Tunaojihisi kuchoka na kitu fulani tufarijiane

Mbona hamtaki tuache kaz,mi ningepata wa kunitunza na wanetu aisee,kaz naacha kabisa
 
Nimekuelewa mkuu
 
Sure,nawapenda wanangu kuliko kaz,ila kaz ndo inawafanya wale
 
Aisee
 
Misery loves company... utajiskia vizur soon kama sio tayari ushakuwa sawa.
 
Hope teacher of the decade
 
Sure,nawapenda wanangu kuliko kaz,ila kaz ndo inawafanya wale
Exactlly mkuu, unaungana na mimi kua kama ungekua na mwanaume anaeprovide ipasavyo (ambalo ndio jukumu lake) USINGESUMBUKA NA KAZI. Passion yako ingebaki kulea watoto.

Kwanini hauko na mwanaume au uliyenae haprovide "vya kutosha" ni kwakua haoni umuhimu wa kuprovide kwa limwanamke ngangaqi asie mnyenyekevu mwenye kiburi na mjuaji

na kwanini wewe sio mnyenyekevu well simple, ni kwakua unakajiajira kanakutia kiburi na ujuaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…