Tunaochapiwa, waliowahi kuchapiwa wake, wapenzi, wachumba zao na Member (s) wenzetu wa JF tujuane

Tunaochapiwa, waliowahi kuchapiwa wake, wapenzi, wachumba zao na Member (s) wenzetu wa JF tujuane

Mimi nilichapiwa mke wangu na charismatic fella niliumia sana nikataka kujinyonga makamba akanishauri wazuri hawafi nikajiuzulu kujiua

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jf milele na milele hata mbinguni tukikutana naona mambo yakatakuwa kama hivi
 
Alipigwa denda mpaka gari likagoma kwenda...walijiona wapo new york city starehe kugeana milenda..inaniuma sana demu amepima amekutwa ana ngoma
Kabla ya kwenda uliniomba pesa kula ukasema nisiwe na hofu nipo pekeyangu ulipotoka ulipokwenda mshikaji wangu mmoja akalopoka Sinto na yule mwenye gari walinyonyana ndimi njenje Hadi kupata ajali safarini [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Si kuna zile mashine zilizotoka za kupima mtu amepitia/amepitiwa na wangapi?

Nunua hio. Ukimpata demu umpime nayo. Na wewe ujipime. Muandike kila mmoja amepitia/amepitiwa na namba gani. Kama namba ilikuwa 45 halafu wewe akakupa mara tatu tu lakini akipima tena inasoma sitini jua UMECHAPIWA....!!!!
 
Hii nayo ni changamsha genge tu.....
Hakuna ukweli wa ina yoyote ile hapa.....

Hivi kweli kuna watu huwa wanaanzisha mahusiano/urafiki hapa JF hadi kupeana mawasiliano yao ya huko nje ???.....
Watu wengi Ni marafiki nje ya jf na urafiki wao ulianzia hapa jf mkuu.

Na ukongwe na umaarufu wako mkuu unataka kusema hauna rafiki ambae mlianzia jf?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Watu wengi Ni marafiki nje ya jf na urafiki wao ulianzia hapa jf mkuu.

Na ukongwe na umaarufu wako mkuu unataka kusema hauna rafiki ambae mlianzia jf?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app

Hapana mkuu, sina na sitegemei kuwa naye. JF huwa naichukulia kama kijiwe cha kahawa tu...
 
Kweli chai aisee. Nashangaa kuoana watu wanayatilia sana mkazo maisha ya humu ndani. Navyosikia malalamiko kama haya huwa sielewi kabisa..
Power of deception inafanya kazi kweli kweli humu ndani. Umri flani ukifika hakuna tena marafiki, kuna umri wa hela tu na deal.. urafiki una number ( limit ).. nishabaki na rafiki mmoja tu mke wangu na ndie business partner wangu na kila kitu changu .. wengine ni rai tu
 
Back
Top Bottom