Tunaochapiwa, waliowahi kuchapiwa wake, wapenzi, wachumba zao na Member (s) wenzetu wa JF tujuane

Tunaochapiwa, waliowahi kuchapiwa wake, wapenzi, wachumba zao na Member (s) wenzetu wa JF tujuane

Power of deception inafanya kazi kweli kweli humu ndani. Umri flani ukifika hakuna tena marafiki, kuna umri wa hela tu na deal.. urafiki una number ( limit ).. nishabaki na rafiki mmoja tu mke wangu na ndie business partner wangu na kila kitu changu .. wengine ni rai tu
Tatizo muda mazee. Tatizo muda nao unakaba. Kuna umri hata wana huwezi kuonana nao kirahisi, kila mtu ametingwa...
 
Kwa inavyoonekana hawo ni walikuwaga wapenzi kipind fulan sema huyo msela aliwahiwa hakukata tamaa ndo maana alivyopata gari na visent akaamua kukirudia chuma chake apeleke moto hio ipo kwenye mazingira yetu mwanamke sio wa kufatlia sana akikuamlia unaweza kukaa nae ukimbana sana kuna zile siku anaweza sema anaenda kwao huko kwao kuna watu walikuwa pamoja nae kipind cha nyuma watakupgia had atarudi ametosheka hasa hawa unaoa mke unavuka mikoa 3 na kuendelea wanaliwa sana wakienda kwao ni kuomba tu
 
Mke wako ni demu wangu, na demu wake ni mke wangu.

Ukielewa hii fomula basi huwezi angaika na mambo ya kuchapiwa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Maisha hapa duniani kila sehemu kuna wazuri na wabaya, katika hali ya kawaida tunapokuwa na wake, wapenzi, na wachumba, huwa hatuwafugi wala kuwachunga kama mifugo, na pia katika maisha kuna kuwa vizuri kiuchumi, kufulia na Kuyumba, kuna kuwa na gari, pikipiki etc vyote kama kishawishi au mvuto wa mapenzi

Kuna kisa cha msela wangu yeye alichapiwa mwanamke wake na jamaa fulani ambae ni member humu JF baada ya jamaa (huyu mwizi) neema ya uchumi kufunguka, jamaa alivuna mpunga wa kufidiwa na mwendo kasi Yapi markenzi kwenye SGR kipande Cha DSM-Morogoro,

Jamaa akavuta harrier new model rangi common sana kwa hizo harrier inavoonekana, jamaa anafahamiana na huyu mwanamke kitambo kwa njia flani ya mlango wa nyuma, most likely kiushemeji kwa mke wake.

Basi jamaa nadhani alikuwa anamkula kama mkewe vile mazingira ya ofisini kwake yanaruhusu kwa hio alikuwa anaula huo mzigo ofisini kwake, au kwenye gari na maeneo kadhaa.

Katika hali isiyo ya kawaida siku moja jamaa yangu Mungu alimjia malaika wa mchana walimpanda akafanikiwa kumkuta mkewe akiwa na jamaa.

Huyu member yumo humu ingawa sio active sana kwenye kushusha threads, mara chache ana like, ni active member kiasi chake.

Hapo zamani nilimwambia mwanangu usioe achana na mbwa hao akadhani namzingua, Sasa mwanangu kuhusu kuoa tena ni kama jehanamu hataki kusikia.

Huyu mwamba bora asioe tu ana hasira za kuua mtu, na bifu lake hamalizi, kuna watu wanyama sijawahi kuona, this guy usione wakimya akina Hitler na Idd amini Ndio aina hii.

Jamani nawashauri kama huna moyo wa Kibaharia achana na habari za kuoa. Ishi kisera maisha yaende.

Hiki kisa nimefupisha najua hawa jamaa watapita humu kwa hio sijaweka ishara wazi nimeifanya anonymous kimaudhui hasa location na exact place na majina na mishe zao ila wakisoma watajua tu.


Imeisha hio mapenzi ni vita angalia silaha zako.


Wadiz a.k.a ndio mimi.
Duuh
 
Back
Top Bottom