Tunaojihisi kuchoka na kitu fulani tufarijiane

Nomwchoka zaidi baada ya kuishi duniani nikijua mama yangu ndo basi tena sitamuona.
Nimeamua kuishi bila kujali chochote zaidi ya ahueni ya Leo tu
Pole cute,Dunia ina mengi
 
Bado sijachoka mpaka nime retire from employment ila sijachoka.

Sina mume, ninapambana kivyangu,

watoto wamekua.

Sijachoka kabisa, sijachoka kujenga, sijachoka kuwahi kuamka saa 11 alfajiri, sijachoka kusafisha mazingira, sijachoka kuwapenda jirani zangu.

Sijachoka kutenda mema japo wengine wananiumiza.

Sijachoka kusoma Biblia japo hii nasoma awamu ya tano ila sijachoka.

Sijachoka kumpenda padre japo ananizingua more times.

Nakuomba mleta uzi usichoke, jitie nguvu mwenyewe, ongeza sala na dua, usichoke.
 
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
 
Ila na wewe kwanini ufanye kazi usiyoipenda?? me hayo mambo ndo huwa siyawezi asee
Ni kutokana na kuvamia nafasi yoyote ilimradi fursa zijazwe ili kufikia 50/50 haki sawa bila kuangalia passion, calling, skills, ability wala talents. Kuna mwingine huko kaukwaa urais ni full vioja hana maono, hana dira hana plan yoyote bora liende ni full kuropoka utasikia "kuleni urefu wa kamba"
 
Thats great madam,

Bila shaka haujachoka kua feminist pia haujachoka kua single mother japo unasoma Biblia ila bado haujajifunza kusudi la Mungu ni watoto walelewe na baba na mama.

Unaona umwamba kulea mwenyewe ila unalea vijana walemavu wa maadili, 89% ya wahalifu na wafungwa walilelewa na single mothers.
 
Pole sana Dada yangu mwenye Enzi Mungu akutie nguvu.
 
Pole sana Dada yangu mwenye Enzi Mungu akutie nguvu.
 
mi kukosa pesa ndo kunanifanyaga nihisi kuchoka kila kitu. ila pia nimechoka sana kuwa single jmn
 
aiseee
 
Mungu na akubariki na kukupa nguvu zaidi na zaidi kwa ajili ya ushuhuda kwa wengine.
 
Lol labda tumuulize mtoa mada kwamba yeyw ilikuwaje hadi akaamua kuwa mwalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…