Uchaguzi 2020 Tunaojiandaa kumpa tena kura Rais Magufuli tukutane hapa

Bado mnapiga lamri kwa ndoto za mchana 'day light dreams'
 
Ndiyo pamoja na Mwenyekiti wa Kudumu Mbowe!

Acha Mbowe, hata mtoto wake akiwa mwenyekiti sio tatizo kwetu maana hawakusanyi kodi zetu, na asiyeridhika na hiyo cdm anaweza kuhamia chama kingine au kuachana na vyama kabisa.
 
Wapinzani wamechoka mbaya huo ndio ukweli
 
Acha kujipendekeza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko hapa muda ukifika tu
 
Chadema waje tuwaone kama watapata hata 1.1
 
Serikali ijayo itakuwa makini zaidi ya hii iliyoisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…