya comparison Kati ya mama na magufuli na mara zote magufuli anashinda. Hapa Haijalishi mitandaoni hasa jf na Twitter ambako kuna watu wengi waliosoma na wenye uelewa wa juu na mambo ya siasa wanaongea mabaya mangapi ya magufuli..

Kule chini mtu hawezi kukuelewa kbs ukimwambia mama anaupiga mwingi Hadi anachana nyavu
Kwamba ww ni Mr Satoh Hirosh!!! Hapo ONGEZEKO Kutoka 25000 Hadi 84000 ni 250% Kwa wenye kujua hesabu.

Na hii ni miaka miwili tu, hajamalizia miwili ilobaki Eti anawaza MITANO mingine

Mungu aingilie kati.
 
Jamani mnajuwa tunaweza kufunga macho nakuwa watu tunapenda kutukuza viongozi nakudharau uhalisia wa uku chini kwa kuwa na agenda binafsi ambayo mwisho wake waweza kuwa mbaya kwa chama na taifa kuliko kifo cha hayati Joseph Pombe Magufuli.

Watanzania huku chini wenyewe kwa wenyewe kwenye vikundi pasipo chakachua report ya siri ya usala wa Taifa kuhusu siasa yani Mh Rais watu hawapo na yeye yani watanzania wachache sana wana amini anapo tupeleka ndiko.

Nahili linasababishwa na hali ya maisha imekuwa ngumu kutokana na kupanda kwa bei ya vitu na hili lina wagusa maraia wa chini kuliko raia wa juu hii imesababishwa na ubadilikaji wa ghafla wa physical and monetary policy ilio kuwa kipindi cha hayati JPM.

Ukiangalia kwa haraka hizi sera za sasa utaona zina wa saidia matajiri kuwa matajiri na masikini kuwa masikini.
Nitaendelea
Fiscal sio physical
 
Yaan mi nikishaona mtu akisema mfumuko wa bei ni kutokana na vita ya ukraine naacha kumsikiliza naona kama hana akili sawa sawa!!..
Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 za africa ambapo mafuta n ghari zaid na ziko nchi 54
hyo vita inapiganiwa tz?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyo ujue ni wale team samia wanajaribu kuficha mazaifu ya mama yao..... lakini ukweli ni kwamba mama kashafeli na sioni anawezaje kushusha bei na garama ya maisha kuwa chini!!!! Alijisemea hayati JPM mtanikumbuka.....
 
Hivi ukiwa na wabunge wenye mambo ya kitoto kama wale pale Dodoma unawezaje kumlaumu Rais ambaye amewakuta na ikamlazimu kuwaangalia wanavyodmka na kuruka sarakasi kwenye maiki Bungeni.

Bunge la hovyo haliwezi kumshauri Rais unless awe dikteta ambaye bunge halina umuhimu wowote.

Kwa Katiba tuliyonayo na wabunge tulionao huyu Rais hatafanikiwa kirahisi kwani katiba tuliyonayo ni ya Kidikteta na inasimamiwa Kidikteta na maamuzi ya Kidikteta.

Ili Mama yetu SSH afanikiwe ni lazima akubaliane na wazalendo waliokua wamepambana na majizi tangu awamu ya pili na wanaomshauri alete katiba mpya inayoruhusu mifumo kujiendesha yenyewe na wapiga DILI kuchujwa na kukaa pembeni. Wateule wake wengi hawana usafi Kwa historia Hali inayowafanya watu wote kutafuta namna ya kula hata Kwa kukata kamba. Wanaona kama vile Kuna fursa ya kula Mali za umma imeruhusiwa.

Hii sio katiba ya kidemokrasia hivyo kuitumia katiba hii Kistarabu ni sawa na kumwekea pumba Nguruwe na Kondoo kwenye zizi Moja. Tahadhari ya kumfuga NGURUWE haiwezi kuwa sawa na Kondoo.

Bunge limeonyesha wazi kuwa lipo pale Kwa lengo la kupata pesa tuu. Ndio maana Kuna Wabunge 19 waliokua wameshindwa kwenye majimbo yao na wakaamua kujipeleka Bungeni na kushirikiana na Ndugai Kwa kumpa zile walizokuwa wanatoa kwa wakubwa zao.
Hawana Chama lakini wapo Kwa lengo Moja tu la Kupiga pesa za umma na wapigaji wenzao.

Kama Bunge linaruhisu wabunge HARAMU kulipwa mamilioni ya pesa iweje serikali ilaumiwe na wakati ule ni mihimili.? Kama mahakama nayo inatumiwa na wapigaji kuendelea Kupiga pesa za Bunge bila kuwa na Chama huoni kuwa hii nchi INAPASWA kuongozwa kidikteta full ili iwe kama Rwanda chini ya Kagame .
Ujinga wa kuchezea Mali za umma ndio unaoturudisha nyuma na kusingizia Vita. Mpaka asali nayo Nyuki wamegoma kutengeneza Kwa sababu ya Vita. Ajabu kabisa. Watu wanazuia watu kumwagilia mashamba yao eti maji yaende kwenye mabwawa ya umeme Karne hii. ,,
Katiba hii inasema Rais anaweza kupokea ushauri au akaupuuza, tunaona hoja za CAG hazifanyiwi KAZI, wabunge wanalia hawasikilizwi.

Kama hao Walio juu hawasikizwi, vp MKULIMA au MTU wa kipato Cha chini atasikizwa?

Solution ni KATIBA mpya, hicho ndo kipimo chake Cha MWISHO.
 
Jamani mnajuwa tunaweza kufunga macho nakuwa watu tunapenda kutukuza viongozi nakudharau uhalisia wa uku chini kwa kuwa na agenda binafsi ambayo mwisho wake waweza kuwa mbaya kwa chama na taifa kuliko kifo cha hayati Joseph Pombe Magufuli.

Watanzania huku chini wenyewe kwa wenyewe kwenye vikundi pasipo chakachua report ya siri ya usala wa Taifa kuhusu siasa yani Mh Rais watu hawapo na yeye yani watanzania wachache sana wana amini anapo tupeleka ndiko.

Nahili linasababishwa na hali ya maisha imekuwa ngumu kutokana na kupanda kwa bei ya vitu na hili lina wagusa maraia wa chini kuliko raia wa juu hii imesababishwa na ubadilikaji wa ghafla wa physical and monetary policy ilio kuwa kipindi cha hayati JPM.

Ukiangalia kwa haraka hizi sera za sasa utaona zina wa saidia matajiri kuwa matajiri na masikini kuwa masikini.
Nitaendelea
Nenda chato basi kawasalimie
 
Huyu mama yupo moyoni mwa mafisadi na wapiga dili nchini!!!

Nilimdharau alipotumia fedha za covid 19 kujenga madarasa nchini halafu wakati huo tozo JUU!

Tusubiri hatma!!
Unachukia madarasa kujengwa? We mbinafsi sana.
 
Yaan mi nikishaona mtu akisema mfumuko wa bei ni kutokana na vita ya ukraine naacha kumsikiliza naona kama hana akili sawa sawa!!..
Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 za africa ambapo mafuta n ghari zaid na ziko nchi 54
hyo vita inapiganiwa tz?
Shule kata zimeleta balaa
 
Back
Top Bottom