Hata sitakuwepo jpm for realMimi siishi milele! Ila inatakiwa useme "panapo majaliwa ya Mungu/uhai ukiwepo etc..".. Sasa unasema nitampigia kura Magufuli; je hujui kama anakakiberiti kwenye moyo? Kakikataa je? [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umepaniki aiseeee? Asubuhi sana hii! Relax twende mdogomdogo
Tangu ushinde njaa unahangaika lowasa ashinde mpaka leo karudi ccm akili haijakukaa sawa tuMbona umepaniki aiseeee? Asubuhi sana hii! Relax twende mdogomdogo
Kilaza katika ubora wako, kumpa kura jiwe ni sawa na kujivua nguo
Turudi kwenye mada yako! Mimi niache na njaa zanguTangu ushinde njaa unahangaika lowasa ashinde mpaka leo karudi ccm akili haijakukaa sawa tu
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio utajua sasa tunavuanguo na ukija unajengwa a tuKilaza katika ubora wako, kumpa kura jiwe ni sawa na kujivua nguo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kangomba ulilipwa za korosho! Au hatakama hujalipwa wewe umo tuu!
Kumbe wewe ndio hujiambui kura ulipiga linHivi kuna watu wanaojitambua wanaoenda kukaa msururu wa kupiga kura? Nipige nisipige Rais alishachaguliwa na tume ya uchaguzi. Muulize Jecha na Jaji wa Bara wanafahamu kila kitu.
Kwani Raisi Magufuli anashindana na nani?Hakuna mada kubwa mwaka huu zaidi ya uchaguzi na jpm ndio mshindi
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana comradeNtampa kura JPM, Nina sababu za kutosha na za msingi
Kweli tumuite uwanja wa taifa tufanye kampainKwani Raisi Magufuli anashindana na nani?
Mimi kwa mawazo yangu,tusipoteze pesa za chaguzi.