Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Watakuroga wewe. Kumbe una Crown na Harrier me sijui.😁😁😁njoo samaki samaki nikupe mpenzi wa mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuroga wewe. Kumbe una Crown na Harrier me sijui.😁😁😁njoo samaki samaki nikupe mpenzi wa mtu
😁😁😁 dah! haiwezekani, nikikosa kabisa nitasaka wa kumuhongaWatakukimbia wo
Watakukimbia wotee🤣🤣🤣
Ipo siku litamkuta mtu jambo la aibu.Bwana Cherehani wa Kawe alishatoa notsi na miongozo namna ya kuwatenda Wala wake zenu.... Kuna memba kashapoteza sikio na kidole humu.
😁😁😁 ulozi kwa maiti haufanyi kazi , .. njoo nikupe kisu hatari sinaga kazi mbovuWatakuroga wewe. Kumbe una Crown na Harrier me sijui.
Those that ain't fools never circle themselves with fools contents, it's only haters who fake while ponding with frogsTatizo baadhi ya watu wamekuwa mateka wa JF hadi kufikia kuishi kwenye ‘bubble’ ya JF.
To them everything revolves around JF.
I pity them fools.
The world is so much more than JF.
But since they’re fools. Let them wallow in the JF bubble.
Wanajikaza a kisabuni ( Ya magadi kabisa ) mwishoni wanavuja ukweli woteIpo siku litamkuta mtu jambo la aibu.
Nyani haujaacha tu kuwatandika makombora wababaishaji?Tatizo baadhi ya watu wamekuwa mateka wa JF hadi kufikia kuishi kwenye ‘bubble’ ya JF.
To them everything revolves around JF.
I pity them fools.
The world is so much more than JF.
But since they’re fools. Let them wallow in the JF bubble.
Ndio weye uliyechapiwa. Manake naona umeng'akaHizi mada za ajabu moods iheshimisheni jamiiforums kwa kuzifuta
Hukutumia zile njia kurevenge???Kuchapiwa kuna uma mimi nilichapiwa kuja kujua dem mjamzito [emoji24][emoji24]
watoke tu, kusaidiana majukumu muhimu .. vitu vyenyewe haviachi alama wala haviishi
Ngosha ja mashiko?
Mhola gete nkoi.Ngosha ja mashiko?