Tunaofanya Mazoezi tukutane hapa

Mbona 80kg ni uzito wa kawaida? una urefu gani?
 
Kama huwezi kufuata formula ya chakula basi jiandae kuwa kibonge mwepesi, kupungua au kuongezeka kwa mwili inaangaliwa ratio ya chakula na mazoezi yako na si mazoezi pekee. Mlo ndiyo utakaoamua wewe uwe mnene au mwembamba
Dah napunguza kiwango ila njaa inauma haswa wakati huu WA baridi dah
 
Dah napunguza kiwango ila njaa inauma haswa wakati huu WA baridi dah
Zoea kwanza ulaji wa kawaida ndiyo uje ufanye mazoezi, najua itakuwa ni mateso makubwa ila vumilia kwanza hilo. Vita kuu ya kupungua mwili ni vyakula kwanza na hili ndiyo linawashinda wengi wanakimbilia kuweka maputo tumboni
 
Mi ni mrefu sana kiwango Cha odemba....kama unamjua...
So ni mifupa TU hapo nyama kidogo

Odema namjua long time tangia Faces International 1998 na Kina Frank Mdoe aka Frank Machozi Mme wa Kwanza wa Da Mange.
 
Mazoezi ni mazuri but kwa kiasi tu..ULAJI NDIO
UNABEBA KIWANGO KIKUBWA CHA UPUNGUAJI WAKO AU KUNENEPA KWAKO😊

Jitahidi kuangalia unakula nini kisha katika ulaji wako hakikisha hauli mpaka uhisi njaa😊

Na unapohisi njaa hakikisha unaligawa tumbo lako mara3😊

Yaan (Maji,Chakula na Hewa) sio kula tu ovyo mpaka kuvimbiwa🤣 maradhi yote yanaanzia tumboni🤦‍♀️

Mind you..If you want to lose weight..eat anything you want as long as you're eating less calories than you need😊

Kila la kheri kwenye safari yako ya upunguaji🙏
 
Ukiweza kukimbia km 10 kila siku ,utakula chochote na uongezeki
 
Nafanya mazoezi since 2018,
asubuhi tu, nikiamka,
natembea almost 20 minutes,
naruka kamba 50,
pushups 25
na mazoezi mengine pia. Hii nafanya siku 6 weekly.

situmii pombe, soda, sukari, mafuta na chumvi nimepunguza sana.

Hii ndio formula ya maisha yangu kwa sasa.
 
Pole Kwa kuibiwa..
Aiseee matunda yanakwangua tumbo usiku asiwambi mtu....

Mbwa unataka kufuga WA kuzungu?
Aisee ukikosa fuga WA kiswahili ata watatu au wawili kelele zao usiku zinasaidianwatu kuogopa kuruka
With time tumbo litazoea. Unaanza mdogo mdogo. Niliwahi kukutana na Bi. Mkubwa mmoja ana miaka 58 kama ana miaka 35. Siti yake kalimiyi macuta na chumvi kwenye diet yake na matunda na mboga mboga.
 
Bila kapicha uzi huu ujautendea haki!
 
With time tumbo litazoea. Unaanza mdogo mdogo. Niliwahi kukutana na Bi. Mkubwa mmoja ana miaka 58 kama ana miaka 35. Siti yake kalimiyi macuta na chumvi kwenye diet yake na matunda na mboga mboga.
Sentens ya mwisho sijaelewa
 
Soda unakunywa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…